kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,116
Katambi amenyea amepangusia mavi kaniki iliyomstiri na hadi kukua ila akaiona haina maana baada ya kuona kitambaa cha sufi alichokiona ndotoniUjumbe mfupi lakini umebeba maana nzito.
Katambi amenyea amepangusia mavi kaniki iliyomstiri na hadi kukua ila akaiona haina maana baada ya kuona kitambaa cha sufi alichokiona ndotoniUjumbe mfupi lakini umebeba maana nzito.
Watu wanapotezwa na wengine wanapigwa risasi wewe! Unaishi Korea Kaskazini au!!!?Vijana wa kitanzania bwana; tumejivika akili ya kutoelewa. Nani alikuambiwa atakamatwa. Kwanza kwenda kutoa maelezo ya kauli ulizozitoa ni kukamatwa. Mbona ni jambo la kawaida. Lowasa alienda kutoa maelezo juu ya kauli yake; Katibu wa chadema alienda kutoa maelezo juu ya kauli aliyoitoa. Je hili ni geni?. lazima ifikie wakati mtoke katika hayo matongotongo mliyojivika na mje na ajenda zenye tija.
Hana sifa za kuwa rais. Hana sifa za kuwa kiongozi.
Kiongozi wa ngazi yake hupaswi kusumbuliwa na maoni ya watu yasiyokupendeza.
Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.
mkuu hebu define "staha", .......................................wa expansion joint alistahili hata kuhojiwa?Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.
Mambo now ameahid kwenda kumkamata,sijui wewe tumbili unaongea nn hapaVijana wa kitanzania bwana; tumejivika akili ya kutoelewa. Nani alikuambiwa atakamatwa. Kwanza kwenda kutoa maelezo ya kauli ulizozitoa ni kukamatwa. Mbona ni jambo la kawaida. Lowasa alienda kutoa maelezo juu ya kauli yake; Katibu wa chadema alienda kutoa maelezo juu ya kauli aliyoitoa. Je hili ni geni?. lazima ifikie wakati mtoke katika hayo matongotongo mliyojivika na mje na ajenda zenye tija.
Wakili Petro,Fuatilia ninayoyaandika, sijawahi kuwa muoga. Waoga ni nyinyi wenye majina bandia. Ha ha ha ha
Hahahaha imebidi nicheke mkuuRejea kauli aliyosema JK kwenye mkutano wa kamat kuu CCM.
Urais au wenyekiti CCM hauna shule...... kama akili hazipo sawa yatakushinda.
Hivi wewe jamaa ni wakili kweli au?Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.
Shida ya hawa wanasheria nao siku hizi njaa zimewazidi kweliWe mbulula sana wewe! Uanasheria wako haukusaidii kabisa!!! Nilikuwa nakheshimu sana kumbe ovyo!!! Kakobe kasema kweli au uongo!??? We kilaza tu kama alivyo unae mtetea huyo!!! Shutup
Mkuu Nyani, Bwana Petro amekujibu au bado anatafuta vifungu? hahaSheria gani inakataza kumdhihaki rais? Sheria gani inakataza kumkejeli rais?
Mbona hujajibu swali umekimbilia kujifagilia.umeulizwa wapi kakobe amemtusi raisFuatilia ninayoyaandika, sijawahi kuwa muoga. Waoga ni nyinyi wenye majina bandia. Ha ha ha ha
Mkuu Nyani, Bwana Petro amekujibu au bado anatafuta vifungu? haha
Sheria gani unayoiongelea hapa wewe?Maadam sheria zipo basi mtanyooka tu.Nafikiri MNATAKA MABADILIKO huku mmehold siasa za matusi enzi za jk.Tujifunze kwenda na wakati. NYAKATI ZIMEBADILIKA SANA.
Tena naona ndo anazidi kumwaga petrol kwenye moto unaowaka tayari...Kuna mambo yanayoendelea sasa hivi hapa nchini ambayo siyaelewi kabisa.
Inapotokea mtu maarufu anapomkosoa huyu rais wetu hadharani au inapotokea hata mtu tu wa kawaida akafanya au kusema kitu fulani ambacho kinaonekana kama kinamkosoa Rais Magufuli basi mtu huyo ataanza kuandamwa andamwa na hata kukamatwa.
Rejeeni habari za yule dogo wa UDSM alipokamatwa kwa sababu ya alichokifanya kuhusu majengo ya mabweni mapya ya wanafunzi chuoni hapo. Rejeeni suala na Nape kutishiwa na bastola mchana kweupe. Rejeeni suala la mbunge Bashe kusumbuliwa na polisi au sijui usalama wa taifa wale. Rejeeni suala la Lissu kukamatwa kamatwa na kuwekwa rumande kisa katumia lugha kali dhidi ya Magufuli.
Kwenye nchi za kidemokrasia, kama tunavodai na sisi nchi yetu iko hivyo, suala la viongozi kukosolewa, kudhihakiwa, kutukanwa, na kadhalika, ni jambo la kawaida sana.
Tazama kote duniani kwenye demokrasia na hayo mambo utayaona.
Sasa kwa nini hapa kwetu huyu rais wetu akisemwa vibaya huyo mtu aliyemsema vibaya anaanza kusumbuliwa?
Askofu Kakobe sasa hivi tumesikia habari kuwa eti atakamatwa kisa eti kadiriki kumkosoa rais.
Hivi kumkosoa rais au hata kumkebehi na kumdhihaki ni kosa kwenye nchi hii?
Kwani huyu rais wetu wakati anagombea huo urais alikuwa na matarajio gani labda? Kwamba akishatangazwa kuwa yeye ndo mshindi basi kila mtu ndo atakubaliana naye na kumuunga mkono kwenye kila kitu? Hilo kamwe haliwezekani na halitowezekana Tanzania hii.
Labda linawezekana tu huko Korea Kaskazini ingawa hata huko sidhani kama watu wote wanamuunga mkono huyo Kiduku.
Nawashauri CCM waunde kitengo cha ‘War room’ mahsusi kwa kujibu mapigo ki-hoja na kuacha kutumia vitisho vya vyombo vya dola kujibu mapigo kwa kutishia watu.