wewe mwenyewe umesema unampa kila kitu.....sasa unakana nini hapa na kunigeuzia mimi kibao!!!??Ndio mawazo yenu potofu hayo. Wewe kama unampa mumeo tiGo mpe kivyako, lakini kama ni wa kutoka atatoka kufuata mapenzi ya kiukweli na kwako atakuwa anarudi kufuata ufirauni wa tiGo tu. Utaja..!
Hee msikieni huyu hivi wadhani ni huyo wa kwako tu ndie anayetoa siri za mkewe kwako? Mbona karibia wote wanaocheat hufanya hivyo? So usijidanganye kuwa kwako kafika ndo mana anakuelezea mambo ya familia yake. Ni mbinu tu ya kukufanya uendelee kumpa uroda kwa jina la kukupenda!! Bila kukwambia mkewe kashindwa hiki na kile si utamshangaa kwa nini kakufuata?? pole wee
Hao marafiki wanaokueleza ujinga huo its either mko kwenye kundi moja au wanakucheka ujinga! Kalagha baho. Eti wako hatochukuliwa ah mie unanichosha mpenzi hebu nisepe maana unantia hasira ka vile mume wangu ndo unayetembea naye!!
USHAURI WA BURE KWA WAPWAZ, BINAMUS, KAZINS NA ALL THE BABUZ AND BIBIZ
Tusitoe nafasi kujadili madudu kama haya kutoka kwa mtu aliyejirejista kuja kumharibia mood mwanamke mwenzake
kwani kuruhusu haya ni kukaribisha ze utamu kidogokidogo kwenye hili jamvi; naona tunaenda kwenye mipasho... sadly tunaipa nafasi
chonde-chonde ndugu zangu, tusitumike kudhalilisha wenzetu au kuwa vehicles za personal malice
Naona kabisa hii thread ni ya kumuudhi mtu n huyo Da sophy kaja na lake jambo
SHETANI ASHINDWE!!
mdada unajielewa kweli? mbona uanchanganya na mkewe?
well said binamu
mimi naona ananichimbia ban ya maisha humu!!!
well said binamu
mimi naona ananichimbia ban ya maisha humu!!!
hehehe ukiangalia post yangu ya mwanzo katika hii sredi nilikuwa namaanisha hicho alichoongea de novo lakini vijana walikuwa na jazba! sasa sredi limekata page utazani gazeti la shigongo.
yani we hujui tu nilivyokereka na jinsi mwanamke anavyojidhalilisha humu tena mbele ya wapwaz, binamuz na ma-daddys wote
achana na ban ya maisha, dawa ni kuweka kwenye ignore list tu kazi kwisha
nilikusoma but the good thing ni kwamba huw ankuelewa nadhani kuliko mtu mwingine yeyote humu ( u knw wat i mean bro)
hapo umenikumbusha pazuri bro
hehehe here comez my bht. nakumbukaga ile memori kadi yako with unlimited GB . ukigombea ubunge niPM nikurushie kura yangu.
mi nshampa promise.....I catch her she is mine!!!!!!!!!! upalestina lazima ufanye kazi siku hiyo!!!!
yaani knowingly unamganda mume wangu..........st****d idiot!!!
eti tunafanya kwa siri hatojua, tunatunziana heshima............
heshima ya kuniibia mume........my foot!!!
Upalestina si hoja, mi pia mpalestina kwetu Kalali una lingine?
Ninatamani ningekufahamu Da Sophy. Unahitaji kumfahamu Mungu, maana mawazo na maneno yako inaonyesha kabisa wewe na Mungu hamna correlation kabisaaaaaaaaaaaaaaaa.
Anayehitaji sala ni huyo mume wa mtu aliyeapa kumpenda mkewe ktk shida na raha.