CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Big up sana wana Arachuga kwa mshikamano... Naona huyu mtoa mada alikuwa anatikisa kiberiti cha Chuga eeeh!!!!!
Naomba unijuze uko Daleslam sehemu gani, nitaomba nauli kwa mjomba nifike huko!...nikikosa nitalima vitunguu msimu wa mvua nipate hiyo nauli nifike huko!...nikishindwa kabisa nitauza nyumba yetu ya urithi, lakini kukosa busu hilo sitavumilia!nakupa 100% ndugu unngekuwa karibu ningekukuikiss umeongea point sana
Naomba unijuze uko Daleslam sehemu gani, nitaomba nauli kwa mjomba nifike huko!...nikikosa nitalima vitunguu msimu wa mvua nipate hiyo nauli nifike huko!...nikishindwa kabisa nitauza nyumba yetu ya urithi, lakini kukosa busu hilo sitavumilia!
Big up sana wana Arachuga kwa mshikamano... Naona huyu mtoa mada alikuwa anatikisa kiberiti cha Chuga eeeh!!!!!
Hahaha utamfanya PJ arudishe muda nyuma...
A town always tunakaa as a group, hakunaga kubaguliwa mtu mmoja mmoja kama vile simba afanyavyo anapowinda, au kama vile unafanyisha intavyuu.
Discussion nzuri sio ya kujifungia wawili, hayo unataka wewe ni kutafuta mjinga-mjinga ufanye naye Uzinzi kama si uasherati.
cc Arushaone, Preta, Blaki Womani, Mzee wa Rula Cantalisia, LiverpoolFC, Filipo, IGWE Erickb52
Naomba unijuze uko Daleslam sehemu gani, nitaomba nauli kwa mjomba nifike huko!...nikikosa nitalima vitunguu msimu wa mvua nipate hiyo nauli nifike huko!...nikishindwa kabisa nitauza nyumba yetu ya urithi, lakini kukosa busu hilo sitavumilia!
Habari wana MMU, nataraji kuwa Arusha siku ya leo ningependa kumpata mtu mmoja wa kushiriki naye chakula cha jioni, nahitaji dada mzuri sana wa kila kitu (maadili) , au raster mwenye maadili na hitikadi za kirasi zinazokubalika katika jamii wa jinsia yoyote ambaye naweza kujadiliana naye na kushauriana naye kuhusu maisha kama vijana.
ushakuwa mwenyeji sasabig up sana wana arachuga kwa mshikamano... Naona huyu mtoa mada alikuwa anatikisa kiberiti cha chuga eeeh!!!!!
Ndio maana nakukubali cheamani!
Hivyo vitu hakunaga kabisa pande za huku!
Wife hajambo Mkuu! amepewa bediresti!
Yan mke wangu unanifananisha na mdada?
Amewaomba wadada sasa mie naendaje love?
Miss you....call me please