Kama huna ngozi nene usigombee urais!

Kama huna ngozi nene usigombee urais!

Hahahahah mkuu,kajipange upya urudi kama ndo unataka kusimamia humu.Sorry lkn,hakuna hoja ya mcng hapo.

Ni kweli, sasa kinachofanya akiambiwa mambo yasiyo na msingi mishipa ya shingo iwatoke humu? Hizo lugha anazokutana nazo ni kipimo cha kile anachosema. Lini umewahi kuona Mama Samia ama PM Majaliwa wakikutana na lugha ngumu?
 
Mimi sio niliyeleta tetemeko wala serekali yangu. Mimi ndio rais wenu mtake msitake.
Mkuu Critical thinker anyofoi kamstari na kuanza kukajengea hoja.Hayo ya tetemeko na mengine kuna maneno yake kwa nyuma na ukiyasikiliza yote yanaleta maana nn anamaanisha.Nimefhatilia sana hizi propaganda Na nkagundua wengi tunajadili paraphrased news na sio original news.Sio hizo tu ulizotaja,nilifuatilia hadi ile ya kuishi kama mashetani na sikuchaguliwa kuongeza mishahara.Ukimsikiliza mwenyewe utaelewa vizur tu lkn ukikaa usubir kitengo cha propaganda kikuletee ndo ujadili hakika kichwa chako kitajaa wrong information. Mfano hizo kauli nikisema uthibitishe sifikiri ka utaweza.
 
Aliwaita katika mazingira hayohayo anayoitwa yeye. Shida iko kwa nani?
Mkuu ni simple sana, hamna sababu yyt ya mcng ya kumtukana jpm coz ajaanza kutukanwa baada ya hiyo kauli,na cha ajabu eti bavicha wameumia kwa jpm kuwaita mawaziri wapumbavu hahahahah.Leo Bavicha wanawapenda sana mawaziri kias kulipiza kwa kumtukana jpm.
 
Mkuu Critical thinker anyofoi kamstari na kuanza kukajengea hoja.Hayo ya tetemeko na mengine kuna maneno yake kwa nyuma na ukiyasikiliza yote yanaleta maana nn anamaanisha.Nimefhatilia sana hizi propaganda Na nkagundua wengi tunajadili paraphrased news na sio original news.Sio hizo tu ulizotaja,nilifuatilia hadi ile ya kuishi kama mashetani na sikuchaguliwa kuongeza mishahara.Ukimsikiliza mwenyewe utaelewa vizur tu lkn ukikaa usubir kitengo cha propaganda kikuletee ndo ujadili hakika kichwa chako kitajaa wrong information. Mfano hizo kauli nikisema uthibitishe sifikiri ka utaweza.

Kwa bahati mbaya unadhani wewe peke yako ndio mwenye uwezo wa kusikia na kuelewa anachosema. Sisi wengine tunapewa na vitengo vya propaganda tu. Nimekupa na mfano mrahisi, Mama Samia Suluhu pia ni kiongozi, PM Majaliwa pia ni kiongozi, hicho kitengo cha propaganda huwa hakiwasikii hao ni huyo tu? Tuna uwezo wa kutosha kuelewa na kuchambua pia hata kama sio kwa kiwango unachotaka wewe. Hilo suala la kusema kudhibitisha nilishakuambia hakuna mtu ana muda wa kutunza hotuba zisizo na mvuto. Watu walitunza hotuba za Nyerere sio za viongozi waliomfuatia. Kwa mfano alipoingia madarakani alifuta sherehe za uhuru watu wafanye usafi, sina popote nilipotunza na hata ukiniambia nithibitishe siwezi, ila alifuta kweli.
 
Mkuu ni simple sana, hamna sababu yyt ya mcng ya kumtukana jpm coz ajaanza kutukanwa baada ya hiyo kauli,na cha ajabu eti bavicha wameumia kwa jpm kuwaita mawaziri wapumbavu hahahahah.Leo Bavicha wanawapenda sana mawaziri kias kulipiza kwa kumtukana jpm.
Issue siyo nani anampenda nani hapa. Kama anaset precedents, nani wa kulaumiwa? Sasa kusema nani alianza kuita wenzake wapumbavu,na wakati yeye ndo rais, inakuwa kama utoto.

Tafadhali usimix madawa. Usiwasingizie bavicha. Wewe umeuliza mfano wa maneno yasiyo na staha kutoka kwake, nimekuwekea kauli zake hizo, sasa naona unahamisha goli ili kuweza kufanya justification.
 
