Kama na wewe hujui kabila lako, pitia hapa

Ndio hawa..wakipewa uongozi..wanakuwa madictator..hawana uchungu wala huruma..hakuna ndugu zao ..wezi wa ajabu..

Bora visiwani wao wanajulikana ni mchanganyiko!
Mambo mengine yanategemea na tabia ya mtu tu
 
Tanzania huwa hatuulizani wewe ni kabila gani huo utamaduni uko Kenya otherwise wewe utakua ni Mchawi
 
kabila ni eneo.Mfano ukizaliwa Tanzania wewe ni mtanzania yaani mtu uliyezaliwa Tanzania.Ukizaliwa usukumani wewe ni msukuma yaani mtu aliyezaliwa usukumani.

Mimi huwa nawashanga makabila mengine mtu kazaliwa uzaramoni dara es salaam anajiita mchaga sijui muha eti kisa baba yake na mama yake ni wachaga au waha

Mtoto akizaliwa Dar es salaam ni mzaramo huyo hata awe mhindi kabila yake mzaramo
Mkuu, tafadhali bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu nyie itakua wahamiaji toka nchi moja wapo ya jirani.
 
Hata Mimi sijui kabila langu nimekuja kujua babu yangu alitokea Malawi, baadhi ya ndugu zangu wanadai wao wahehe
Wamalawi wapo wengi na hata kipindi tunapata uhuru walifanikiwa kujipenyeza na kupata nafasi mbali mbali za uongozi, kwa sasa naona kasi hiyo wameirithi wanyarwanda kwa gia ya kabila la wahaya.
 
Back
Top Bottom