Hii sio tu sheria kandamizi, ni uzwazwa kukubali kuitumiaMatokeo ya Urais Tanzania yakishasomwa tu na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi basi muda huo huo yanageuka kuwa maandiko matakatifu - hakuna mwenye mamlaka kuhoji popote pale duniani.. labda mbinguni kama ana uwezo huo.
Hata hao wakoloni weupe aka mabeberu hawakuwa na sheria kandamizi kama hii.