Itafikia mahali unakosa maelezo mkuu,Hata kama tunatoka jirani kwanini kabila lisijulikane
Hawakujipenyeza Nyerere aliwaweka kimkakati ili malawi wakileta za kuleta wamalawi wenzao makomandoo wanaenda kuwashughulikiaWamalawi wapo wengi na hata kipindi tunapata uhuru walifanikiwa kujipenyeza na kupata nafasi mbali mbali za uongozi, kwa sasa naona kasi hiyo wameirithi wanyarwanda kwa gia ya kabila la wahaya.
Tanzania tuna makabila yote kuna makabila tulikuwa hatuna ya wahutu na watusiPole mkuu nyie itakua wahamiaji toka nchi moja wapo ya jirani.
Hao wamalawi walipewa Ukuu wa Wilaya, Majaji pia, etc.Hawakujipenyeza Nyerere aliwaweka kimkakati ili malawi wakileta za kuleta wamalawi wenzao makomandoo wanaenda kuwashughulikia
Tanzania tuna warundi, wanyarwanda.wakenya,waganda,wamalawi,wamsumbiji .wakongo na wazambia kimkakati Nchi zao zikileta za kulleta raia wao walio sehemu nyeti ndio watawashughulikia.
Ndio maana Tanzania ni nchi ya amani hakuna nchi jirani yeyote yaweza leta fyoko fyoko kwa Tanzania ikashinda
Tanzania Ni sawa na Marekani ina raia kutoka nchi zote duniani kimkakati uliivamia Marekani jiandae makomandoo raia wa nchi yako kuja kukuvamia
Thats a lieHabari zenu wadau wa JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilipokuwa shule, mara nyingi lilipokuja suala la kutaja kabila huwa nilikuwa napata tabu sana kwa sababu najua kabisa sijui kabila langu muda mwengine nataja tu lolote ili tu ile siku ipite. Mpaka nikawa nachukia sana swali la " wewe ni kabila gani", ni bora mtu aniulize unatokea mkoa gani kuliko kuniuliza kabila langu.
Nimejaribu kuuliza kwa wazee lakini sipewi jibu kamili bali naanza kuelezewa historia ndefu kwamba babu yangu alizaliwa na mzee nani kutoka wapi huko na blah blah nyingi kama hizo mwisho wa siku bado sipati jibu kamili.
Mpaka hivi sasa nimeamua kujichagulia kabila ambalo naliona linafaa na linaendana na mkoa ninaotoka, ili kuepukana na hili swali.
Kama na wewe ni muhanga wa hili jambo kama mimi hebu nipe uzoefu wako uliepuka vipi hii situation?
Babu yangu alikuwa mwanajeshi raia wa Malawi alifanya kazi iringa na tanga kote akaacha mbegu na hatujuaniHawakujipenyeza Nyerere aliwaweka kimkakati ili malawi wakileta za kuleta wamalawi wenzao makomandoo wanaenda kuwashughulikia
Tanzania tuna warundi, wanyarwanda.wakenya,waganda,wamalawi,wamsumbiji .wakongo na wazambia kimkakati Nchi zao zikileta za kulleta raia wao walio sehemu nyeti ndio watawashughulikia.
Ndio maana Tanzania ni nchi ya amani hakuna nchi jirani yeyote yaweza leta fyoko fyoko kwa Tanzania ikashinda
Tanzania Ni sawa na Marekani ina raia kutoka nchi zote duniani kimkakati uliivamia Marekani jiandae makomandoo raia wa nchi yako kuja kukuvamia
This can happen...!Thats a lie
Unadanganya....
Sio Tanzania tu...the whole of Africa kila mtu anajua ancestors wake wanatoka wapi na ni kabila gani
Makabila Africa,yapo miaka ya BC mpaka AD....
Unadanganya sana aiseee
Kama ni hivyo utakua na tatizo ya identity crisis!
Which is a problem by itself!
Ukisema hujui kabila lako kama wewe ni mzanzibar au muarabu nitakuelewa ,kinyume na hapo sikuelewiHabari zenu wadau wa JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilipokuwa shule, mara nyingi lilipokuja suala la kutaja kabila huwa nilikuwa napata tabu sana kwa sababu najua kabisa sijui kabila langu muda mwengine nataja tu lolote ili tu ile siku ipite. Mpaka nikawa nachukia sana swali la " wewe ni kabila gani", ni bora mtu aniulize unatokea mkoa gani kuliko kuniuliza kabila langu.
Nimejaribu kuuliza kwa wazee lakini sipewi jibu kamili bali naanza kuelezewa historia ndefu kwamba babu yangu alizaliwa na mzee nani kutoka wapi huko na blah blah nyingi kama hizo mwisho wa siku bado sipati jibu kamili.
Mpaka hivi sasa nimeamua kujichagulia kabila ambalo naliona linafaa na linaendana na mkoa ninaotoka, ili kuepukana na hili swali.
Kama na wewe ni muhanga wa hili jambo kama mimi hebu nipe uzoefu wako uliepuka vipi hii situation?
Bora umenisaidia chief.This can happen...!
Unaweza ukajua kuwa ancestors wako ni wa kabila flani kumbe ni uongo na ni wa eneo/ kabila lingine kabisa
Mimi mwaka juzi ndio nimekuja kufahamu kuwa Baba yangu hakuzaliwa na niliyekuwa najua ni Babu yangu mzaa Baba miaka yoote na niliishi kwa Babu tangu baada ya kuzaliwa na kumbe babu yangu hasa ni wa mkoa wa mbali kabisa.
.... .... haachi asiliMambo mengine yanategemea na tabia ya mtu tu
We tuliaHahaha kwahiyo nisiendelee kuuliza
Waambie wewe Ni mzaramo.Habari zenu wadau wa JF,