Kama huna ngozi nene usigombee urais!

Kama huna ngozi nene usigombee urais!

sijawahi kusikia popote Rais kukataza kukosolewa.

Kinachotokea ni baadhi ya watu kutumia vibaya uhuru walio nao kupotosha kwa malengo binafsi ya kisiasa.

Mara kadhaa Rais amekuwa akionesha kusikitishwa na aina hii ya watu/aina ya siasa wanayoifanya.
Are you serious!
 
=Ulofa
=Rais

Kwanza naona hata kuandika hujui!!

Pili kama kiongozi hutaki kukosolewa ina maana huna uwezo wala sifa za kiongozi!!

Mwambie huyo rais wako kama hawezi kazi awaachie wengine wenye uwezo wasio na frastresheni na mihemko, sawa?
Hamna kitu hapo... Utafia upinzani. Nyie kumbe ndio mipumbavu na milofa
 
Vijana wa kitanzania bwana; tumejivika akili ya kutoelewa. Nani alikuambiwa atakamatwa. Kwanza kwenda kutoa maelezo ya kauli ulizozitoa ni kukamatwa. Mbona ni jambo la kawaida. Lowasa alienda kutoa maelezo juu ya kauli yake; Katibu wa chadema alienda kutoa maelezo juu ya kauli aliyoitoa. Je hili ni geni?. lazima ifikie wakati mtoke katika hayo matongotongo mliyojivika na mje na ajenda zenye tija.
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom