Kama ni kweli na ushahidi upo....

Mmeshaenda huko mahakamani mkajibiwa hivyo au mnarukaruka tu?
 

Oh no!

Mbona nimeshanena tena kwa uthabiti kabisa kuwa alichofanya Makonda ni upuumbavu. Au hujaona?

Kwa uzoefu wangu mimi hizi operesheni za kukamata wauza na watumia mihadarati watu wa mamlaka kwenye nchi zingine huwa wanahakikisha kuwa wana ushahidi wa kutosha kupata conviction mahakamani kabla hata hawajaamua kwenda public na kukamata watuhumiwa.

Na kifuatacho baada ya hapo ni mambo ya plea bargaining ili kupata taarifa zaidi za wengine wanaojihusisha na hayo mambo.

Sasa huyu Makonda sidhani hata aliwa wire tap hao aliowataja achilia mbali catching them in the act.

Inaonekana alikurupuka tu.
 
Wacha maneno Gwajima kasema magufuli asipochukua hatua yeye atachukua. Gwajima ametumia busara na kuwapatia wahusika muda wa kutosha wachukue hatua zikiwemo za kupangiana kazi nyingine, na wasipofanya hivyo ndipo A, B, C, na D vitatenganishwa.
 
Kesi ya jinai inaendeshwa na serikali na sio mtu binafsi.

Mwenye wajibu wa kuchunguza na kumpeleka huyo jamaa mahakamani ni serikali.
Hapana au ndiyo yote majibu. Lakini, kama una tetesi huyu mtu ni mwizi nadhani jukumu lako kubwa ni kwenda mahakamani kumshitaki ili haki itendeke. Kupiga makelele hovyo kama mbwa koko maana yake huna uhakika na ni majungu tuu. Na kusema ukweli ni majungu tuu au tuseme blaa blaa za wachungaji feki. Hivi Makonda kapata ukuu wa mkoa mwezi jana au lini? Kaanzia ukuu wa wilaya wakati wa JK na hawa watu wapo hapa hapa na makanisa yao yako hapa hapa. Magu kaja kampa ukuu wa mkoa wapo hapa hapa Dar es salaam hii. Walikuwa wapi? Huu ni upuuzi na inaonyesha kabisa ni kwa kiasi gani madawa ya kulevya ni tatizo kuuuubwa hapa nchini. Kwa taarifa yenu, Kitwanga mnaembez humu kila siku ni madawa haya haya ya kulevya baada ya kuwa anawakamata kwa hiyo kimya kimya yenu mnayosema au mnayotaka. Ni bira kuwataja hadharani kama makonda ili wapige makelele tuwafahamu hata sisi tusiokuwa na mitandao. Now we know them exactly. Makonda kwangu mimi hapaswi kutumbuliwa hata kama vyeti vyake vingekuwa na kutu ya aina gani. Ni kijana jasiri na tunamhitaji. Mabadiliko yatatokea CCM na si kwingineko. Hawa wapinzani tuliowashangilia sasa wameshalipwa na wauza unga na wanawatetea. Hakunaga sheria kwenye upuuzi. Sheria mtu akiua inaweza kumuachia huru kama ana wakili ajuae kupanga maneno. Na ndiyo chimbuko la neno sheria ni msumeno. Itumike kwa vitu vya kawaida si miraaaaa.
 
mkuu wangepiga picha eneo waliko magaidi .....

jamani, hata copy ya hivyo vyeti??

au hata matokeo yale ya kubandikwa ukutani hamna???
Hoja ni je polisi watakaa kimya kwa kuwa tu hamna picha ya eneo walipo magaidi?
 
Nauliza kma Serekali haishitakiwi yle Marehemu Cristopha Mtikila hajawahi kuishitaki Serekali? mi pia sina Elimu nauliza ili nijue
Kuna jinai na madai kasome hapo kwanza
 

Kwa uzoefu tu wenye taaluma yenu mtusaidie zaidi.
Taarifa za uhalifu zimetolewa hadharani. Ni wajibu wa mtuhumiwa kukanusha hadharani au kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wazushi ikiwa ana Hakika tuhuma dhidi yake ni za uongo.
Serikali kwa upande wake inao wajibu wa kuchunguza shutuma na taarifa za kihalifu na kufikisha watuhumiwa mahakamani.
Ifahamike kuwa yeyote anayevunja sheria ya nchi kwa kosa lolote la jinai huwa ameikosea Jamhuri naye hushtakiwa na Jamuhuri
Aliyetendewa kosa au mlalamikaji huwa ni shahidi wa kwa upande wa serikali.
 

Aliyemteua anamlia timing tu amtumbue ,kwanza amempa muda "ajitumbue" na aondoke kwa "heshima" lakini jamaa ameubeba mzigo asiouweza. Anapata flashback ya kufunga nyuzi za viatu za watu wale ambazo zinamwogopesha.
Huyu Mr. Daudi ni wazi amezikubali tuhuma zinazoelekezwa kwake kwa sababu huu ukimwa wake juu ya vyeti halali na halisi. Kama anavyo ni suala la kulizima kwa dakika 2 tu. Ni kama hapana kazi tu na kutumbua jipu.

Mr. Daudi kama anavyo vyeti halali na halisi ambayo ni vyake, kwa kelele zinazopingwa kwamba aviweke hadharani basi naamini kwa anavyopenda kamera na tv angelikwishafanya mkutano na waandishi wa habari na kuwaonesha F,0-zake na Div. 1 zake.

Magu na Mr. Daudi wanaviziana. Ni nani kati yao anayemchelewesha mwenzake?

