Kama ilivyokuwa kwa Mtikila kufungua kesi ya Mgombea Binafsi, Tundu Lissu kufungua kesi kuhoji ni kwanini matokeo ya Urais hayapingwi Mahakamani!

Matokeo ya Urais Tanzania yakishasomwa tu na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi basi muda huo huo yanageuka kuwa maandiko matakatifu - hakuna mwenye mamlaka kuhoji popote pale duniani.. labda mbinguni kama ana uwezo huo.

Hata hao wakoloni weupe aka mabeberu hawakuwa na sheria kandamizi kama hii.
Hii sio tu sheria kandamizi, ni uzwazwa kukubali kuitumia
 
Kwanza ni mahakama haina uwezo wa kuingilia uchaguzi na sheria zake, kwani sheria zinatungwa na bunge la tanzania na si mahakama hiyo,
la pili hizo pesa angezifanyia kazi za maendeleo kuliko kuzipoteza,
Kuna wananchi wanahitaji maji huko kwao angefanya hilo hata kuchimba kisima kimoja ingemsaidia sana.
Akili ndogo inayoongozwa na akili ndogo pia
 
Hivi mleta mada unajua Tanzania ni monist state na siii dualist state
Uwe unafanya tafiti angalau kidogo
Huko mahakama ya Africa mashariki maamuzi yake yana ibind Tanzania?
Hata kama hayaibani lakini yanaivua nguo Tanzania katika jumuiya ya kimataifa kwa uozo wa watawala
 
Kwanza ni mahakama haina uwezo wa kuingilia uchaguzi na sheria zake, kwani sheria zinatungwa na bunge la tanzania na si mahakama hiyo,
la pili hizo pesa angezifanyia kazi za maendeleo kuliko kuzipoteza,
Kuna wananchi wanahitaji maji huko kwao angefanya hilo hata kuchimba kisima kimoja ingemsaidia sana.

Mkuu, jifiche au futa kabisa uzi wako huu. Kumbe hufahamu hata kazi za mahakama. Sheria za taratibu zote zimetungwa au kupitishwa na Bunge. Hujawahi kusikia Mahakama hutafsiri sheria?? Mbona mahakama hizi hizi zinatengua ubunge, udiwani nk??

Hapa kinachotakiwa ni tafsiri ya katazo hilo. Sio kuiondoa. Usitumie hasira kujadili mambo usiyofahamu vizuri.

Unaweza kuona kisima kimoja ni jambo la muhimu kama unahitaji maji. Ni sawa na kesi hii kama unahitaji haki. Unadhani matokeo ya Zanzibar 2015 Seif Hamad hakuhitaji haki ya mahakama??
 
Mahakama ya Tanzania haina mamlaka ya kusikiliza shauri lolote kupinga matokeo ya uraisi
Kasome election act mkuu ya 1985 na katiba ya 1977
 
Wewe bado mvulana saana, sasa subiri uone kama anaweza kushinda.
Tundu.lisu hajui sheria nae anabahatisha tu na wakati mwingine ana wa rob mahakim mambo yake yanashinda lakini sio mjanja kiivyo.
Walizoea zamani mahakim na waendesha mashitaka hawakujali ila kwa sasa wanakutana na vyuma mpaka majasho yanawatoka.
Hapo kenya majaji walitengua ushindi, mara ya pili wakabalance mpaka leo odinga aliangukia pua.

Mkuu, jifiche au futa kabisa uzi wako huu. Kumbe hufahamu hata kazi za mahakama. Sheria za taratibu zote zimetungwa au kupitishwa na Bunge. Hujawahi kusikia Mahakama hutafsiri sheria?? Mbona mahakama hizi hizi zinatengua ubunge, udiwani nk??

Hapa kinachotakiwa ni tafsiri ya katazo hilo. Sio kuiondoa. Usitumie hasira kujadili mambo usiyofahamu vizuri.

Unaweza kuona kisima kimoja ni jambo la muhimu kama unahitaji maji. Ni sawa na kesi hii kama unahitaji haki. Unadhani matokeo ya Zanzibar 2015 Seif Hamad hakuhitaji haki ya mahakama??
 
Rasimu pendekezwa(2014), chini ya Tume ya Jaji Warioba ilikuwa inaruhusu matokeo ya Rais kupingwa mahakamani, waTz wazalendo tunamlaumu sana JK kutunyima katiba Mpya.
 
this time wataachia tu. Ngoja mambo yaanzae !
 
Mahakama ya Tanzania haina mamlaka ya kusikiliza shauri lolote kupinga matokeo ya uraisi
Kasome election act mkuu ya 1985 na katiba ya 1977
Ninajua sana lkn hapa haifunguliwa kesi ya hivyo inafunguliwa kesi ya kwa nini Sheria na Katiba haziruhusu kesi za kupinga matokeo ya Rais. Umeelewa sasa?
 
Mbona kama jibu lake ni rahisi..judge au hakimu atamwambia yeye atungi Sheria au katiba, KAZI ya judge na hakimu ni kutafsiri tuu..pengine Lissu angejaribu kupereka lalamiko lake Kwa wananchi(Kwa kupitia chama chake) ili wampe wabunge wengi watakaomsaidia kubadili hiyo Sheria/kipengere katika katiba yetu..but as long as watunga Sheria walio wengi wako comfortable na Sheria zilizopo , Lissu atapata taabu Sana.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom