Ahahahahaa Akili zitabaki kwenye vinasaba vyakoo, sema wingi wa Majukumu unapunguza tu Performance!Kuwa na mwanamke zinachaji kichwani ni sifa. Nakumbuka wakati niko olevel nilikua na nyodo sana hasa nikitongozwa na mwanaume wa kidato chetu. Nilikua nawaambia siwezi kutembea na mwanaume ninaemzidi akili. Zile akili ziliendaga wapi sijui.
Albert Einstein.Ahahahahaaa Unamjua Einstein?
Naomba sana mwanangu aje achukue akili zangu. Ndo maana sipendagi kudate mwanaume ambae history yake ya elimu inasua sua. Napenda wanaume wenye akili.Ahahahahaa Akili zitabaki kwenye vinasaba vyakoo, sema wingi wa Majukumu unapunguza tu Performance!
Hahahahaa.ahahaa ee nilitaka nimpe Funzo kidogo yule ndugu pale juu naona kapoteaa
Mimi napendaga hiyo.Ahahahaa ina Maana hata Wanawake Mpo selective kwenye IQ/Akili ya Mwanaume?
to be Honest, Mwanamke hata akiwa wa kawaida saana ila akiwa smart tu baasi nabebaa maana hata najua nikifaa watoto hawatolala njaa, sasa uje uoe hawa vilaza ukifa watoto wataishi Maisha Magumu sana!Mwanamke ukiwa smarter kichwani kuna vitu huwa havikupi shida sana ku solve,.unajifanyia maisha yako rahisi bila kutoka jasho....ha hah haa haa huwa hatutumii "miguvu" kama "awafu".
Hahahahaa.basi naanza kupata jibu kwanini women cheat with men they believe are smarter
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nakufa mieHujui Raha ya kuwa Na demu kilaza. Ni watamu sana akili zote ziko kiunoni, chini ya kituvu, kitandani Na kwenye majamboz huyohuyo kuwa naye