ntazana ntazana
JF-Expert Member
- Sep 18, 2021
- 1,708
- 3,020
Vipi hutaki kutoboa?
sio kiivyo
Vipi hutaki kutoboa?
Cha ajabu kutoka kea mleta uzi ni nini?Umekosa watu. Mfano Majirani wanaokuamini na unaowaamini wa kufanya nao hilo? Hadi uje JF ambapo pamejaa anonymous people? Mtu akuletee huo mzigo KWA GHARAMA ZAKE ww ni nani? Acheni mambo ya ajabu
Sasa kama ni hivo,kulikua na haja gani kuleta hapa.Siyo kila riziki ni ya kuweka wazi kama maandazi
Subiri kupigwa na kitu kizito mpendwaMpendwa mbona unanitisha mimi nishapiga hiyo namba
Watu tumeshapigwa sana tena humu humu Jf. Kwa wale wenye muda mrefu kidogo watakumbuka jamaa tapeli akijiita Kelvin Isaya Mulisa. Alikuwa anatumia simu ya code ya nchi moja ya uarabuni +971523328490, alikuwa a nauza vitu kwabei nafuu sana. Ulikuwa unalipa robo ya bei, kabla mizigo haujaja zilizobaki utalipia mizigo ukija. Alitoa hata address ya ghala lake lilipo nadhani ilikuwa Kigamboni. Kufupisha habari, watu wengi tulipigwa humu humu Jf. Hivyo anayeonesha wasi wasi huyo ndiye mwenye akili. Kama kweli anataka kuwa saidia au kuwapa watu mchongo kwa nini asitoe habari zoote hapa hapa bila mtu kumpigia simu?Watanzania Mentality za kiwiziwizi tu ndo zimejaa vichwani, ili ni tatizo kubwa sana. Ila ukiwaletea dili ya kupata 4000 kwa siku anafurahia, ila deal ya hela nyingi wanaona wizi sababu ya mawazo finyu
Sawa mkuuUpige na hii nikupe dili 112
Umeongea kwa busara sana mkuu..kama ni msaada umeamua kutoa kwa malipo yashukrani tu hata ya mdogo au kwa kutegemea swawabu toka kwa mwenyezi Mungu..... hakuna ubaya imwage hiyo dili hapa kila mtu apambane kivyake wenye shukrani lazima wakutafute otherwise labda unahitaji makubaliano fulani..
Tukienda kwenye market mkuu , maana market ndio pesa, je ni uhakika kwamba demand haiwezi kutetereka ,Umeongea kwa busara sana mkuu..
Chukua hii.
Kama una hela nenda Dar chukua Bannister glycerine kulingana na uwezo wako leta Dodoma, kwa Dar inapatikana kwa 83000 mpaka 83500 usafiri kutoka dar mpaka dodoma kwa carton ni 1000 jumla 84000 mpaka inafika hapa, kwa hapa inauzwa 90000 kwa carton ukileta hata 200 zinaisha ndani ya siku mbili mzigo umeisha. Ukihitaji usaidizi wa chochote ukishafisha mzigo wako unaweza nitafuta. Ahsanteni mapambano mema katika kutafuta ugali
BIASHARA yoyote Huwa INALIPA ukiwa unasimuliwa .....
umekuja na ID nyingine sio, utakamata wajingaKwani amekwambia familia yake ina njaa na dhiki kama yenu we Kizibo ?