Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,454
- 10,755
Katika maisha yangu hakuna kitu nachukia kama kumuomba mwanamke namba. Mimi napogoma nae tu akinitolea nje basi. Kuna siku nilipanda bajaj na demu mmoja mkali sana nikaona mara anatoa simu mara achezea hakuna la maana alilokuwa anafanya na hiyo simu. Nikajua huyu anadhani nitaomba namba nikapiga kimya.



