Kama na wewe hujui kabila lako, pitia hapa

Kama na wewe hujui kabila lako, pitia hapa

Wakuu mimi nina wazo tofauti na makabila maana sasa hivi nafuatili machimbuko ya mababu na wengi wao ni wa kuja hivyo swala la makabila ni changa la macho. Kuna siku nitafafanua
 
Habari zenu wadau wa JF,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Nilipokuwa shule, mara nyingi lilipokuja suala la kutaja kabila huwa nilikuwa napata tabu sana kwa sababu najua kabisa sijui kabila langu muda mwengine nataja tu lolote ili tu ile siku ipite. Mpaka nikawa nachukia sana swali la " wewe ni kabila gani", ni bora mtu aniulize unatokea mkoa gani kuliko kuniuliza kabila langu.

Nimejaribu kuuliza kwa wazee lakini sipewi jibu kamili bali naanza kuelezewa historia ndefu kwamba babu yangu alizaliwa na mzee nani kutoka wapi huko na blah blah nyingi kama hizo mwisho wa siku bado sipati jibu kamili.

Mpaka hivi sasa nimeamua kujichagulia kabila ambalo naliona linafaa na linaendana na mkoa ninaotoka, ili kuepukana na hili swali.

Kama na wewe ni muhanga wa hili jambo kama mimi hebu nipe uzoefu wako uliepuka vipi hii situation?
Kama kabila lako tu hulijui, inabidi uombewe hakuna namna.
 
Nakusubiri mkuu ufafanuzi wako ni muhimu
Wakuu mimi nina wazo tofauti na makabila maana sasa hivi nafuatili machimbuko ya mababu na wengi wao ni wa kuja hivyo swala la makabila ni changa la macho. Kuna siku nitafafanua
 
Wakuu mimi nina wazo tofauti na makabila maana sasa hivi nafuatili machimbuko ya mababu na wengi wao ni wa kuja hivyo swala la makabila ni changa la macho. Kuna siku nitafafanua
Kuna mizinguo tu.
 
Mi mwenyewe sijui kabila langu

Sina family background or information
 
Back
Top Bottom