Kama uko A-town njoo tushiriki dinner leo

Kama uko A-town njoo tushiriki dinner leo

duh! dada wa jinsia zote??- sijawahi mwona hapa arachuga
 
Habari wana MMU, nataraji kuwa Arusha siku ya leo ningependa kumpata mtu mmoja wa kushiriki naye chakula cha jioni, nahitaji dada mzuri sana wa kila kitu (maadili) , au raster mwenye maadili na hitikadi za kirasi zinazokubalika katika jamii wa jinsia yoyote ambaye naweza kujadiliana naye na kushauriana naye kuhusu maisha kama vijana.
mbona mrass tena unakula kijiti...tena jana ilikuwa alhamis via via,ningekuwa nimeona huu uzi mapema ninge kutafuta ili :majani7:na kikombe cha cappa chino
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom