MAGARI7
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 2,401
- 1,311
kweli.?Hao jamaa akili ndogo sana ukimkodolea tu jicho anakuacha kama ulivyo. Hata video ya hii screenshot aliwaacha salama.
kweli.?Hao jamaa akili ndogo sana ukimkodolea tu jicho anakuacha kama ulivyo. Hata video ya hii screenshot aliwaacha salama.
You stupid you!
I'm gonna ding you a point for not getting it right.
Often imitated but never duplicated....[emoji109] [emoji109] [emoji109]
Give the king his throne [emoji146]
Hahahahhaaa dadiiii......
My favourite time with you is when you are a lecturer and am a student...... heheheheh
You are the king of the jungle......
Hahahahahahahaa nakimbia nakoz looh...
Walati unamuangalia, nae anakua wapi.?!Hao wanyama wana aibu sana ukimuangalia sana usoni anaondoka
Ngoja nikukimbize na nikikumata utaipata [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahahahahahahahaaaa uuhuhuhuhuhuuuhuhuhuuuuuuu
Iihihihihihihihhihihihiiii
Eehehehehehehehehhehehehheeeee
Asante kwa cheko maridhawa looh
Kweli nimekaa sana maporini nawajua. Hata ukimkuta kwenye mti amekutolea macho usilale mbele wewe piga reverse tu huku umemtolea macho mithiri ya yule jamaa wa orijino komedi hadi utakapoona umefika mbali na hapo geuka na timua mbio hadi visigino viguso kisogoni.kweli.?
unatumia touch au feature phone
[emoji2] [emoji2]unatumia touch au feature phone
Nimeweza...loh hatimae[emoji4] [emoji12]Ngapi?i mean model gani? Na JF unapata kupitia browser au App? Kama ni app angalia kwenye mstari wa options za kureply kuna hii [emoji3] emoj bonyeza hiyo utapata options za kila aina
Namtemea mate!
nakuona meno thelathini na nje mbili [emoji12]Nimeweza...loh hatimae[emoji4] [emoji12]
Naomba dhawadi [emoji85]Nimeweza...loh hatimae[emoji4] [emoji12]
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Naomba dhawadi [emoji85]
Yaani acha tu.....ila ujinga sikuwa natumia app ya Jf ndiyo maana.....nakuona meno thelathini na nje mbili [emoji12]
Sio shati hilo chunguza vizuriAkome, nani kamtuma avae shati ya chama hicho, acha awe kitoweo