Kwa bahati mbaya unadhani wewe peke yako ndio mwenye uwezo wa kusikia na kuelewa anachosema. Sisi wengine tunapewa na vitengo vya propaganda tu. Nimekupa na mfano mrahisi, Mama Samia Suluhu pia ni kiongozi, PM Majaliwa pia ni kiongozi, hicho kitengo cha propaganda huwa hakiwasikii hao ni huyo tu? Tuna uwezo wa kutosha kuelewa na kuchambua pia hata kama sio kwa kiwango unachotaka wewe. Hilo suala la kusema kudhibitisha nilishakuambia hakuna mtu ana muda wa kutunza hotuba zisizo na mvuto. Watu walitunza hotuba za Nyerere sio za viongozi waliomfuatia. Kwa mfano alipoingia madarakani alifuta sherehe za uhuru watu wafanye usafi, sina popote nilipotunza na hata ukiniambia nithibitishe siwezi, ila alifuta kweli.
Mkuu ulimwengu wa sayansi na teknolojia huu,haiitaji eti hadi uthibitisho uwe kwenye memory card yako,kuna YouTube, Google nk.Ni kiasi cha kutupia link tu.Kuhusu akina samia na Majaliwa hiyo sio hoja coz upande mliochagua kuusikiliza na kuhakikisha haufurukuti sio huo.Na kuelewa kitu ndio hatuwezi fanana lkn ili kuweka kumbukumbu huwa tunatuma taarifa husika na kuichambua kwa pamoja na kama kuna misconceptions tunarekebisha.Lkn mkuu hili sio ttz lako tu,ni vijana wengi kuwa na hbr ambazo tayar watu wameedit na ukimuuliza anakuwa mkali kweli,utasikia kwani we hujui alisema?Na hata ukiomba uthibitisho huwezi pewa.Nafikiri hili ni jukwaa la kukuza fikra Na sio kijiwe cha kahawa na endapo kuna ubishi ktk hoja ni swala la mtetea hoja kuja uthibitisho tu.
 
Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.

Kumwambia raisi atubu ndo kejel? Mkuu tumia taaluma yako vizuri, hiyo staha unayoizungumzia ni ipi?! Mawakili kama ninyi mmesoma ila msaada wenu ni mdogo sana kwenye mamo ya sheria!!
 
Issue siyo nani anampenda nani hapa. Kama anaset precedents, nani wa kulaumiwa? Sasa kusema nani alianza kuita wenzake wapumbavu,na wakati yeye ndo rais, inakuwa kama utoto.

Tafadhali usimix madawa. Usiwasingizie bavicha. Wewe umeuliza mfano wa maneno yasiyo na staha kutoka kwake, nimekuwekea kauli zake hizo, sasa naona unahamisha goli ili kuweza kufanya justification.
Unaweza leta speech nzima,au ni kunyofoa tu kwenye neno wapumbavu?Na kingine hakuna kosa linalohalalisha kosa lingine.Kitendo cha kumtukana jpm Kwa kile mnachodai alisema mawaziri ni wapumbavu ni kukosa hoja za mcng.Na hili la Bavicha liko wazi, Wao wanafuatilia speech za jpm kisha wananyofoa kamstari na kudistribute lkn ukienda kusikiliza speech nzima huwezi ona kuna ttz.Chuki nyingi zinapandwa na kuenezwa na upinzani.Jpm anaweza ongea neno lolote lile lkn upinzani wakilipima kama wanaweza lijengea hoja basi ktk speech nzima litabebwa hilo na kupigiwa kelele sana.Labda nkuulize ilikuaje akasema mawaziri ni wapumbavu? Au aliibuka tu.
 
Mkuu ulimwengu wa sayansi na teknolojia huu,haiitaji eti hadi uthibitisho uwe kwenye memory card yako,kuna YouTube, Google nk.Ni kiasi cha kutupia link tu.Kuhusu akina samia na Majaliwa hiyo sio hoja coz upande mliochagua kuusikiliza na kuhakikisha haufurukuti sio huo.Na kuelewa kitu ndio hatuwezi fanana lkn ili kuweka kumbukumbu huwa tunatuma taarifa husika na kuichambua kwa pamoja na kama kuna misconceptions tunarekebisha.Lkn mkuu hili sio ttz lako tu,ni vijana wengi kuwa na hbr ambazo tayar watu wameedit na ukimuuliza anakuwa mkali kweli,utasikia kwani we hujui alisema?Na hata ukiomba uthibitisho huwezi pewa.Nafikiri hili ni jukwaa la kukuza fikra Na sio kijiwe cha kahawa na endapo kuna ubishi ktk hoja ni swala la mtetea hoja kuja uthibitisho tu.

