edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,217
- 983
Nna mashaka na elimu yako kutokana na mawazo yako mkuu
Badovipi washabeba jiko?
Haha Mkuu napambana na static engineering nzuri sanaAhahahaa Achana na Mechanics ya A-level sasa ile ilikuwa ya kikubwa inaitwa Mechanics of Material!
Mkuu una inferiority Complex kinoma, unaogopa mademu wenye iwezo kichwani, je Mwanamke hawezi kuwa Kilaza akawa Malaya? je hakuna Wanawake Vilaza Ma Single-moms?akiwa genius afu ana nyege nyingi(malaya) je?
hilo nalo umeliingiza kwenye orodha ya sifa uzitakazo?
ndoa zina mambo mengi acha kujijaza ujinga ndugu,ni zaidi ya hiyo IQ kubwa uisemayo,jaribu kuangalia wanawake wote wasomi kama hauwakuti ni single mothers!
Absolutelyto be Honest, Mwanamke hata akiwa wa kawaida saana ila akiwa smart tu baasi nabebaa maana hata najua nikifaa watoto hawatolala njaa, sasa uje uoe hawa vilaza ukifa watoto wataishi Maisha Magumu sana!
Hahaha nimecheka kwa sauti wewe ni jiniasi mkuuHujui Raha ya kuwa Na demu kilaza. Ni watamu sana akili zote ziko kiunoni, chini ya kituvu, kitandani Na kwenye majamboz huyohuyo kuwa naye
Kuwa genius sio sababu ya kuzaa genius akili yako imetafsiri kwamba ma genius huzaana wao kwa wao sio sawa hiiweka dukuduku lako hapa kiongozi
Genius anaomba msaa wa kuangalizia kwa jirani,huyu ni genius wa kuangalizia?Sawa Genius..
Ahahahaha Mkuu unafelii sana, unajua kwanini wa israeli hawaruhusu/hawapendelei muingiliano katika uzao? ni kulinda genius yao isiingiliane na zingine, na kiufupi mara nyingi mama akiwa na genius flani asilimia kubwa mno lazima mtoto aipate hio genius, mf mimi nimetoa kwa mama....angalia familia nyingi zenye mzee kichwa mama kilaza then cheki type ya watoto adi utajiuliza mbona mzee alikuwa kichwa?Kuwa genius sio sababu ya kuzaa genius akili yako imetafsiri kwamba ma genius huzaana wao kwa wao sio sawa hii