Kama ni wewe ungefanya nini?

Kama ni wewe ungefanya nini?

Techno.......
Ngapi?i mean model gani? Na JF unapata kupitia browser au App? Kama ni app angalia kwenye mstari wa options za kureply kuna hii emoj bonyeza hiyo utapata options za kila aina
 
Unamtia ngumi....au unaongeza gia then una piga break ya gafla...uoga ungekuwa sio mkubwa wa kutoa mkojo.....maana najuwa alie piga picha angenisaidia
 
Mi bado namuwazia aliyepiga hiyo picha, alipata wapi guts za kunyanyua kamera au simu, maana inaonyesha nae yumo ndani ya gari, labda kama ni mzungu aisee
 
Hao jamaa akili ndogo sana ukimkodolea tu jicho anakuacha kama ulivyo. Hata video ya hii screenshot aliwaacha salama.
 
You've just earned yourself a kiss and a hot date this weekend.

Get ready for Mr. Jeddah to rock your word.


Ooohh lalalaaah ....yuuuhuuu
aaaiiii laaabbb yuuuuu tuu
Muah!!

Thank you for the kiss and a date.....

The legendary...
The one and only...
The incomparable but ..... what ... not imitated... hahahahah

You rock dadiii.
 
Ooohh lalalaaah ....yuuuhuuu
aaaiiii laaabbb yuuuuu tuu
Muah!!

Thank you for the kiss and a date.....

The legendary...
The one and only...
The incomparable but ..... what ... not imitated... hahahahah

You rock dadiii.
You stupid you!

I'm gonna ding you a point for not getting it right.

Often imitated but never duplicated....

Give the king his throne
 
Back
Top Bottom