Mkuu hao akina Samia na Majaliwa hawako kwenye kundi la watu special? Nimekupa na mfano kuhusu hilo la kufutwa kwa sherehe za uhuru nimesikia na kuona, ila hata ukitaka nithibitishe kupitia hiyo google wala youtube sina muda huo. Nimesikia kwa masikio yangu, bloggers na wengine ndio wanamuda wa kutupia hizo link ila mimi sina. Nina Mb zinazotosha matumizi niyatakayo na wala sina internet ya kulipiwa na office kiasi niwe na muda wa kuupload link mbalimbali.
 
Unaweza leta speech nzima,au ni kunyofoa tu kwenye neno wapumbavu?Na kingine hakuna kosa linalohalalisha kosa lingine.Kitendo cha kumtukana jpm Kwa kile mnachodai alisema mawaziri ni wapumbavu ni kukosa hoja za mcng.Na hili la Bavicha liko wazi, Wao wanafuatilia speech za jpm kisha wananyofoa kamstari na kudistribute lkn ukienda kusikiliza speech nzima huwezi ona kuna ttz.Chuki nyingi zinapandwa na kuenezwa na upinzani.Jpm anaweza ongea neno lolote lile lkn upinzani wakilipima kama wanaweza lijengea hoja basi ktk speech nzima litabebwa hilo na kupigiwa kelele sana.Labda nkuulize ilikuaje akasema mawaziri ni wapumbavu? Au aliibuka tu.

Mkuu kwakuwa wewe uko hapa na kazi yako ni kuhakikisha JPM hakosolewi japo wewe unaita ni kutukanwa, ukiona Bavicha wanapotosha, wewe unaweka habari yote kwa uhakika ili kuondoa huo upotoshaji. Maana hata huko kanisani huwa tunaona tafsiri ya kifungu fulani kisha mchungaji anatiririka, na wala sijawahi kuona mchungaji akiongelea biblia nzima kila siku. Wewe kwenye hivyo vijimaneno vinakochomolewa kisha kujengewa hoja, wewe chomoa hivyo vizuri vitetee kwa nafasi yako. Nilishakuambia kwenye siasa vijembe hawezi kuvikwepa maana ni sehemu ya mchezo, ila kwakuwa mchezaji mwenyewe haiwezi siasa ndio maana unaona anapata shida na tabia ya mchezo wenyewe. Tusizunguke sana, hizi kelele zote ni kitendo cha yeye kutokuweza siasa za ushindani. Hayo mengine sijui katukanwa, sijui kadhalilishwa ni vijimambo tu.
 
Unaweza leta speech nzima,au ni kunyofoa tu kwenye neno wapumbavu?Na kingine hakuna kosa linalohalalisha kosa lingine.Kitendo cha kumtukana jpm Kwa kile mnachodai alisema mawaziri ni wapumbavu ni kukosa hoja za mcng.Na hili la Bavicha liko wazi, Wao wanafuatilia speech za jpm kisha wananyofoa kamstari na kudistribute lkn ukienda kusikiliza speech nzima huwezi ona kuna ttz.Chuki nyingi zinapandwa na kuenezwa na upinzani.Jpm anaweza ongea neno lolote lile lkn upinzani wakilipima kama wanaweza lijengea hoja basi ktk speech nzima litabebwa hilo na kupigiwa kelele sana.Labda nkuulize ilikuaje akasema mawaziri ni wapumbavu? Au aliibuka tu.
Unazungumzia speeches zisizo na staha ama maneno?

I’m done with you.
 
Utetezi dhaifu, JK hakuwa rais? Hakutokea kwenye hii jamii yetu? Hii ni nchi na sio familia yake, yeye kachaguliwa na baadhi ya watanzania hivyo ni lazima atakutana na watu wenye mitazamo tofauti na yake. Kama anataka kutokukosolewa akaongoze familia yake maana ndio inamtegemea aendeshe maisha yao.
Sawa.
 
Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.
Hivi wewe Petro na James Delicious ni ndugu???
 
