cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,079
- 10,111
[emoji629]Oooh safi sana mkuu....uko umeajiriwa? Uko nchi gani?
[emoji629]Oooh safi sana mkuu....uko umeajiriwa? Uko nchi gani?
Hako kabendera duuuh[emoji15] ...anyway ok mkuu[emoji629]
Hv msela ulipwe 5000$ kwa mwezi kwanza wewe ni mtu mkubwa sana n hiyo pesa labda Uwe mtu wa party sana ndo utaisha ila ukiwa focused utasave 3000 kila mwezi na hapo umeshafanya starehe za kutoshaHebu msome na huyo hapo juu...! Huyu hata value ya $5000 sijui kama anaijua....na kama anaijua haijui US au Europe!
Ujerumani Deutschland [emoji629]Hako kabendera duuuh[emoji15] ...anyway ok mkuu
Vip ubaguzi mkuu?Ujerumani Deutschland [emoji629]
Not real kiivyo ubaguzi ni kesi. Watu aren't friendly basiVip ubaguzi mkuu?
Ur right GeneralMi najitahidi nipate basic needs za standards.
Ukishaweza ktk hilo, utajiri uko karibuni.
Lkn kama ndo unaishi na madeni na basic needs ni mbovu, utajiri usikiee humu JF.
Ooooh asee... unakaa kivyako vyako sio?Not real kiivyo ubaguzi ni kesi. Watu aren't friendly basi
..mkuu what about west German..Dresden kule naskia wanatubagua blacks ni kweli mkuu?Not real kiivyo ubaguzi ni kesi. Watu aren't friendly basi
HahahaHebu msome na huyo hapo juu...! Huyu hata value ya $5000 sijui kama anaijua....na kama anaijua haijui US au Europe!
Jamaa hayuko sahihiHebu msome na huyo hapo juu...! Huyu hata value ya $5000 sijui kama anaijua....na kama anaijua haijui US au Europe!
Eastern ndo ilipo ila sijawahi fika mi nipo Bavaria..mkuu what about west German..Dresden kule naskia wanatubagua blacks ni kweli mkuu?
Hv msela ulipwe 5000$ kwa mwezi kwanza wewe ni mtu mkubwa sana n hiyo pesa labda Uwe mtu wa party sana ndo utaisha ila ukiwa focused utasave 3000 kila mwezi na hapo umeshafanya starehe za kutosha
Kote wabaguzi bwana Europe nzima ni. Wabaguzi ila wanatofautiana njia za kubagua na kunyanyapaaAhaa..kwa hiyo kumbe Eastern ndio kuna racism?
japo nilikuwa sivisambazi ukweli nilikuwa naweka kwenye dustbin naenda kudai mpunga,Mkuu acha hizo, per day unaweza make up to 120 USD, na wanaposema wanalipa kwa lisali usidhani wanahesabiwa kwa masaa nane ina depend unapiga mchongo gani kuna wanaofanya data entry, wanaoosha vyombo, kuna wanaosafisha masehemu , mfano nakumbuka nje ya kazi yangu ya kuajiliwa nilipata kikazi cha kuwa naenda kusafisha sehem ambapo wanapaki magari, watu walikuwa wanavuta sigara wanaweka vipece vibaya , kazi hii niliifanya kila baada ya kutoka kazin kwangu, na ilikuwa 60 USD per hour nafanya 1 hour dailyPart time job nyingine ilikuwa kusambaza business cards na kila cars 1 ni 0.5 USD, hivo nikisambaza 200 kwa siku nina 100 USD, japo nilikuwa sivisambazi ukweli nilikuwa naweka kwenye dustbin naenda kudai mpunga, hahaha wabongo tumelogwa
Kuna kulipwa kwa siku Mimi huwa nafanya kazi za kulipwa kwa siku si chini ya lakiUmenena vyema, na watu wajue nchi zetu hizi tunapaswa kuweka juhudi kupata maendeleo kama ya Ulaya na America. Sasa mada ilivyowekwa ni kama kimaendeleo tuko sawa nao ila wanatuzidi kipato tu, kitu ambacho si kweli.
Kwanza Tanzania kuna malipo kwa saa? Kuna kulipwa kila mwisho wa wiki? Kuna kiwango cha chini cha kulipa kwa saa?
Mzee baba niaje?Kumbe bora nisepe tu... kuna jamaa kaniambia nimtafutie 4m, naingia sweden fresh adi kazi nakuwa nshataftiwa nikifika naanza mzigo tu🙂🙂..... walah mwakani mwez april nasepa.... maana hapa kazi hamna af tunaambiwa tuchape kazi
Lemutuz kilichomkimbiza ni mke wake kudai talaka,hivyo aliogopa nusu ya mshahara wake ingekatwa kumhudumia mke na watoto kwa sheria za marekan ndo maana akamkimbia we kasome kitabu chakeMbeba box mstaafu le mutuz uwa anawakebehi sana wabeba box wenzie kule instagram