Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Its an amazing spice.You got it.
Oh yeah..?
Let me do what it do and find out....I'm OMW....
And by the way, I sprinkle paprika on my scrambled eggs every morning![]()
Its an amazing spice.You got it.
Oh yeah..?
Let me do what it do and find out....I'm OMW....
And by the way, I sprinkle paprika on my scrambled eggs every morning![]()
Kwahiyo maneno pekee yatasaidia? Mbowe aliyepeleka kesi mahakamani dhidi ya makonda na wenzake ni nyani au ngedere?ha ha ha
kesi ya nyani umpelekee ngedere
Cross examination ni kesi? Na kwani haijulikani kuwa forgery ni kosa la jinai?mbona una kiherehere ,bashite hachomoki ,subiri kesi ya kikatiba ikianza cross examination ndo atabanwa mbele ya hon judge and ruling itaweka precedent kwenye law report kuwa kuchakachua vyeti ni criminal offence,
Asipoleta atahathirika nini? Anaendelea kuchapa kazi huku anapigiwa salute wewe unasugua makalio tu.Na yeye kwa nini asilete vyeti?
Au anaupenda huu mchezo?
Tunaichelewesha Tanzania!
Sasa aliyejitangaza ana ushahidi ofisini kwanini asiupeleke?Mkuu Nyani Ngabu,mfumo wa kisheria wa nchi yetu ya Tanzania hauruhusu mtu binafsi kumfungulia mwingine,na kuendesha kesi mahakamani,kesi ya jinai. Kinachotakiwa ni kwa mtu mwenye ushahidi dhidi ya jinai ya mwingine kuuwasilisha ushahidi huo kwa mamlaka zinazohusika,mfano polisi au TAKUKURU,ili hatua stahiki zichukukiwe. Mamlaka hizo na nyinginezo,kama Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ndizo zitakazomshtaki mhusika. Ndiyo kusema,wenye kuamua kushtaki au la ni watawala waliopo kwenye mamlaka hizo iwe ushahidi umekabidhiwa au ule walionao wenyewe.
Hana shida hiyo sab hizo ni sawa na kelele za chura.Hili swala la Makonda mbona limekuwa complicated-in this day and age it should not be happening-could it be analindwa na the master-why don't he just come out and cleanse himself of the dirt
Lema hapa anahusikaje?Fuatilia kesi ya mheshimiwa Lema
Sasa hapa nani alaumiwe kati ya aliyekalia ushahidi ofisini akingoja kuombwa msamaha au anayejiamini kuwa ana vyeti sahihi?Wakwetu, mpaka sasa mlalamikaji hajulikani ni nani. Inawezekana hawampeleki mahakamani kwa vile hakuna anayefaidika au watu wanasubiri waone action za Mkuu kwa vile toka aingie alitangaza kuwashughulikia wenye vyeti fake!!
Anyway, kuna mahali nimeuliza, hivi kweli hakuna mwanachama wa JF kutoka Koromije?
Hivi kweli hakuna vijana waliosoma naye Pamba Secondary ambao ni wanachama wa JF!!?
Bahati nzuri Gwajima wanatoka kijiji kimoja ila hawakuwa wanafahamiana. Sasa tusubiri huo ushahidi wa Gwajima tuone kama ni kweli ............ tatizo hakutoa time frame ya lini atautoa kama hataombwa msamaha au kama Mh. hatawajibishwa!!
Amuonyeshe nani? Ili iweje? Kwanini mwenye ushahidi haupeleki mahakamani?Kwa mtu ambaye hataki kupaka tope tumbua lake la kisiasa lazima angefuata ushauri wangu
Ila kama angekuwa ni Manji anaulizwa vyeti, Angekuwa Hajavileta?
So kimya kingi humaanisha vingi mubashara
Msitutoe kwenye reli
Analipwa kodi zetu
aonyeshe vyeti
Mbona Simple!
so far hamna ushahidi!!
na wanakosa nguvu!!
Trump hajafika kwako ??Hahaaa...nipo huku Ikungulyabashashi kaka.
Nasikia tu hadi wachungaji wanasema eti Paul Makonda si jina lake bali jina lake ni Daudi Bashite na ushahidi wanao lakini hawatuonyeshi huo ushahidi.
I wonder why!
Things that make you go hmm....
Ushahidi wao eti huu hapa..
![]()
Huo ndio ukweli anajibu mapigo ya kutajwaAhahahaaa....kwa hiyo kumbe huyo Gwajima naye hakuuonyesha huo ushahidi anaodai anao.
Hivyo hatuwezi hata kujua kama kwamba [1] anao kweli na [2] ni ushahidi unaotosha na kuridhisha.
Hivyo hata yeye anaweza akawa anazusha tu ili kupoteza kabisa lengo na kuzua mparaganyiko tu.
Alimsimamisha uchunguzi ufanyike baada ya tuhuma zenye upotevu wa pesa za serikali.Kakutuma Bashite na Magufuli ugeuze kibao tukuulize Magufuli alipomtumbua Kabwe alituonyesha ushahidi wanalo hilo na watu wanavielelezo kibao wanangoja makonda aseme sitaki kuchafuliwa vyeti vayangu hivi tngu kuzaliwa hadi leo