Tumecherewa kweli kweri, mwende kuwatumikia wadanganyika.

 
Hivi kwa jinsi kiumbe yule anavyopenda sifa na media kama angekuwa anasingiziwa unategemea watu wangapi wangekuwa shimoni hadi leo? Nyani hilo swali lako nadhani halina msaada wala maana zaidi ya wewe kuendeleza mada za kushutumiwa kwa daud
 
Hahaha! Mpaka hapa atakuwa kashapigiwa simu na wakubwa wamemwambia tulia tu ni upepo utapita. Kinachonishangaza udanganyifu kama huu ni kosa kubwa kinyume kabisa na sheria ya maadili ya umma, zaidi ni kosa la jinai muhusika yupo kimya mamlaka zipo kimya hata ya kihiyo ilianzaga hivihivi mwisho wake kila mtu anajua. Makonda hajakutwa na hatia kinachojadiliwa sasa na walichokitoa akina Gwajima ni tuhuma tu na kuna presumption of innocence. Lakini tuhuma hizi kwa upande wangu zina kila dalili ya kuwa kweli hebu tusubiri muda utasema.
 
This makes sense
 
Ushahidi wa hayo unayoyasema uko wapi?

Msiishie kusema tu maana kusema ni rahisi mno.

Tuthibitishieni hayo mnayoyasema.
Mkuu ushahidi aweke makonda vyeti vyake ili tuamini.
Unataka usuahidi upi kwani makonda kafa ? Si yupo hai atoe vyeti vyake amalize utata
 
Licha ya kwamba Makonda mwenyewe alichemka vibaya kwenye hiyo vita, lakini hapa nilipo najiuliza kwa nini yote haya ya Daudi Bashite yameibuka sasa hivi na si awali hususan kama watu walikuwa wanajua kuwa hilo jina la Paul Makonda si jina lake kweli.

Noo Nyani Ngabu.
Utata wa jina la huyu kijana ulishaongelewa zamani. Nakumbuka ni gazeti lile lililofungiwa la Mawio ndiyo lilikuwa na habari hiyo. Nakumbuka mwandishi alisema huyu jamaa makonda jina lake halisi ni daudi.
 
kweli mkuu, ila tunarudi pale pale. kwenye kutuhumu vyeti feki approach ya kisomi ni irrelevant - I mean kwa kadri ile ile muheshimiwa alivowatuhumu bure wenziwe kisomilessly (if you like!).
 
Duh!

Kama ni hivyo basi serikali nzima, viongozi wote wa kisiasa wakiwemo Mbowe, Lisu, Lema, Zito, na hata huyo Gwajima nao wangekaa pembeni, siyo?
Kwani nao ni viongozi waajiriwa na serikali!?
 
...kinachoniudhi sana sana ni kuwa hadi sasa watumishi wengi wa umma wamesiamishiwa stahiki zao kwasababu ya uhakiki wa vyeti usioisha......lakini hapohapo kuna mtumishi wa umma tena mkuu wa mkoa hajahakikiwa vyeti vyake hadi kuleta kelele nchi nzima juu ya uhalali wa vyeti yake....

...nachouliza serikali hii inayojiita makini iko wapi??...kwanini serikali hii ya JPM inakuwa na double standards????

..kwanini hadi sasa hili jamaa bashite halijahahakikiwa???wako wapi necta??...wako wapi kina Ndalichako????...hili jamaa bashite kwanini halihakikiwi ili kuondoa hii sintofahamu???....serikali inangoja nini??

///my take ni kwamba hili jamaa bashite wasipolifanyia uhakiki wa vyeti vyake basi zoezi zima la uhakiki litakuwa batili...maana itamaanisha kuna wenye kuhakikiwa na kuna wanaolindwa....

...sielewi maana katibu mkuu baraza la mitihani alishasema watu watoe taharifa kuhusu vyeti feki...sasa watu wametoa taarifa mbona serikali iko kimya????
 
kweli mkuu, ila tunarudi pale pale. kwenye kutuhumu vyeti feki approach ya kisomi ni irrelevant - I mean kwa kadri ile ile muheshimiwa alivowatuhumu bure wenziwe kisomilessly (if you like!).
Kwa hiyo ni kurusha tu tuhuma, ziwe za kweli au la hiyo ni irrelevant.

Kilicho relevant ni kuchafuana tu, siyo?

Duh! Haya bana.
 
Alaa kumbe,kutajwa kwa Gwajima ndio kunaleta yote haya??Alivyotajwa Lowassa fisadi kwa miaka 8,mbona mbowe katajwa siku moja tu kawahi mahakamani asitajwe wala kukamatwa.Kama unamwambia Makonda kaghushi onesha cheti chako kwanza
Cheti changu? Sasa Mimi utanilinganisha na Bashite kama alishindwa kupita kidato cha nne tu?

Swala la vyeti la makonda na kutumia jina la watu halijaanza kujadiliwa hivi karibuni tofautisha jambo kushika kasi na kuanza kujadiliwa. Makonda kuna kitu hapo katikati hamkijui na mtakuja kukijua maana hakunaga siri duniani.

Huyo jamaa amehojiwa kuhusu hilo swala toka kitambo ila baada ya kuwadhalilisha akina Gwajima ndiyo wakaenda kupekenyua zaidi wajue watamkamatia wapi ndiyo wakapata hiyo loophole. Sasa tatizo kwamba hawa wanalipa kisasi haiwezi kuwa guarantee kwamba wanachokisema siyo kweli na kama mnaona timing yao siyo sahihi basi subirieni time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…