Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

Unatapeliwa vip kwani jamaa kasema apewe yeye,yeye katoa mchongo kama unaweza au una mtu dom mcheki mfanye nae kazi sio lazima yeye ninyi mnadhani dili za hela utapewa na mjomba ako au kaka yako pekee kwa wafanyabiashara hapo anaangalia kama hiyo bidhaa hakuna zipo zingine zinazoendana na hiyo pia zitakua hakuna...
 
Asante Kwa kutoa fursa

Ni wachache wanao fanya kama wew

Ila capital inabidi kuwa nayo ya kutosha

83000*200= 16,600,000

Ili upate 600K if business go smoothly kwaizo 2 day
Bidhaa unaweza toa Mwanza, Morogoro au Dar kuleta Dodoma, faida ya kila box baada ya usafiri ni 6000 kwa carton kama uko tayari nipigie nikupe maisha utanishukuru na utanifikiria cha kunipa kama shukurani baada ya shukurani..

Nipigie simu 0621604087

IKO HIVI
Kama una hela nenda Dar chukua Bannister glycerine 50mil kulingana na uwezo wako leta Dodoma, kwa Dar inapatikana kwa 83000 mpaka 83500 usafiri kutoka dar mpaka dodoma kwa carton ni 1000 jumla 84000 mpaka inafika hapa, kwa hapa inauzwa 90000 kwa carton ukileta hata 200 zinaisha ndani ya siku mbili mzigo umeisha mimi ni Salesman niko sokoni nakupa deal ya uhakika. Ukihitaji usaidizi wa chochote ukishafisha mzigo wako unaweza nitafuta. Ahsanteni mapambano mema katika kutafuta ugali
 
Kwa kifupi mtoa mada ameharibu kupumbaza watu kwa neno faida ya laki sita kwa siku lakini kiuhalisia ni hivi 84000X200=16800000
Yaani kumaanisha una invest milioni 16 na laki 8 kwa kupata faida ya 1200000(milioni na laki mbili)
Bado hapo mauza mauza hayajatokea!kwa kifupi hamna pesa yeyote humu zaidi yakutoa sadaka mtaji wako!
Hiyo ni overrall ila unaweza hata kuagiza carton 10x84.000=840.000

Sio lazima carton 200.

What i discover humu ndani kuna vitu vizur ila kuna wapiga kelele pia wanaweza kukukata maini.ilinitokea mwaka huu mwezi wa 4 nilikuja humu na idea yangu kuna watu wali crash ila nilipambana nikafanikiwa na ndani ya miezi mitatu nilitengeneza milion 6 within 3 month.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom