Kama huna ngozi nene usigombee urais!

Kama huna ngozi nene usigombee urais!

Vijana wa kitanzania bwana; tumejivika akili ya kutoelewa. Nani alikuambiwa atakamatwa. Kwanza kwenda kutoa maelezo ya kauli ulizozitoa ni kukamatwa. Mbona ni jambo la kawaida. Lowasa alienda kutoa maelezo juu ya kauli yake; Katibu wa chadema alienda kutoa maelezo juu ya kauli aliyoitoa. Je hili ni geni?. lazima ifikie wakati mtoke katika hayo matongotongo mliyojivika na mje na ajenda zenye tija.
Mwambie magufuli ATUBU.
Tongotongo anazo mkeo kukifumbia macho kibamia
 
Kuna mambo yanayoendelea sasa hivi hapa nchini ambayo siyaelewi kabisa.

Inapotokea mtu maarufu anapomkosoa huyu rais wetu hadharani au inapotokea hata mtu tu wa kawaida akafanya au kusema kitu fulani ambacho kinaonekana kama kinamkosoa Rais Magufuli basi mtu huyo ataanza kuandamwa andamwa na hata kukamatwa.

Rejeeni habari za yule dogo wa UDSM alipokamatwa kwa sababu ya alichokifanya kuhusu majengo ya mabweni mapya ya wanafunzi chuoni hapo. Rejeeni suala na Nape kutishiwa na bastola mchana kweupe. Rejeeni suala la mbunge Bashe kusumbuliwa na polisi au sijui usalama wa taifa wale. Rejeeni suala la Lissu kukamatwa kamatwa na kuwekwa rumande kisa katumia lugha kali dhidi ya Magufuli.

Kwenye nchi za kidemokrasia, kama tunavodai na sisi nchi yetu iko hivyo, suala la viongozi kukosolewa, kudhihakiwa, kutukanwa, na kadhalika, ni jambo la kawaida sana.

Tazama kote duniani kwenye demokrasia na hayo mambo utayaona.

Sasa kwa nini hapa kwetu huyu rais wetu akisemwa vibaya huyo mtu aliyemsema vibaya anaanza kusumbuliwa?

Askofu Kakobe sasa hivi tumesikia habari kuwa eti atakamatwa kisa eti kadiriki kumkosoa rais.

Hivi kumkosoa rais au hata kumkebehi na kumdhihaki ni kosa kwenye nchi hii?

Kwani huyu rais wetu wakati anagombea huo urais alikuwa na matarajio gani labda? Kwamba akishatangazwa kuwa yeye ndo mshindi basi kila mtu ndo atakubaliana naye na kumuunga mkono kwenye kila kitu? Hilo kamwe haliwezekani na halitowezekana Tanzania hii.

Labda linawezekana tu huko Korea Kaskazini ingawa hata huko sidhani kama watu wote wanamuunga mkono huyo Kiduku.

Nawashauri CCM waunde kitengo cha ‘War room’ mahsusi kwa kujibu mapigo ki-hoja na kuacha kutumia vitisho vya vyombo vya dola kujibu mapigo kwa kutishia watu.
Hata akisemwa Vizuri kwa kuambiwa ukweli hawataki hivi maana ya hili neno Mungu mtu tafsiri yake ikoje:Je, Mungu Ni Mtu Halisi? — Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
 
Magufuli is a gutless crook! Jamaa anajifanya ubabe kumbe mchuchu tu! Kama kweli mbabe afute ‘demokrasia’ nchini. Yeye ameonyesha he don give a dang about Katiba na sheria. Sasa atoe tamko tu la kusema “Tanzania sasa haifuati demokrasia”. Ama atumie wingi wa mazombie yake yaliyo mengi Bungeni kufuta ‘demokrasia’. Hakuna atakayeendelea kumkosoa kwa kutofuata demokrasia.

Ila as long as Katiba ya sasa (pamoja na ubovu wake) inatamka Tanzania ni nchi ya kidemokrasia, basi inabidi awe na ngozi ngumu tu! La sivyo ataendelea kupoteza muda kwa kukamata watu, kwani it’s just the beginning!!

Halafu, kwani rais akikosolewa ndo urais wake utaisha?

Tuna rais mmoja tu hapa nchini. So it comes with the territory.

I don’t know what part of that he doesn’t understand!!

Yaani mtu kumkosoa tu Magufuli eti ndo aende kutoa maelezo polisi.

Maelezo ya nini? So stupid.

Ingekuwa mtu labda katoa vitisho kwa rais hapo sawa. Lakini siyo kusema sijui rais atubu and whatnot.

Hii nchi bana.
 
3598.jpg
 
Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rkutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.
We mbulula sana wewe! Uanasheria wako haukusaidii kabisa!!! Nilikuwa nakheshimu sana kumbe ovyo!!! Kakobe kasema kweli au uongo!??? We kilaza tu kama alivyo unae mtetea huyo!!! Shutup
 
Ac
Magufuli is a gutless crook! Jamaa anajifanya ubabe kumbe mchuchu tu! Kama kweli mbabe afute ‘demokrasia’ nchini. Yeye ameonyesha he don give a dang about Katiba na sheria. Sasa atoe tamko tu la kusema “Tanzania sasa haifuati demokrasia”. Ama atumie wingi wa mazombie yake yaliyo mengi Bungeni kufuta ‘demokrasia’. Hakuna atakayeendelea kumkosoa kwa kutofuata demokrasia.

Ila as long as Katiba ya sasa (pamoja na ubovu wake) inatamka Tanzania ni nchi ya kidemokrasia, basi inabidi awe na ngozi ngumu tu! La sivyo ataendelea kupoteza muda kwa kukamata watu, kwani it’s just the beginning!!
heni kutengeneza maneno ni lini Rais alisema maneno hayo kuwa asikosolewe , lakini ukosoe kwa stahaa
 
Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.
Anaekupa kesi yake we mlevi uisimamie, ama kwa hakika huyo atakuwa ni mwehu au ana hamu yakwenda jela, Ivi wewe uho uwanasheria uliupataje Kwanza? ? Sijawai kuona lawyer wa ovyo km wewe,,labda ukawatetee wanywa gongo
 
Kwenye nchi za kidemokrasia, kama tunavodai na sisi nchi yetu iko hivyo, suala la viongozi kukosolewa, kudhihakiwa, kutukanwa, na kadhalika, ni jambo la kawaida sana.

Tazama kote duniani kwenye demokrasia na hayo mambo utayaona.

Sasa kwa nini hapa kwetu huyu rais wetu akisemwa vibaya huyo mtu aliyemsema vibaya anaanza kusumbuliwa?

Rais wenu alishaweka bayana kwamba nchi ya bongo haihitaji demokrasi kama ilivyo demokrasia ya nchi za magharibi...

Zaidi alitabanaisha kwamba 'demokrasi' iliyopo bongo inatosha kabisa na wala haoni sababu ya kuifanya iongezeke maradufu...

Alionya kuwa 'demokrasia' ya bongo ikizidi kipimo kidogo tu, uhuru utaongezeka kiasi nchi ya bongo huenda ikakutwa na kile kilichoikuta serikali ya Tripoli, serikali ya Damascus na hata ile ya Baghdad...enzi za Gaddafi, enzi za Sadam...

Hivyo bwana Ngabu hayo unayoyaona ni harakati za 'kuregulate' kiasi cha 'demokrasia' ya bongo isizidi kipimo kuelekea demokrasia ya wamagharibi...
 
Hakika rais Magufuli anastahili pongezi kubwa sana kwa sababu ya walau kuanzisha mjadala wa kitaifa kuhusu hizi rasilimali za nchi. Historia itamhukumu vizuri sana, naamini.
Sawa, tumekusikia
 
Kuna kale ka nyimbo ka Captain Komba, "mliipenda wenyewe....." tulieni dawa iwaingie.
 
Wanachama wote wa lumumba ndio wasemaji wke akifanya baya wanashangilia,juzi kwenye uchaguzi dom aliwaambia wajibu mapigo mitandaoni
 
Vijana wa kitanzania bwana; tumejivika akili ya kutoelewa. Nani alikuambiwa atakamatwa. Kwanza kwenda kutoa maelezo ya kauli ulizozitoa ni kukamatwa. Mbona ni jambo la kawaida. Lowasa alienda kutoa maelezo juu ya kauli yake; Katibu wa chadema alienda kutoa maelezo juu ya kauli aliyoitoa. Je hili ni geni?. lazima ifikie wakati mtoke katika hayo matongotongo mliyojivika na mje na ajenda zenye tija.
We nawe Kumbaff! Sasa hapo si umethibitisha anayoyasema Nyani ngabu? Yaani umeongezea tu majina ya watu wengine waliowahi kusumbuliwa,kuhojiwa,kukamatwa,kutishiwa kwa kutimiza haja ya kidemokrasia ya kuhoji,kukosoa ama kushauri taasisi hii ya urais wa Magufuli!
 
Back
Top Bottom