Vijana wa kitanzania bwana; tumejivika akili ya kutoelewa. Nani alikuambiwa atakamatwa. Kwanza kwenda kutoa maelezo ya kauli ulizozitoa ni kukamatwa. Mbona ni jambo la kawaida. Lowasa alienda kutoa maelezo juu ya kauli yake; Katibu wa chadema alienda kutoa maelezo juu ya kauli aliyoitoa. Je hili ni geni?. lazima ifikie wakati mtoke katika hayo matongotongo mliyojivika na mje na ajenda zenye tija.
Mbona mwenyekiti uvccm hajaenda kutoa maelezo baada ya kuwatisha jeshi la polisi na mahakama hadharani kule Zanzibar? Hizi ndio double standard, maneno Yale angeyasema mpinzani sidhani Kama angekuwa uraiani Leo hii!
 
Nyani Ngabu, umeuliza swali kama lile la Tundu Lissu kwa shahidi wa upande wa mashtaka kwenye kesi ya uchochezi ikimkabili yeye mwenyewe na gazeti la Mawio: 'kuwa na hofu imekatazwa kisheria?'
 
Kuna mambo yanayoendelea sasa hivi hapa nchini ambayo siyaelewi kabisa.

Inapotokea mtu maarufu anapomkosoa huyu rais wetu hadharani au inapotokea hata mtu tu wa kawaida akafanya au kusema kitu fulani ambacho kinaonekana kama kinamkosoa Rais Magufuli basi mtu huyo ataanza kuandamwa andamwa na hata kukamatwa.

Rejeeni habari za yule dogo wa UDSM alipokamatwa kwa sababu ya alichokifanya kuhusu majengo ya mabweni mapya ya wanafunzi chuoni hapo. Rejeeni suala na Nape kutishiwa na bastola mchana kweupe. Rejeeni suala la mbunge Bashe kusumbuliwa na polisi au sijui usalama wa taifa wale. Rejeeni suala la Lissu kukamatwa kamatwa na kuwekwa rumande kisa katumia lugha kali dhidi ya Magufuli.

Kwenye nchi za kidemokrasia, kama tunavodai na sisi nchi yetu iko hivyo, suala la viongozi kukosolewa, kudhihakiwa, kutukanwa, na kadhalika, ni jambo la kawaida sana.

Tazama kote duniani kwenye demokrasia na hayo mambo utayaona.

Sasa kwa nini hapa kwetu huyu rais wetu akisemwa vibaya huyo mtu aliyemsema vibaya anaanza kusumbuliwa?

Askofu Kakobe sasa hivi tumesikia habari kuwa eti atakamatwa kisa eti kadiriki kumkosoa rais.

Hivi kumkosoa rais au hata kumkebehi na kumdhihaki ni kosa kwenye nchi hii?

Kwani huyu rais wetu wakati anagombea huo urais alikuwa na matarajio gani labda? Kwamba akishatangazwa kuwa yeye ndo mshindi basi kila mtu ndo atakubaliana naye na kumuunga mkono kwenye kila kitu? Hilo kamwe haliwezekani na halitowezekana Tanzania hii.

Labda linawezekana tu huko Korea Kaskazini ingawa hata huko sidhani kama watu wote wanamuunga mkono huyo Kiduku.

Nawashauri CCM waunde kitengo cha ‘War room’ mahsusi kwa kujibu mapigo ki-hoja na kuacha kutumia vitisho vya vyombo vya dola kujibu mapigo kwa kutishia watu.
Kugombea uraisi ni jambo mmoja,na kuwa raisi ni jambo jingine.
Yawezekana ukiwa nje ya ulingo,unapata picha tofauti na hali harisi ya uraisi.
Kwa mfano mbakaji/mlawiti atanyeshewa mvua 30 hadi kifungo cha maisha kama kesi ya Babu Seya,lakini mamlaka zile zile zilizomuweka hatiani wanakuja kukwambia kakaa sana hakustahili kusweka gerezani ndio mnaziita misamaa ya raisi.
Labda tuseme uraisi ni double standard huwezi kumlidhisha kila kiumbe.
 
Vijana wa kitanzania bwana; tumejivika akili ya kutoelewa. Nani alikuambiwa atakamatwa. Kwanza kwenda kutoa maelezo ya kauli ulizozitoa ni kukamatwa. Mbona ni jambo la kawaida. Lowasa alienda kutoa maelezo juu ya kauli yake; Katibu wa chadema alienda kutoa maelezo juu ya kauli aliyoitoa. Je hili ni geni?. lazima ifikie wakati mtoke katika hayo matongotongo mliyojivika na mje na ajenda zenye tija.
Sema wewe umejivika akili ya kutokuelewa usituchanganye.Tz yetu kwa sasa ndipo tulipofikia kweli? Ukweli hudumu uongo unamwisho.Jamaa kaongea ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom