Kama kweli Magufuli aliletwa na Mungu basi uchaguzi wa 2025 utakua ni patashika nguo kuchanika

Kama mungu yupo, kila utawala hutoka kwake, ,
Mfalme Daud alikua mzinifu, basha na muuaji mkubwa, , lakini ndo akaonekana mfalme shujaa na hata bwana wetu, yesu kristo alipewa jina la nick name akaitwa MWANA WA DAUDI..
Kila mamlaka iliyopo, ipo kwasababu maalumu, na zote zina ok kutoka kwa alietuumba
 
Aah wapi, kila kiumbe kipo kwasababu maalumu na kwa mda maalumu
 
Sio kwamba Mzee Mwinyi hakutaka kuvaa Baraghashia ila aliambiwa atakuwa ameivunja Katiba.

Mbona Hijabu inaachwa?

Niishie hapo kwa sasa.
Hayo majina mbona hawabadilishi au yenyewe hayafungamani na dini?
Kama kuna identity ya dini ya mtu kabla ya mavaz ni hayo majina
Na hayo mavazi ni utamaduni wa uarabuni kabla hata ya huo uislam.
 
Wenzko walikuwa wanasema mitano tena , wakasema Mpaka achoke.. sasa wewe vimbisha makalio utafurahi mchongo unasukwa Lugalo.
 
Sio kwamba Mzee Mwinyi hakutaka kuvaa Baraghashia ila aliambiwa atakuwa ameivunja Katiba.

Mbona Hijabu inaachwa?

Niishie hapo kwa sasa.
Kanzu na Baraghashia ni mavazi ya mwambao hayan uhusiano na dini nyerere alivaa hakuw mwislam,
magufuli alivaa na wakristo wengi wanavaa hata mapadre wanavaa kanzu
 
Hayo majina mbona hawabadilishi au yenyewe hayafungamani na dini?
Kama kuna identity ya dini ya mtu kabla ya mavaz ni hayo majina
Na hayo mavazi ni utamaduni wa uarabuni kabla hata ya huo uislam.
Hijabu Ikulu ni kinyume na Katiba.
 
Kanzu na Baraghashia ni mavazi ya mwambao hayan uhusiano na dini nyerere alivaa hakuw mwislam,
magufuli alivaa na wakristo wengi wanavaa hata mapadre wanavaa kanzu
Nyerere alikuwa akivaa (Baraghashia)kwa mualiko na maulidi ila hakuvaa rozari ikulu.
 
Nyerere alikuwa akivaa kwa mualiko na maulidi ila hakuvaa rozari ikulu.
Wewe ulikuwa nan hapo ikulu?
Samia amekuwa makam kwa miaka mingap na anavaa Hijabu?
Huko bungeni wabunge wangap wanavaa hijabu na kuingia na kanzu?
context ya udini inaanza tu ukiwa raisi?
Udini hauruhusiwi tu ikulu bungeni unaruhusiwa?
 
Mbona hatuoni Rosary, au Waisilamu hawaoni kuwa hilo litaleta machafuko kwenye Nchi yetu pendwa
 
Mbona hatuoni Rosary, au Waisilamu hawaoni kuwa hilo litaleta machafuko kwenye Nchi yetu pendwa
Kwani ni siri kuwa Magufuli , Mkapa, Nyerere walikuwa wa catholic.
Na Mwinyi, Kikwete, Samia waislam ?
Machafuko yaletwe na nini rosary au hijabu?
Who cares rosary au hijabu
 
Kwani ni siri kuwa Magufuli , Mkapa, Nyerere walikuwa wa catholic.
Na Mwinyi, Kikwete, Samia waislam ?
Machafuko yaletwe na nini rosary au hijabu?
Mbona Waisilamu mnataka kung'ang'aniza kuingia kwenye Ofisi kuu za Umma na Religious symbols au hamuelewi maana ya Secularism?

Tunatakiwa Watanzania wote tuseme # No Hijab Ikulu.
 
Hakuna na haikuwahi kuwepo sheria yoyote ya kuzuia kuvaa kofia,Nyerere mwenyewe alikuwa akivaa sana kofia muda mwingi lakini hata baadhi ya viongozi na wengine ni wakristo walikuwa wakivaa kofia muda wote mfano aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wakati wa Mzee Mwinyi, Augustino Mrema.
 
Mbona Waisilamu mnataka kung'ang'aniza kuingia kwenye Ofisi kuu za Umma na Religious symbols au hamuelewi maana ya Secularism?
Si belong huko..,
Dhana ya udini umeilew vibaya nimekuuliza kwanini wanaruhusu majina yaliyobeba udini na hawataki udini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…