Kama huna ngozi nene usigombee urais!

Kama huna ngozi nene usigombee urais!

Aende kutoa maelezo ya nini sasa?

Kusema rais atubu ni kosa? Ni sababu kweli ya mtu kwenda kutolea maelezo kituo cha polisi?

What is this now? Nazi Germany??

Dumbest!
Kwani Lowasa Alitoa maelezo ya nini kiongozi. Wewe kama hujui nini anatakiwa kutoa maelezo sio fani yako. Fani ya wengine waachie wengine. Yeye ataenda na mawakili wake kuangalia masuala ya kisheria. Wewe unaongea asiende kuhojiwa unajielewa kweli.
 
Ha ha ha ha ha Mkuu, hata tone la kilevi halijawahi kuingia kinywani mwangu. Labda mlevi wa ukweli. Jaribu kumtukana, kumdhihaki au kumkejeli Rais, ndiyo utajua ninachokisema hapa.

Kwaiyo ni wapi katika mahubiri ya juzi ya Kakobe amemtukana huyo Mungu wenu???? We sio mwanasheria Bali umevamia fani za watu, we mnywa viroba tu,,badili iyo ID yako ili uchangie kwa Amani, maana uoga pia unachangia uandike utumbo
 
Kwaiyo ni wapi katika mahubiri ya juzi ya Kakobe amemtukana huyo Mungu wenu???? We sio mwanasheria Bali umevamia fani za watu, we mnywa viroba tu,,badili iyo ID yako ili uchangie kwa Amani, maana uoga pia unachangia uandike utumbo
Fuatilia ninayoyaandika, sijawahi kuwa muoga. Waoga ni nyinyi wenye majina bandia. Ha ha ha ha
 
We nawe Kumbaff! Sasa hapo si umethibitisha anayoyasema Nyani ngabu? Yaani umeongezea tu majina ya watu wengine waliowahi kusumbuliwa,kuhojiwa,kukamatwa,kutishiwa kwa kutimiza haja ya kidemokrasia ya kuhoji,kukosoa ama kushauri taasisi hii ya urais wa Magufuli!
Kama kuna vijana mnaona kuhojiwa ni ishu basi tuna watu wa ajabu sana katika taifa hili. Kuhojiwa ni jambo la kawaida; nashangaa mnavyolikuza as a big deal. Get matured
 
Magufuli is a gutless crook! Jamaa anajifanya ubabe kumbe mchuchu tu! Kama kweli mbabe afute ‘demokrasia’ nchini. Yeye ameonyesha he don give a dang about Katiba na sheria. Sasa atoe tamko tu la kusema “Tanzania sasa haifuati demokrasia”. Ama atumie wingi wa mazombie yake yaliyo mengi Bungeni kufuta ‘demokrasia’. Hakuna atakayeendelea kumkosoa kwa kutofuata demokrasia.

Ila as long as Katiba ya sasa (pamoja na ubovu wake) inatamka Tanzania ni nchi ya kidemokrasia, basi inabidi awe na ngozi ngumu tu! La sivyo ataendelea kupoteza muda kwa kukamata watu, kwani it’s just the beginning!!
Gutless crook or heartless crook?
 
We mbulula sana wewe! Uanasheria wako haukusaidii kabisa!!! Nilikuwa nakheshimu sana kumbe ovyo!!! Kakobe kasema kweli au uongo!??? We kilaza tu kama alivyo unae mtetea huyo!!! Shutup
Ilo jinga kabisa,,linaogopa kutekwa labda,,eti nae anajiita lawyer
 
Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.
Tukumbushe mtanzania mmoja aliyewahi kumtukana rais!!kuitwa dikteta si tusi ikiwa umejipaka marashi ya udikteta!! Ukikaa kwenye kijiwe cha madikteta,ukavaa kama wavaavyo madikteta,ukaongea kama wanavyoongea madikteta,ukafanya mambo kama wanayoyafanya madikteta Si lazima uwe dikteta ila pia hana dhambi mtu atakayekuhisi kuwa na wewe ni dikteta!
 
Kamata kamata ni dalili ya udikteta na kutojiamini.

Wakati wa urais wa Kikwete kuna wakati polisi walijipendekeza kukamata uongozi wa JF, Kikwete akasema waacheni vijana wajinafasi, msinichafulie jina.

Wakaachiwa.

Kikwete na mapungufu yake yote hakuwa na kutojiamini na kamata kamata za kijinga kiasi hiki.
 
Magufuli is a gutless crook! Jamaa anajifanya ubabe kumbe mchuchu tu! Kama kweli mbabe afute ‘demokrasia’ nchini. Yeye ameonyesha he don give a dang about Katiba na sheria. Sasa atoe tamko tu la kusema “Tanzania sasa haifuati demokrasia”. Ama atumie wingi wa mazombie yake yaliyo mengi Bungeni kufuta ‘demokrasia’. Hakuna atakayeendelea kumkosoa kwa kutofuata demokrasia.

Ila as long as Katiba ya sasa (pamoja na ubovu wake) inatamka Tanzania ni nchi ya kidemokrasia, basi inabidi awe na ngozi ngumu tu! La sivyo ataendelea kupoteza muda kwa kukamata watu, kwani it’s just the beginning!!
Hakuna demokrasia isiyo na mipaka unless mmekalili maana ya demokrasia.
 
