Kama ni kweli na ushahidi upo....

Kama ni kweli na ushahidi upo....

Kesi ya jinai inaendeshwa na serikali na sio mtu binafsi.

Mwenye wajibu wa kuchunguza na kumpeleka huyo jamaa mahakamani ni serikali.
Kuna tofauti kati ya kuendesha kesi na kuripoti kesi. Ukipigwa mtaani utasubiri serikali iendeshe kesi au utaripoti polisi kwanza? Wenye ushahidi kuwa Makonda amefoji elimu yake na waripoti kwenye mamlaka husika.
 
Come on now, what's in a name? If Paul could be Daudi and Makonda could be Bashite, why do we need names when the picture says it all? Remember a picture is worth a thousand words and a drawing shows at one glance what might be spread over ten pages in a book

Where is the evidence that proves Paul Makonda is not Paul Makonda but Daudi Bashite?

Where is it? Please show me so I can drop on him like a ton of bricks.
 
Kwa hali ilivyo:
Kuna raia wanamtuhumu Mkuu wetu wa Mkoa kuwa ameiba utambulisho wa mtu mwingine kupitia vyeti.

Sisi wenye Imani na mkuu wetu wa mkoa. tunamuomba, ajitokeze, azivunje tuhuma hizi, aonyeshe vyeti vyake, ili awaonyeshe hawa vizabizabina kuwa yeye ni mtu safi na elimu yake haina chembe ya shaka!

Kitendo cha kukaa kimya bila kujibu tuhuma, ni kuonyesha kuwa tacitly anakubaliana na tuhuma hizo!.

Kitendo cha mke wake kufuta post ya Instagram aliyoipost zamani kabisa akijitambulisha kama mama Daudi inaonyesha kuwa kuna kitu kinafichwa, kwa nini afute?- Kikawaida, kwa nchi za Ulaya/marekani ukiwa na tuhuma za post fulani kwenye mitandao ya jamii halafu ukaifuta, inapelekea kuaminika kwamba unaficha kitu, Tena basi ukiwa raisi ndo kabisaaaa huruhusiwi kufuta kile ulichokwisha posti.

Tumeona kwa mujibu wa taarifa mpya, Makonda ana ndugu wa kuzaliwa naye, lakini wazazi wake wanadai wana mtoto mmoja, Je wanaficha hizi information kwa nini?

Ni dhahiri Makonda hana namna, ni lazima aje clean katika hili suala ili kurudisha imani ya wakazi wa mkoa wa DSM kwake!
 
Where is the evidence that proves Paul Makonda is not Paul Makonda but Daudi Bashite?

Where is it? Please show me so I can drop on him like a ton of bricks.
Please stop acting like a climate change denier

bashiteakamakonda-jpg.475590

Don't these three look like siblings? 🙂🙄😱!!!​
 
Hahaaa...nipo huku Ikungulyabashashi kaka.

Nasikia tu hadi wachungaji wanasema eti Paul Makonda si jina lake bali jina lake ni Daudi Bashite na ushahidi wanao lakini hawatuonyeshi huo ushahidi.

I wonder why!

Things that make you go hmm....
Makosa yote ya jinai, anayeweza kufungua mashtaka ni Jamhuri kwa kupitia polisi (DPP). Wewe raia uliyetoa taarifa juu ya uwepo ya jinai unakuwa shahidi.

Lakini pia watu wanatakiwa kujua kuwa, mahakamani hasa mahakama za kwetu hapa, unaenda kama option ya mwisho maana ukipeleka shitaka mahakamani, mpaka hukumu kuja kutoka inaweza kuchukua hata miaka 10. Kama kuna njia nyingine za kumwajibisha mhalifu ni afadhali kuzitumia hizo kuliko kukimbilia mahakamani ambako hukumu itachukua miaka, hasa mawakili wakiamua kuirefusha kesi.
 
Kwa hiyo mimi nikija hapo ulipo na kukutwanga ngumi kwenye chembe huwezi kwenda mahakamani kunifungulia mashitaka ya kukushambulia?
Ukitwangwa ngumi, wewe uliyetwangwa unaweza kufungua kesi ya madai, na kuiomba mahakamani imlazimishe aliyekutwanga kukulipa fidia kutokana na athari ulizozipata wewe binafsi. Lakini kosa la kukutwanga ambalo ni jinai, utaripoti polisi, na Jamhuri ndiyo itakayomshtaki mahakamani aliyekutwanga kwa sababu shambulio la mwili ni kosa la jinai.
 
He/she who alleges must prove.

Allegations don't just prove themselves.

So did I miss the memo or something?

Mkuu, kesi za jinai bongo ni kama kesi za domestic violence za US. You call 911 to report a domestic violence incident, but you don't have the right to move the case forward; nor are you obliged to testify against or for the alleged perpetrator - whether you are the victim or witness. It is the prosecutor, based on the evidence presented to him/her by the cop who responded to the 911 call, who has the discretion to decide whether the case moves forward or not, depending on the facts of the case.

Similarly, in Tanzania, state attorneys (mawakili wa Jamhuri) decide, at their own discretion, whether or not the case moves forward. Worse still, the Tanzanian government is more corrupt. You don't expect to win a case against the government, in Tanzania, especially when a senior government official is involved. In fact, you can expect negative outcomes such as being detained and or tortured if you pursue the fight with the government further in cases of this nature.
 
Huyu Jamaa Simpendi by Nature tokea Zamani yani ni kichefuchefu kwangu Ila Lazima Niwe mkweli nimemjua huyu Dogo tokea mwaka 1992/93 wakati akiishi kwa mh.meya Kamese na tulikuwa tukikutana saana kwenye mazoezi ya mchezo wa mpira wa kikapu Basketball ndani ya compound ya Hospital ya Rufaa ya Bugando kuna eneo la Uwanja wa Basketball kwa ruhusa ya Father moja tulipewa nafasi ya kufanya mazoezi mule Ndani kwa ajili ya timu yetu ya Bugando Planet .
Huyu Dogo Alikuwa akipenda saaana kufuatana na kampani za watoto wa wakubwa mfano hapo Bugando alikuwa akipenda kujichangaya na watoto wa Meneja wa kiwanda cha Mwatex wakati huo Mzee Marwa wanae kina Msafiri(alikuwa ubalozi wa Tanzania UK)Amani Sasa Marehemu na Majaliwa waliokuwa wakiishi maeneo ya kota za Mwatex.
Siku moja niliwahi kutaka kumzabua vibao baada ya kueneza uvumi kuwa mimi ndie nilikuwa naandika majina ya waliotoa mchango wa Beach Part iliyokuwa imepangwa kufanyika Igombe siku hizi Tunza Beach Nilipozinasa habari hizo siku iliyofuatia Nikamnasa akataka kukimbia nikamdaka Akalia saana kuwa anasingiziwa Bahati alikuwepo Bwana Mmoja anaiitwa Bukombe akamuombea msamaha pia mwalimu Campbell aliyekuwa akitufundisha akanitahadharisha ikitokea ukampiga akalia au kuumia tunaweza kufukuzwa hapo Bugando.
Nachokishangaa huyu jamaa tokea enzi hizo tulikuwa tukimwita Makonda Domo na sio hilo jina la Bashite ila Jina la Daud pia sikumbuki kama alikuwa akilitumia Huu ndio ukweli na wala sifichii.
Dogo alikuwa anatabia za kishosti saana na anapenda kujipendekeza hata mimi awali aliaanza kunishobokea kijifanya ananijuwa washakiji zangu enzi hizo kutoka sweet corner wakanibonyeza huyo Dogo bwabwa kimtindo mpoteze
 
Huyu Jamaa Simpendi by Nature tokea Zamani yani ni kichefuchefu kwangu Ila Lazima Niwe mkweli nimemjua huyu Dogo tokea mwaka 1992/93 wakati akiishi kwa mh.meya Kamese na tulikuwa tukikutana saana kwenye mazoezi ya mchezo wa mpira wa kikapu Basketball ndani ya compound ya Hospital ya Rufaa ya Bugando kuna eneo la Uwanja wa Basketball kwa ruhusa ya Father moja tulipewa nafasi ya kufanya mazoezi mule Ndani kwa ajili ya timu yetu ya Bugando Planet .
Huyu Dogo Alikuwa akipenda saaana kufuatana na kampani za watoto wa wakubwa mfano hapo Bugando alikuwa akipenda kujichangaya na watoto wa Meneja wa kiwanda cha Mwatex wakati huo Mzee Marwa wanae kina Msafiri(alikuwa ubalozi wa Tanzania UK)Amani Sasa Marehemu na Majaliwa waliokuwa wakiishi maeneo ya kota za Mwatex.
Siku moja niliwahi kutaka kumzabua vibao baada ya kueneza uvumi kuwa mimi ndie nilikuwa naandika majina ya waliotoa mchango wa Beach Part iliyokuwa imepangwa kufanyika Igombe siku hizi Tunza Beach Nilipozinasa habari hizo siku iliyofuatia Nikamnasa akataka kukimbia nikamdaka Akalia saana kuwa anasingiziwa Bahati alikuwepo Bwana Mmoja anaiitwa Bukombe akamuombea msamaha pia mwalimu Campbell aliyekuwa akitufundisha akanitahadharisha ikitokea ukampiga akalia au kuumia tunaweza kufukuzwa hapo Bugando.
Nachokishangaa huyu jamaa tokea enzi hizo tulikuwa tukimwita Makonda Domo na sio hilo jina la Bashite ila Jina la Daud pia sikumbuki kama alikuwa akilitumia Huu ndio ukweli na wala sifichii

Ona sasa na wewe...kama yeye kazaliwa mwaka 1981 na wewe unadai miaka ya 92 na 93 mlikuwa mnamwita Makonda....

Duh...ona sasa.

Mwaka 92 na 93 mlikuwa mnamwita Makonda.

Yeye tunaambiwa kazaliwa 1981.

Aisee!!!
 
Ngabu wala sikufichi hizo details zingine zinakinzana na ukweli bahati mbaya photo album niliiwacha Dar ila huo ndio ukweli kama kuna mtu anamfahamu Idi Baka Pandisha mumewe Asha baraka wa Twanga pepeta amtafute atathibitisha haya ninayoandika maana Idi baka ndio alikuwa team captain wetu mwaka 1992 mpaka 1995 Huyu Dogo kiherere saana tokea zamani ila ukweli ni kuwa hilo jina la Bashite Sikuwahi kulisikia na ikiwa alizaliwa 1981 mpaka 1993 Kwa Umri aliyokuwa nao sidhani kama ni kweli maana kipindi hicho alikuwa na wajihi usiopunguwa umri wa miaka 17-20 Alikuwa Dogo halafu mpenda story saana na hasa usengenyaji kama shoga vile
 
The plot thickens....

Oh well..hata hivyo attention span yetu wabongo ni fupi mno.

Hadi kufikia mwisho wa wiki habari nzima itakuwa ishapita.
 
Hata hapo Bugando alikuwa akija kufuata mkumbo tu kwa watoto wa matajiri na watoto wa wakubwa hiyo Basket yenyewe hakuwahi kicheza yeye alikuwa akija kukaa na kuleta majungu tu.
 
Hilo nalo neno! Baba angekua na nia ya kumtumbua mwana angelifanya tokea mda... Hapa kinachofanyika ni kum-pressurize baba amtupe mwana chini ya basi
Aye...nice name there...

I like paprika very much.
 
Ushahidi ni mwingi sana tu..ukiwemo wa MKEWE kufuta acc ya Instagram..YENYE JINA LA DAUDI BASHITE... .. wazazi wake kudanganya kwamba makonda kazaliwa peke YAKE kumbe ana DADA na Mdogo wake.
Ila wanatumia SURNAME YA BASHITE...... kukaa kwake kimya ..BILA KUKANUSHA......VYETI vya shule SIO TUNGURI ...kwamba VINA MASHARTI kuvitoa mpaka uombe mizimu?NA kwa anavyopenda sifa bwana BASHITE... LAZIMA angeshavitoa faster tu...
867e7ceebd12461414522b4ff3c90a95.jpg
Unataka kusema mpaka wazazi wake nao wanatuficha kakitu flani?
 
Aye...nice name there...

I like paprika very much.

I see you have been sillying around here, in US they call it sexism, ile thread Mod wamekusikiliza na wameifuta sababu hasa sijaiona, according to you was silly, but hey democracy works in strange ways..
 
Kwa hiyo mimi nikija hapo ulipo na kukutwanga ngumi kwenye chembe huwezi kwenda mahakamani kunifungulia mashitaka ya kukushambulia?
Unapompiga mtu ngumi kuna mawili... Ikiwa vyombo vya dola vitashuhudia utashtakiwa na jamhuri na yule uliyempiga atakuwa shahidi. Ikiwa vyombo vya dola havikuwepo huyu ataenda kushtaki kutetea interest zake ikiwemo kudai fidia kwa madhara yoyote atakayokuwa ameyapata. Kwa hio kumshambulia mtu pana kesi mbili... Jinai na madai.. ..katika hili unalolisema uwezekano Upo Lakini je.... Nani ataenda kumfunga paka kengele??
 
Back
Top Bottom