Ukisema single mothers unageneralize kuna wale wengine ambao by fate wanajikuta ni masigle parents/mothers but si kwa kupenda so si lazima awe na tabia kama za mamake.
Should we say the same to senior bachelors?
Mi nazungumzia single mothers nung'aembe type. Exclusion criteria yangu ni wajane na waliobakwa tu.
Kwa senior bachelors naona hai-apply kwa sababu hata ikitokea amepata watoto (au kasingiziwa na manung'aembe), bado hao watoto wataishi na mama zao, kwa hiyo watajifunza wajifunzacho huko kwa mama zao.
Mwenzenu sijaolewa sasa nikaponee wapi? Na ninahitaji mapenzi kama nyie mnavyopata.
Mkuu Mtu B, na wale ambao wametengana na waume zao kwa sababu moja au nyingine, tuwaweke fungu gani? manake sidhani kama wataqualify kuwa manung'aembe....
wewe hazikutoshi kumbe. Kama shida yako ndiyo hiyo nenda kwa machangu, mie najiheshimu. Au kwa vile nimesema natoka na mume wa mtu ndo unadhania hivyo. Siko kihivyo kakangu, hata kama mpenzi wangu ana mke lakini mimi nimetulia naye sina mambo ya kichangu. Ni bahati mbaya tu sina mume lakini huyu bwana niliyenaye nimetulia naye kiukweli.
mapozeo ni huyo mkewe anayemdekia chumba chake na kumkanda misuli baada ya kazi ngumu ya kunitimizia mwenzie. Yeye si ana pete ya ndoa na alifanyiwa harusi kubwa akaserebuka na mashosti zake, alishapata haki yake hiyo inamtosha mie ninaye mume kwa raha zangu. Halohaloooo! Kama alijua ujanja ndoa basi anayo pete inamtosha atajijuuuu!
si mpaka niolewe babu wee! Na ikitokea nimebahatika hivyo nakuapia hakuna wa kumchukua mume wangu, nazijua mbinu zote! Kwa taarifa yako niliyenaye ananiambia kila kitu kinachotokea huko kwake na mkewe hadi yanamshinda. Na mashosti zangu wengine wananisimulia mambo kibao tu, yaani nina elimu acha. Labda tu asitokee wa kunioa, lakini akija kwangu haendi popote nakuapia, makosa yote ya walioolewa nayajua.
kadude kweli kananiwasha sawa kabisa na mkeo kanavyomuwasha, kwani cha ajabu nini kwani mimi si mwanamke kama huyo mkeo. Na kameumbwa kwa ajili ya mwanaume, sasa kama huyo aliyeonesha nia na kunipenda ni mume wa mtu na mimi nimempenda unataka nifanye nini, nikae tu nijifanye sijisikii chochote au nikatafutane na asiyenipenda kama wanavyofanya machangu? Kila binadamu ana haki ya kushirikiana mapenzi na yule mwenye mapenzi naye, tuache unafiki.
na sikufichi namkamua kisawasawa. Yaani ni makamuzi ya kiukweli. Sigusi pesa yake, mie langu penzi tu. Yaani huyo mkewe angejua mumewe anamsemaga nini kwangu wakati ninapompa wallahi angewehuka, acha tu asijue. Na tumekubaliana kutunziana heshima, kwa hiyo suala la kujulikana ni hakuna. Kama ni wewe dada bht uwe na amani tu dear, hutojua kamwe.
And the message goes to..............................[/QUOTE]
Noname....... :behindsofa::rolleyez:
Kaka wewe jiheshimu na wewe.Kukaa kinondoni isiwe nongwa ya kupewa sifa chafuchafu.Sio wote wanakaa kinondoni hawafai(ni hali ya maisha tu imebana) Kuna watu wapo masaki au chuo kikuu na hawafai katika jamii.
kwa hii mijineno uliyomwaga hapa, napata taswira ya jinsi ulivyo (staili zile za k'ndoni kama si za kupasha!! Napata picha pia jinsi gani huyo mwanaume mwenzetu ulivyomlimbwata hata asijue afanyalo ....
labda kwa ushauri tu kama ambavyo wengine wamekuambia, hapo mama hakuna penzi kabisa, muda ukifika atafunuliwa ndo utajua cha mwenzio si chako. Itakapofikia hivyo, tayari utakuwa ushapoteza muda wako pasipo sababu na uzee ushakuingia..mwili umekongoloka, huwezi tena kupata mtu mtulivu na mstaarabu..cv itakuwa imeharibika..muombe mungu akufunulie busara ya kujua kosa unalotenda..usihalalishe uovu wako kwa kutaka huruma za binadamu. Huna wako, tafuta si kila anaekutongoza basi unakubali tu hata kama ni mume wa mwenzio..na wenzio yawauma kama ambavyo ukisikia tena huyo uliyenae sasa anatenmbea na shosti wako mtaa wa pili...fikiria sana uamuzi wako kama kweli wafanya haya..si busara kwa wanamke mwenye heshima zake!!!.l
baraka za mungu zikakufunulie hiyo roho iliyopotea ukamjue yeye ili usitende dhambi hiyo tena!.
Kaka wewe jiheshimu na wewe.Kukaa kinondoni isiwe nongwa ya kupewa sifa chafuchafu.Sio wote tunaokaa kinondoni hatufai(ni hali ya maisha tu imebana) Kuna watu wapo masaki au chuo kikuu na hawafai katika jamii.
Ahaaa kumbe!
Nikipata nauli ntakuja kinondoni.
Kumbe hujawahi fika kinondoni? au na wewe ndio walewale.
Sawa kabisa: Mimi ndio walewale. Na wewe vipi, ndio hao hao?
Naishi kinondoni. I hate kinondoni!hahahahahaa.Kumbe ni walewale(wanaodharau kinodnoni).Dont give me reasons to hate you.I dont want that cause I promise to luv you always no matter what.
Naishi kinondoni. I hate kinondoni!
Hivi Bunju, Boko na Kiwanda Cha Wazo navyo si viko Kinondoni?I love k'ndoni(manyanya,moscow,studio,mkwajuni n.k),Mwananyamala kwa msisiri and the like.
Hivi Bunju, Boko na Kiwanda Cha Wazo navyo si viko Kinondoni?
Hahahahaaa.labda Dar yote imegeuka kuwa kama kinondoni.
Kunahaja ya KUTANGAZA NIA jimbo la Wazo.