Kama una miaka chini ya 40, pambana ufike Japan

Japani kuna fursa nyingi za ajira (zisizo rasmi) ila zenye kipato kikubwa ukilinganisha na Tanzania.

Maisha ya Japani hayana gharama kubwa ukilinganisha na nchi nyingine zilizo endelea

Japani hali ya ubaguzi kwa
Waafrika sio kubwa ukilinganisha na mataifa mwngine.

Visa ya Kufika Japani ni rahisi sana, kuliko wengi wanavyofikilia.

NB: Kama kazi unayoifanya inakuingizia TZS 5mill kwa mwezi, basi Japan hapakufai, baki huko huko, ila kama below, unaweza ukaja kujaribu bahatinyako huku.
Tatizo la Wajapan wanafanya kazi mpaka wanalala makazini na ni kawaida kuona Mjapan ana miaka 40 Mpaka 50 lakini bado bikra kutokana na kukosa muda wa kujamiana, siendi ng'oo.
 
Tupatieni mwongozo wa kufika huko jobless Mimi nijaribu bahati yangu
 
Japani kuna fursa nyingi za ajira (zisizo rasmi) ila zenye kipato kikubwa ukilinganisha na Tanzania.

Maisha ya Japani hayana gharama kubwa ukilinganisha na nchi nyingine zilizo endelea

Japani hali ya ubaguzi kwa
Waafrika sio kubwa ukilinganisha na mataifa mwngine.

Visa ya Kufika Japani ni rahisi sana, kuliko wengi wanavyofikilia.

NB: Kama kazi unayoifanya inakuingizia TZS 5mill kwa mwezi, basi Japan hapakufai, baki huko huko, ila kama below, unaweza ukaja kujaribu bahatinyako huku.
Kwanini Serikali isifundishe lugha ya Kijapani au Kijeruma kwa watoto zetu shuleni kuliko kutuletea Kiarabu ambacho hakina faida.
 
Japani kuna fursa nyingi za ajira (zisizo rasmi) ila zenye kipato kikubwa ukilinganisha na Tanzania.

Maisha ya Japani hayana gharama kubwa ukilinganisha na nchi nyingine zilizo endelea

Japani hali ya ubaguzi kwa
Waafrika sio kubwa ukilinganisha na mataifa mwngine.

Visa ya Kufika Japani ni rahisi sana, kuliko wengi wanavyofikilia.

NB: Kama kazi unayoifanya inakuingizia TZS 5mill kwa mwezi, basi Japan hapakufai, baki huko huko, ila kama below, unaweza ukaja kujaribu bahatinyako huku.
Kwenda japaan jambo la kwanza kuwa na kibali cha mkazi ni jambo la pili, kila mahala dunia hii ukiweza pata citizenship umemaliza
 
Kuna ukweli kuhusu ajira huko, Wajaps hawazaliani sana , hii imepelekea kuwa na uhaba mkubwa wa nguvu kazi,

Kuhusu ustaarabu kwa kweli kiuhalisia toka moyoni mjeps sio mstaarabu , unachokiona ni waliamua watie mpira kwapani baada ya kuangushiwa jumba bovu na Mmarekani kipindi cha ww2

China ndio nchi inawajua vema sana hao watu
Wajaps na wajeps ndo mnaita swaga??
 
Back
Top Bottom