Kama huna ngozi nene usigombee urais!

Kama huna ngozi nene usigombee urais!

Kama hataki kukosolewa atuachie magogoni yetu, tunamnunulia kila kitu nguo aina zote na vitu vingine sasa akitenda isivyo lazima tumwambie kama hajisikii arudi Kokomije
 
kuna watu wanashindwa kuelewa sentensi wao hujichukulia hukumu slinabidi msako wa vyeti vya secondari uendelee kwa wanasiasa na vyombo vya usalama.
 
Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.

Hao wanasumbuliwa, kukamatwa, na mengineyo, sijasikia wala kuoana aliye "mdhihaki" au "kumtukana" rais. Rais wetu ajifunze kuwa na ngozi ngumu tu, kwani kwa nafasi yake sio kila mtu atakubaliana nae. Hivyo basi, sio kosa kumkosoa, na mpaka sasa wakasoaji asilimia 90 wamekuwa wastaarab kabisaaa. Yeye rais nafikiri ndio anakabiliwa na changamoto ya kujifunza kuongea na wananchi wake kwa ustaarab. Kwani amekuwa na kauli kali na za kukera tokea aingie madarakani.
 
Vijana wa kitanzania bwana; tumejivika akili ya kutoelewa. Nani alikuambiwa atakamatwa. Kwanza kwenda kutoa maelezo ya kauli ulizozitoa ni kukamatwa. Mbona ni jambo la kawaida. Lowasa alienda kutoa maelezo juu ya kauli yake; Katibu wa chadema alienda kutoa maelezo juu ya kauli aliyoitoa. Je hili ni geni?. lazima ifikie wakati mtoke katika hayo matongotongo mliyojivika na mje na ajenda zenye tija.
Pengo aliposema watu wamuunge mkono rais mbona hakuitwa akatoe maelezo?

Ukikosoa ndio unaitwa kutoa maelezo, ukisifia huitwi kutoa maelezo, hatari sana.
 
Wapiga miruzi wadogowadogo wanasumbua zaidi kuliko mpiga mruzi mkuu!!
By the way mpiga mruzi mkuu ni mwoga sana ndo maana yote Haya yanatokea.
 
Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.
Aiseee kumbe kumwambia mkuu akatubu ni matusi!!!!
 
sijawahi kusikia popote Rais kukataza kukosolewa.

Kinachotokea ni baadhi ya watu kutumia vibaya uhuru walio nao kupotosha kwa malengo binafsi ya kisiasa.

Mara kadhaa Rais amekuwa akionesha kusikitishwa na aina hii ya watu/aina ya siasa wanayoifanya.
 
Anaekupa kesi yake we mlevi uisimamie, ama kwa hakika huyo atakuwa ni mwehu au ana hamu yakwenda jela, Ivi wewe uho uwanasheria uliupataje Kwanza? ? Sijawai kuona lawyer wa ovyo km wewe,,labda ukawatetee wanywa gongo
[emoji1]
 
Nyani ngabu upo sahihi kuna muda huwa nakuelewa na najua exposure inakusaidia kuwa na uelewa kuliko tulio baki kusifia kila kitu...
 
Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa.

Kwanza nianze kwa huyo unayemuita rais...ivi unaposema akosolewe kwa staha mbona yeye hana staha?? mbona anatukana na kuwakashifu wananchi, wafanyakazi na wasaidizi wake live kabisa, je kuna haja gani ya kuwa na staha kwa mtu asiye na staha?? kuna haja gan ya kuhemu mtu asiyejiheshishimu na asiye na hekima??

Je kwa hoja yako hii ya kijinga kabisa nikikuita mbumbumbu na mpumbavu nitakua nimekosea??
 
We mbulula sana wewe! Uanasheria wako haukusaidii kabisa!!! Nilikuwa nakheshimu sana kumbe ovyo!!! Kakobe kasema kweli au uongo!??? We kilaza tu kama alivyo unae mtetea huyo!!! Shutup
Kiukweli hata mimi nimempunguzia maksi leo huyu Petro E. Mselewa naona kama IQ yake inazidi kuporomoka tu!!
 
