Nyau Pori
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 204
- 119
Hahahaaa....huo ushahidi alonao mbona naye hatuonyeshi?
Anasema tu kuwa anao.
Welp, saying it so doesn't ever make it so.
But we shall see.
Hahahaaa....huo ushahidi alonao mbona naye hatuonyeshi?
Anasema tu kuwa anao.
Welp, saying it so doesn't ever make it so.
But we shall see.
Mwenendo wa kesi yake ambapo DPP Ndiye kaweka mkono wake, awamu hii ina ingilia mihimili mingine fungua hapa:> Dhamana ya Lema: Tume iundwe suala zito la unajisi wa sheria na kuchafua mahakama nchiniLema hapa anahusikaje?
Lakini wahusika hawakukanusha na kueleza bayana uhusika wao?.Makonda anapata kigugumizi gani? Katika hili.
Kwani uhakiki wa vyeti ulifanyikaje? Necta si mamlaka ya serikali na ina orodha ya watu wenye vyeti halali. Kwa nini? Kila mhusika alie hakikiwa alitakiwa kuwasilisha nakala halisi ya cheti chake. Makonda ni nani? Ambae utaratibu huu haumgusi?Askofu Gwajima anasema mh. Paul makonda ana division zero na amenunua vyeti bandia. Sasa cha kushangaza watu wanaweka ushahidi kwa kutuwekea mapicha ya makonda na huyo wanayedai kununua cheti kwake, yaani mnamtuhumu kwa vyeti ushahidi mnaweka mapicha waliyopiga bustani ni?
Acheni kutufanya watanzania wajinga, unamtuhumu makonda ana vyeti feki halafu unataka makonda aonyeshe vyeti halali? Weka vyeti vyako tuvione kesi iishe.
Tumechoka mapicha ya makonda kuwa ndio ushahidi wa vyeti vyeki, tunataka vyeti vyeki tuvione.
Ila wewe ni mnafikiKwa hali ilivyo:
Kuna raia wanamtuhumu Mkuu wetu wa Mkoa kuwa ameiba utambulisho wa mtu mwingine kupitia vyeti.
Sisi wenye Imani na mkuu wetu wa mkoa. tunamuomba, ajitokeze, azivunje tuhuma hizi, aonyeshe vyeti vyake, ili awaonyeshe hawa vizabizabina kuwa yeye ni mtu safi na elimu yake haina chembe ya shaka!
Kitendo cha kukaa kimya bila kujibu tuhuma, ni kuonyesha kuwa tacitly anakubaliana na tuhuma hizo!.
Kitendo cha mke wake kufuta post ya Instagram aliyoipost zamani kabisa akijitambulisha kama mama Daudi inaonyesha kuwa kuna kitu kinafichwa, kwa nini afute?- Kikawaida, kwa nchi za Ulaya/marekani ukiwa na tuhuma za post fulani kwenye mitandao ya jamii halafu ukaifuta, inapelekea kuaminika kwamba unaficha kitu, Tena basi ukiwa raisi ndo kabisaaaa huruhusiwi kufuta kile ulichokwisha posti.
Tumeona kwa mujibu wa taarifa mpya, Makonda ana ndugu wa kuzaliwa naye, lakini wazazi wake wanadai wana mtoto mmoja, Je wanaficha hizi information kwa nini?
Ni dhahiri Makonda hana namna, ni lazima aje clean katika hili suala ili kurudisha imani ya wakazi wa mkoa wa DSM kwake!
Ukweli ni kwamba la madawa limezua mengi. I kwa ni pamoja na Makonda kuwa bungeni, kuanzishwa kwa kesi ya kikatiba hata pia u feki wa vyeti. Lakini watu wasitumie madawa kama kichaka cha kuficha maovu.Hii ndio rai yanguHakuna hata mmoja aliyetoa ushahidi wa vyeti hadharani,
Tatizo hizi tuhuma zinaweza kuwa sawa lakini kuziibua tuhuma baada ya vita vya madawa ya kulevya kunatia shaka,Ina maaana ni siku nyingi Gwajima anafahamu Bashite anatumia cheti cha mtu na kama asingemtaja kwenye issue ya madawa angekaa kimya mpaka leo?
Je kuna mtu aliyeenda kuripot police au ni hayo maneno ya mitaani na umbea usioishaMakosa yote ya jinai, anayeweza kufungua mashtaka ni Jamhuri kwa kupitia polisi (DPP). Wewe raia uliyetoa taarifa juu ya uwepo ya jinai unakuwa shahidi.
Lakini pia watu wanatakiwa kujua kuwa, mahakamani hasa mahakama za kwetu hapa, unaenda kama option ya mwisho maana ukipeleka shitaka mahakamani, mpaka hukumu kuja kutoka inaweza kuchukua hata miaka 10. Kama kuna njia nyingine za kumwajibisha mhalifu ni afadhali kuzitumia hizo kuliko kukimbilia mahakamani ambako hukumu itachukua miaka, hasa mawakili wakiamua kuirefusha kesi.
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Je wewe ulipiga hiyo 999 mkuuMkuu, kesi za jinai bongo ni kama kesi za domestic violence za US. You call 911 to report a domestic violence incident, but you don't have the right to move the case forward; nor are you obliged to testify against or for the alleged perpetrator - whether you are the victim or witness. It is the prosecutor, based on the evidence presented to him/her by the cop who responded to the 911 call, who has the discretion to decide whether the case moves forward or not, depending on the facts of the case.
Similarly, in Tanzania, state attorneys (mawakili wa Jamhuri) decide, at their own discretion, whether or not the case moves forward. Worse still, the Tanzanian government is more corrupt. You don't expect to win a case against the government, in Tanzania, especially when a senior government official is involved. In fact, you can expect negative outcomes such as being detained and or tortured if you pursue the fight with the government further in cases of this nature.
Raia wanakuwa waoga kutokana na namna ya ofis ya mwendesha mashtaka inavyo shughulikia mashauri.mf. Kes ya LemaJe kuna mtu aliyeenda kuripot police au ni hayo maneno ya mitaani na umbea usioisha
Don't you know that you can illegally own something which is not your!?They 're not his certicates, then who owns them ? - Where is the real Paul Makonda then ...?
Hayo yoote yanayosemwa dhidi ya mskonda ,ni vile tu wengi wameshikwa pabaya. .nawanaona huyu kijana kwa ujasiri wake .vigogo wengi wangetajwa.na kwamba Gokolo hili lingevua wengi.kwa hali hii Hela zinatumika kuhakikisha kasi ya kijana huyu makonda inasambaratishwa kabisa...Kama ni kweli tagu mkuu wa wilaya Mpaka RC.hamukutaja lolote, kutajwa wabwia unga mmekuja juu kama moto wa kifuuuu kulikoni? Wanafiki nyie
Mbowe ni polisi au mwanajeshi mbona kaenda mahakamaniRaia wanakuwa waoga kutokana na namna ya ofis ya mwendesha mashtaka inavyo shughulikia mashauri.mf. Kes ya Lema
Nenda NectaAskofu Gwajima anasema mh. Paul makonda ana division zero na amenunua vyeti bandia. Sasa cha kushangaza watu wanaweka ushahidi kwa kutuwekea mapicha ya makonda na huyo wanayedai kununua cheti kwake, yaani mnamtuhumu kwa vyeti ushahidi mnaweka mapicha waliyopiga bustani ni?
Acheni kutufanya watanzania wajinga, unamtuhumu makonda ana vyeti feki halafu unataka makonda aonyeshe vyeti halali? Weka vyeti vyako tuvione kesi iishe.
Tumechoka mapicha ya makonda kuwa ndio ushahidi wa vyeti vyeki, tunataka vyeti vyeki tuvione.
Sasa hivyo vyetu amwonyeshe nani?Unajifanya hujui au na wewe umetumwa? Kipi ni rahisi kwake kuonyesha vyeti au kuzunguka kwa mashehe, wachungaji, maaskofu kutafuta relief? Sasa mshauri akimaliza viongozi wa dini wote aanza na waganga wa kienyeji, japo tunajua ameshaanza ila hata post! upepo huu ni mkali hauachi mtu!
Ulipotelea wapi Ngabu? Nilikumiss hadi nikakuulizia huku. Kuna member mmoja akaniambia wewe ndiye Masogange ukitoka ndani utarudi jukwaani.Hahaaa...nipo huku Ikungulyabashashi kaka.
Nasikia tu hadi wachungaji wanasema eti Paul Makonda si jina lake bali jina lake ni Daudi Bashite na ushahidi wanao lakini hawatuonyeshi huo ushahidi.
I wonder why!
Things that make you go hmm....
Cross examination ni kesi? Na kwani haijulikani kuwa forgery ni kosa la jinai?
kaka nani kasema cross examination ni kesi?kule ndo mawakili huwa wanapata nafasi ya kumuuliza mtuhumiwa au shahidi hata mambo binafsi ili kujenga hoja,utashangaa kwenye kesi ya katiba akaulizwa kama anamjua Daudi Bashite?hapo ndo mchezo unapoanzaCross examination ni kesi? Na kwani haijulikani kuwa forgery ni kosa la jinai?