Kama ni wewe ungefanya nini?

Kama ni wewe ungefanya nini?

Ni kuendesha gari kwa spidi kali;kisha breki kali;unaanza tena spidi kali;kisha breki kali;mpk anavurugika jumla
 
Hivyohvyo aisee mie mbona sivioni?
Ukiwa unatype juu ya keyboard kuna alama kama nne hivi upande wa kushoto kuna alama ya attachment inafuata ni ya emoji ukigusa hiyo ndo zinakuja emoji
 
Ukiwa unatype juu ya keyboard kuna alama kama nne hivi upande wa kushoto kuna alama ya attachment inafuata ni ya emoji ukigusa hiyo ndo zinakuja emoji
Na nilivyo na kichwa cha panzi......kazi ninayo.
 
Back
Top Bottom