Maandiko matakatifu yanatukataza kutohoji malaka ya Mungu pekee, yeye ni binadamu na ni mkosaji tu kama wengine ni vyema akajitafakari upya kama kweli ni kiongozi wa watu ama ni mtawala wa kiimla! [HASHTAG]#AtubuAtasamehewa[/HASHTAG]
 
Kuna mambo yanayoendelea sasa hivi hapa nchini ambayo siyaelewi kabisa.

Inapotokea mtu maarufu anapomkosoa huyu rais wetu hadharani au inapotokea hata mtu tu wa kawaida akafanya au kusema kitu fulani ambacho kinaonekana kama kinamkosoa Rais Magufuli basi mtu huyo ataanza kuandamwa andamwa na hata kukamatwa.

Rejeeni habari za yule dogo wa UDSM alipokamatwa kwa sababu ya alichokifanya kuhusu majengo ya mabweni mapya ya wanafunzi chuoni hapo. Rejeeni suala na Nape kutishiwa na bastola mchana kweupe. Rejeeni suala la mbunge Bashe kusumbuliwa na polisi au sijui usalama wa taifa wale. Rejeeni suala la Lissu kukamatwa kamatwa na kuwekwa rumande kisa katumia lugha kali dhidi ya Magufuli.

Kwenye nchi za kidemokrasia, kama tunavodai na sisi nchi yetu iko hivyo, suala la viongozi kukosolewa, kudhihakiwa, kutukanwa, na kadhalika, ni jambo la kawaida sana.

Tazama kote duniani kwenye demokrasia na hayo mambo utayaona.

Sasa kwa nini hapa kwetu huyu rais wetu akisemwa vibaya huyo mtu aliyemsema vibaya anaanza kusumbuliwa?

Askofu Kakobe sasa hivi tumesikia habari kuwa eti atakamatwa kisa eti kadiriki kumkosoa rais.

Hivi kumkosoa rais au hata kumkebehi na kumdhihaki ni kosa kwenye nchi hii?

Kwani huyu rais wetu wakati anagombea huo urais alikuwa na matarajio gani labda? Kwamba akishatangazwa kuwa yeye ndo mshindi basi kila mtu ndo atakubaliana naye na kumuunga mkono kwenye kila kitu? Hilo kamwe haliwezekani na halitowezekana Tanzania hii.

Labda linawezekana tu huko Korea Kaskazini ingawa hata huko sidhani kama watu wote wanamuunga mkono huyo Kiduku.

Nawashauri CCM waunde kitengo cha ‘War room’ mahsusi kwa kujibu mapigo ki-hoja na kuacha kutumia vitisho vya vyombo vya dola kujibu mapigo kwa kutishia watu.
urais ni mrahisi sana, ni kutumia akili tu. si unaona Netanyau (PM wa Israel) anavyofanya? si unaona marais wa nchi za wenzetu waliostaarabika? ni kutumia coconut/brain tu wala hauhitaji ngozi ngumu.
 
Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.
Wewe mkuu ndo umeongea kitu cha maana sana.Mtu huwezi kuja na hoja ooh hata ukitukanwa vumilia,kweli?Tunashindwa kuhamasisha watu watumie njia nzuri za kukosoa eti tunawakingia kifua watukanaji na wadhalilishaji kwa kumwambia yule anayedhalilishwa eti awe anavumilia.Kwa upande wangu sijaona wakosiaji zaidi ya wapungaji,wafitini,watukanaji na wadhalilishaji.Watu wanatumia neno KUKOSOA VIBAYA SANA.
 
Hao wanaolalama JPM hataki kushauriwa kama ingewezekana tuwape ikulu wiki tu mngeona! Wengine njia zao kutafuta ikulu kila aliyekuwa kizingiti alishughulikiwa directly au indirectly ....wangefanya hayo hayo kama tungewapa nchi. Kukosoa tukosoe lakini staha muhimu pia ....yule ni Rais wa Tanzania ....ndio alama ya nchi ....lazima mipaka iwepo kidogo ....msifikiri uhuru uliopo Marekani uliibuka tu ....walipitia safari ndefu .....hii ni Africa lazima ujue mipaka yako (hapa sizungumzii uoga bali kujenga hoja kwa staha) .....akina Prof Shivji wanakosoa kila siku, Generali Ulimwengu anakosoa, wengi wanakosoa lakini wakijua mipaka .....hakuna atakayekufundisha mipaka ....ni wewe kujua staha inaanza na kuishia wapi ....mtu akikamatwa kwa hoja zake zenye staha umma utanyanyuka ....mfano ni Askofu wa jimbo la Karangwe ....tuwe na staha ...
 
Sheria gani inakataza kumdhihaki rais? Sheria gani inakataza kumkejeli rais?
878f6387a1e0c410dd3269053243602c.jpg


Mkuu umenishangaza sana eti sheria gani inakataza kumkejeli Rais au kumdhihaki.Punguza ushabiki maandazi
 
Back
Top Bottom