Kama huna hela usiombe namba

Aisee ni balaa namba tatu zote nilizoomba nimepiga hesabu nikisema niwape hela walizoniomba ni kama Laki Moja inapukutikaa chap Yaani hakuna cha mke wa mtu wala nini wote wanalia njaaaa mara sijui vikoba sijui naumwaa khaa acha nibaki njia kuu kwa kweli.

Ukiona mwanaume malaya jua ana Helaaa. Ukiona mwanaume anajidai katulia na mmoja huyo Masikini mwenzetu yaani.
Naked truth.
 
Huu ni ukweli... vaa vizuri, tembelea gari zuri la bei rahisi tu.. jipya jipya hata kama ni passo ila iwe kama mpya, ishi sehemu nzuri hata kama umepanga, kwako vitu vya ndani geto viwe vizuri hata kama vichache tu, usiwe na vitu used used, wewe pia kula vizuri..

Hapo wanawake utawakinai mwenyewe kama ukiwa hujaoa.. na unapenda uzinzi... watakupa sana bila kuwahonga
Hivyo vyote kuwa navyo kunahitaji pesa.
 
Ili hii mbinu ifanye kazi ni lazima mwanamke husika awe anaamini kwamba una hela nyingi. Na wewe mwenyewe lazma ujiweke ktk muonekano wa kuaminika. Na wakati unamweleza unakua siriaz kama kweli vile.. hapo utakula mbususu bure mpaka uchoke.
Unamuambia "we siku ukiwa na wazo la biashara unataka mtaji kuanzia milioni kwenda juu niambie" Sasa mpaka apate wazo ni lini
Kwa kifupi uwe muigizaji mzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom