Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,149
- 137,150
- Thread starter
- #421
Trump hajafika kwako ??
Saizi yako ni habari za Wema, Batuli, Gwajima na Makonda tu.
Za Trump kina kirefu.
Trump hajafika kwako ??
Kwahiyo wewe unaijua vizuri familia ya Makonda kuliko baba na mama yake ?This saga has taken a new turn,wazazi wake wamemwambia Zamaradi(clouds) kwamba yeye ni mtoto pekee but under the carpet imeonekana ana dada mkubwa na mdogo wa kiume-why all this-its obvious the end is near-the loop is closing-To escape this quagamire one has to be Houdini,unfortunately he is not. Fallout ya hii Magufuli,s credibility will be in jeopardy
Showing publicly academic certicates, really ?So long as you can not prove them wrong, the only way is to seek public compassion.
Phrases won't do you any good.
Come out and show what you got!
Serikali ni nani?Kesi ya jinai inaendeshwa na serikali na sio mtu binafsi.
Mwenye wajibu wa kuchunguza na kumpeleka huyo jamaa mahakamani ni serikali.
Msiwe wasahaulifu, ni juzi juzi tu hapa mlileta matokeo ya Mwanaasha Kikwete kuwa amefeli, Tena hamkutosheka mkayaleta na matokeo ya Jesca Magufuli, mnashindwaje kuyaleta ya The so called David Bashite na muweze kuya link na Paul Makonda na mtushaidishe kuwa they are same person in real?Showing publicly academic certicates, really ?
- Wewe mwenyewe ulifeli, then if not upload yours hapa tuone
Nimenda hayo maneno "precedent,law report na criminal offence" MWe kusoma raha natamani nirudi shule
Lima bustani hata ya mchicha mkuu hapo kwenu "you go get back to normal psychologically, hauko sawaMsiwe wasahaulifu, ni juzi juzi tu hapa mlileta matokeo ya Mwanaasha Kikwete kuwa amefeli, Tena hamkutosheka mkayaleta na matokeo ya Jesca Magufuli, mnashindwaje kuyaleta ya The so called David Bashite na muweze kuya link na Paul Makonda na mtushaidishe kuwa they are same person in real?
Hivi nawezaje kuwa sawa na wewe? umezoea kulialia na kulalamika!! Hata mlima mchicha ana nafuu kuliko wewe!!Lima bustani hata ya mchicha mkuu hapo kwenu "you go get back to normal psychologically, hauko sawa
Kanusha weweTujikumbushe namna ya habari za upotoshwji zinavyo shughilikiwa katika serikali yetu. Je unakumbuka Jerry Muro alipo zushiwa kuwa mteule wa Sizonge Mara moja Habari hiyo ilikanushwa Vikali na mamlaka husika. Lakini lilipo zushiwa la kutenguliwa kwa Mrisho Gambo Je? mamlaka zilikaa kimya Bila kukanusha habari hiyo.Kama habari za uongo hukanushwa, na habari ya makonda kutumia cheti kisicho chake ni habari ya uongo kwanini haikanushwi?
Alikuambia hivyo kuwa anazunguka na mashekhe na wachungaji kutafuta relief au hisia zako zinakupeleka puta? onyesha mahala sote tuone na tujiridhishe huyu mkuu kweli ameshikwa na anatafuta relief, else itabakia kuwa majungu wa wauza ngada.Unajifanya hujui au na wewe umetumwa? Kipi ni rahisi kwake kuonyesha vyeti au kuzunguka kwa mashehe, wachungaji, maaskofu kutafuta relief? Sasa mshauri akimaliza viongozi wa dini wote aanza na waganga wa kienyeji, japo tunajua ameshaanza ila hata post! upepo huu ni mkali hauachi mtu!
Habari za Muro na Gambo zilikanushwa na ikulu sababu huo uzushi ulitengeneza tangazo feki iliyoonekana limetolewa na Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu,Issue ya vyeti/majina feki pia imewahi kuwakumba Mwigulu na Kigwangala lakini serikali haikutoa tamkoTujikumbushe namna ya habari za upotoshwji zinavyo shughilikiwa katika serikali yetu. Je unakumbuka Jerry Muro alipo zushiwa kuwa mteule wa Sizonge Mara moja Habari hiyo ilikanushwa Vikali na mamlaka husika. Lakini lilipo zushiwa la kutenguliwa kwa Mrisho Gambo Je? mamlaka zilikaa kimya Bila kukanusha habari hiyo.Kama habari za uongo hukanushwa, na habari ya makonda kutumia cheti kisicho chake ni habari ya uongo kwanini haikanushwi?
Lakini wahusika hawakukanusha na kueleza bayana uhusika wao?.Makonda anapata kigugumizi gani? Katika hili.Habari za Muro na Gambo zilikanushwa na ikulu sababu huo uzushi ulitengeneza tangazo feki iliyoonekana limetolewa na Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu,Issue ya vyeti/majina feki pia imewahi kuwakumba Mwigulu na Kigwangala lakini serikali haikutoa tamko
Hahahaaa....huo ushahidi alonao mbona naye hatuonyeshi?
Anasema tu kuwa anao.
Welp, saying it so doesn't ever make it so.
But we shall see.