nowsasa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,095
- 1,130
Acha kusema uongo! Paragraph ndefuuuu lakini umeongea utumbo mtupuuu.Ulaya haina kitu. Msibabaike na Ulaya watanzania. Wenyewe hivi sasa wana matatizo makubwa sana ya kiuchumi. Wananchi wao wako desperate. Europe na Amerika zimekumbwa na wimbi la watu kutaka utajiri wa haraka haraka bila kufanya kazi, matokeo yake ile spirit ya Innovation ambayo ilikuwepo katika nchi kama England karne ya 19 na 20 haipo tena. Waingereza wanapoteza kila kitu kwa Marehemu ya mahesabu pesa kwa kufungua mabanks. Hivi sasa yanawstokea puani.
Ndugu zangu watanzania nawaomba tuipende na kujivunia nchi yetu. Tusipende kuiga maisha ya wazungu. Wao wenyewe hawana mwelekeo hivi sasa. Sisi tufanye ya kwetu na tuchukue tu yale muhimu kutoka kwao.
Wazungu wamejiingiza wenyewe katika mitego ambayo hawawezi tena kujikwamua. Watakwamuliwa na mlipuko kwa sababu hayuko mtu ambaye yuko tayari kuachia anayo yafanya na faida aliyo pata.