babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,176
Nimeanza kujiuliza kwanini Makonda naye hawafungulii kesi wanaomtuhumu?
Hii ni big distraction kwa wakazi wa Dar na Makonda mwenyewe. Tangu hii tuhuma ilipoanza naona kama Makonda kapooza sana!
Hii ni kashfa kwa Makonda na wanao mkashifu haiwapunguzii chochote.