Muamala
Member
- Aug 10, 2013
- 69
- 10
Habari wana MMU, nataraji kuwa Arusha siku ya leo ningependa kumpata mtu mmoja wa kushiriki naye chakula cha jioni, nahitaji dada mzuri sana wa kila kitu (maadili) , au raster mwenye maadili na hitikadi za kirasi zinazokubalika katika jamii wa jinsia yoyote ambaye naweza kujadiliana naye na kushauriana naye kuhusu maisha kama vijana.