Hapana kuwaita watu wakatoe maelezo baada ya kuwa wameongea kitu pia ni moja ya njia za kuwa silence watu,kuna watu wanaogopa kuongea kwa kitisho hiki tuu,au we unafikiri haya unayoongea kama watanzania hatuyajui unayajua wew tuu? Mtu kuitwa kwenda kutoa maelezo polisi baada ya kuwa ameongea kitu ni kawaida tuu wala sio jambo geni but mbona wanaitwa tu wale amabao wanatofautiana mawazo na mkuu,huoni kwamba tunatengeneza taifa la ndio mzee haijalishi nini mzee anaifanya wanasema THE SYSTEM HAS SO MANYA WAYS TO SILENCE ITS PEOPLE,hata hii ni njia mojawapo,polisi hawafanyi majukumu yao mengine kwa ufanisi kazi yao sasa imekuwa ni nani katofautiana nini na mkuu wa nchi
Vijana wa kitanzania bwana; tumejivika akili ya kutoelewa. Nani alikuambiwa atakamatwa. Kwanza kwenda kutoa maelezo ya kauli ulizozitoa ni kukamatwa. Mbona ni jambo la kawaida. Lowasa alienda kutoa maelezo juu ya kauli yake; Katibu wa chadema alienda kutoa maelezo juu ya kauli aliyoitoa. Je hili ni geni?. lazima ifikie wakati mtoke katika hayo matongotongo mliyojivika na mje na ajenda zenye tija.
 
Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.
Hivi mfano Sheikh Ponda aliongea lugha gani isiyo na staha kwa kiongozi na bado aliitwa polisi kuwa ametoa kauli za kichochezi
 
878f6387a1e0c410dd3269053243602c.jpg

Mkuu umenishangaza sana eti sheria gani inakataza kumkejeli Rais au kumdhihaki.Punguza ushabiki maandazi
Sasa wewe ndiye mbulula kabisa, umeelewa ulichoweka hapo kweli?
 
Unamkosoaje Raisi yeye ndio Baba mwenye nyumba. Wewe mtoto Unamkosoaje baba. Acheni Upumbavu na Urofa jamani.
 
Kwa nini wahojiwe polisi wasichokielewa pale nini mpaka wamhoji.
Vijana wa kitanzania bwana; tumejivika akili ya kutoelewa. Nani alikuambiwa atakamatwa. Kwanza kwenda kutoa maelezo ya kauli ulizozitoa ni kukamatwa. Mbona ni jambo la kawaida. Lowasa alienda kutoa maelezo juu ya kauli yake; Katibu wa chadema alienda kutoa maelezo juu ya kauli aliyoitoa. Je hili ni geni?. lazima ifikie wakati mtoke katika hayo matongotongo mliyojivika na mje na ajenda zenye tija.
 
Heshima, Comrade.

Kukata mti ni kung'oa mzizi na siyo kuchanja matawi. Kuzuia kujikwaa ni kung'oa kisiki na siyo kufukia na kusawazisha ardhi ya ulikojikwaa.

Rais ni zao la Jamii ya Kitanzania. Hajatokea Peponi wala kusikojulikana. Katokea katika Jamii hiihii isopenda kukosolewa. Hivi ni Mtanzania gani/yupi ukimkosoa kwa mantiki hang'aki na kukunja ndita?.

Kuanzia ndani ya Familia, ikiongozwa na asasi iitwayo baba. Je baba anakosolewa?. Tumekwenda mbali mpaka tumejiumbia semi za hovyo "Mkubwa hakosei". Unategemea nini?.

Shuleni, hosipitalini, katika nyumba za Ibada, katika vyombo vya usafiri hakuna anayetaka kubishana kimantiki. Ukimkosoa anakuundia tume. Na mwisho mnaishia kubaya.

Binafsi sidhani kama kumshutumu Rais ni sahihi ilhali ni zao la Jamii yetu. Huu utamaduni tumeujenga kuanzia karne na karne. Tusing'ake, tuukubali na tuurekebishe kwa kuanzia kwenye misingi.

Tukate mti kwa kungoa mzizi na siyo tuchanje matawi. Tungoe kisiki na siyo kufukia ardhi ya tulikojikwaa.

Utetezi dhaifu, JK hakuwa rais? Hakutokea kwenye hii jamii yetu? Hii ni nchi na sio familia yake, yeye kachaguliwa na baadhi ya watanzania hivyo ni lazima atakutana na watu wenye mitazamo tofauti na yake. Kama anataka kutokukosolewa akaongoze familia yake maana ndio inamtegemea aendeshe maisha yao.
 
Nyani Ngabu,

..jamaa ana ngozi laini.

..pia hana lugha za kistaarabu na staha kwa wapinzani wake, na hata wanaomsaidia kazi.

..kwa maoni yangu kashfa, vijembe, kejeli, kuzungumza bila mipaka, yeye ndiye muanzilishi.

..tatizo ni kwamba akijibiwa anafumuka hasira na kusababisha wasiouhusika kuingilia kati.
Ukiwa na hasira kwenye siasa, uwe dikteta. Otherwise uvumilie tu.
 
Back
Top Bottom