Kama ni kweli na ushahidi upo....

Kama ni kweli na ushahidi upo....

mbona una kiherehere ,bashite hachomoki ,subiri kesi ya kikatiba ikianza cross examination ndo atabanwa mbele ya hon judge and ruling itaweka precedent kwenye law report kuwa kuchakachua vyeti ni criminal offence,
Tusubiri nini? To a ushahidi tumshitaki, acha maneno weka ushahidi
 
Hapaswi kutumbuliwa kwa kuwa ni jasiri? Kuna watu wengi wapo huko ni majasiri hawana elimu vipi nao watumie vyeti vya ndugu zao maana wengine wana elimu ya darasa la nne lakini wana ndugu zao walikuwa wana PhD wameshatangulia mbele za haki watumie vyeti vyao? Kama kinachohitajika ni ujasiri ajirini vijana achaneni na ukaguzi wa vyeti mje na ukaguzi wa wa siyo jasiri
Nina wasiwasi na wewe unaweza kuwa Gwajima
 
Kesi ya jinai inaendeshwa na serikali na sio mtu binafsi.

Mwenye wajibu wa kuchunguza na kumpeleka huyo jamaa mahakamani ni serikali.
Acha kupotosha umma, hiyo sheria ulisoma wapi.....??
 
Mmmmmmmm

Mmmmmmmmhhhhh.....una jua how EACJ inavyo fanya kazi au umeongea tuu?
Kwa mtu anayejua kusoma na kufikiri vzr ujumbe wangu uko wazi mkuu

Kama unamaelezo mengine ya ziada ongezea tu
 
Watetezi wa Makonda naona mnavyozidi kujitokeza...walianza washikaji, wakaja wenzi, wakaja marafiki na sasa ndugu nao wameamua kujitokeza, hawataki kubaki nyuma. Ninao ushauri mzuri kwenu wote mliotajwa hapo juu, kama kweli mna nia thabiti ya kumsaidia, kwamba mtakuwa mmemtendea haki isiyo na kifani kama mtampa ushauri huu.

Akusanye vyeti vyake vyote aende navyo kwa Waziri Ndalichako vithibitishwe halafu awaite waandishi wa habari kuwapa tahadhari wote waliovalia njuga swala la elimu yake kwamba kuanzia sasa jina Daudi Bashite limepigwa marufuku kutajwa na kuwaagiza polisi wakiongozwa na kamanda Sirro kumshughulikia bila huruma yeyote atakayekaidi.
Hilo zoezi lilishakamilika mkuu labda sema jingine
 
Tunatafuta legitimacy yake kielimu. Kama kiongozi hapaswi kuwa na makandokando. Vitu kama umalaya tunahitaji mahakama? Anatakiwa kusimama na kueleza bayana juu ya tuhuma zinazo mkabili.
 
Nadhani hata anayetuhumu hajaweka obvious zaidi ya kusema ushahidi anao...sasa kwa kumtaka mheshimiwa aweke vyeti wazi kwa uelewa wangu wa darasa la saba nadhani anayetuhumu nae angeweka vyeti wazi ili kumpa urahisi mheshiwa namna ya kukanusha...lakini hii y sasa ni tuhuma tu ambayo bado ukweli wake haupo...
 
This saga has taken a new turn,wazazi wake wamemwambia Zamaradi(clouds) kwamba yeye ni mtoto pekee but under the carpet imeonekana ana dada mkubwa na mdogo wa kiume-why all this-its obvious the end is near-the loop is closing-To escape this quagamire one has to be Houdini,unfortunately he is not. Fallout ya hii Magufuli,s credibility will be in jeopardy
 
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.

Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.

Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?

Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?

Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?

Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.

Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.

Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.

Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?

Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Hujui hii ni Tanzania mpya.
Tanzania ya viwanda.
Tanzania ya kanda ya Ziwa.
Hata kilaza anapewa cheo.

Tuikuze kanda ya ziwa huko kaskazini walituoneaga sana
 
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.

Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.

Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?

Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?

Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?

Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.

Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.

Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.

Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?

Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Ushahidi ni mwingi sana tu..ukiwemo wa MKEWE kufuta acc ya Instagram..YENYE JINA LA DAUDI BASHITE... .. wazazi wake kudanganya kwamba makonda kazaliwa peke YAKE kumbe ana DADA na Mdogo wake.
Ila wanatumia SURNAME YA BASHITE...... kukaa kwake kimya ..BILA KUKANUSHA......VYETI vya shule SIO TUNGURI ...kwamba VINA MASHARTI kuvitoa mpaka uombe mizimu?NA kwa anavyopenda sifa bwana BASHITE... LAZIMA angeshavitoa faster tu...
867e7ceebd12461414522b4ff3c90a95.jpg
 
89359a6c0a1984337d6453ebd11a4440.jpg
 
This saga has taken a new turn,wazazi wake wamemwambia Zamaradi(clouds) kwamba yeye ni mtoto pekee but under the carpet imeonekana ana dada mkubwa na mdogo wa kiume-why all this-its obvious the end is near-the loop is closing-To escape this quagamire one has to be Houdini,unfortunately he is not. Fallout ya hii Magufuli,s credibility will be in jeopardy
Not only jeopardy but utter humiliation ,lets see what next
 
Ushahidi ni mwingi sana tu..ukiwemo wa MKEWE kufuta acc ya Instagram..YENYE JINA LA DAUDI BASHITE... .. wazazi wake kudanganya kwamba makonda kazaliwa peke YAKE kumbe ana DADA na Mdogo wake.
Ila wanatumia SURNAME YA BASHITE...... kukaa kwake kimya ..BILA KUKANUSHA......VYETI vya shule SIO TUNGURI ...kwamba VINA MASHARTI kuvitoa mpaka uombe mizimu?NA kwa anavyopenda sifa bwana BASHITE... LAZIMA angeshavitoa faster tu...
867e7ceebd12461414522b4ff3c90a95.jpg
Majina ya hao siblings ni nani na nani?
 
This saga has taken a new turn,wazazi wake wamemwambia Zamaradi(clouds) kwamba yeye ni mtoto pekee but under the carpet imeonekana ana dada mkubwa na mdogo wa kiume-why all this-its obvious the end is near-the loop is closing-To escape this quagamire one has to be Houdini,unfortunately he is not. Fallout ya hii Magufuli,s credibility will be in jeopardy
Hmm...sasa hao wazazi wadanganye ili iweje?

Some things just don't compute!

Ina maana wakati wapo na huo ujauzito wa hao watoto wawili tena kwa nyakati tofauti hakuna mtu au watu waliokuwa wanajua kiasi cha wao kuja na kuanza kudanganya kwenye vyombo vya habari?

Ni majuha kiasi hicho cha kuweza kusema kwenye chombo cha habari kuwa wana mtoto mmoja tu wakati wana watoto watatu?

This thing is getting so ridiculous now.
 
Majina ya hao siblings ni nani na nani?
Come on now, what's in a name? If Paul could be Daudi and Makonda could be Bashite, why do we need names when the picture says it all? Remember a picture is worth a thousand words and a drawing shows at one glance what might be spread over ten pages in a book
 
Back
Top Bottom