Kama huna hela usiombe namba

Mm niliacha kutongoza na badala yake naenda kununua papuchi yaan nachagua ninazotaka unajua kwann?...kuna manzi wengi tu huwa nawatongoza na nahonga vya kutosha. guess what mwisho wa siku nakuja kugonga na kondom,kavu nakuwa naona ni kujitosa sana.yaan nihangaike na demu miezi miwili nichunwe vya kutosha ukipiga mahesabu mpaka unakuja kupewa papuchi ushahonga zaidi ya 300k(hii ni kwa pisi kali yenye tako lakn),sasa si bora nikanunue kwa 10k tena napewa siku hyo hyo, no wastage of time,pia nakuwa na uhuru na cm yangi nikirud kwa wife kuliko kwa michepuko mda wote kazi ni kuwablock na ku-unblock kila urudipo nyumbani.Ni MATESO,
KUNUNUA PAPUCHI NDO MPANGO MZIMA!
Spot on mate! Yaani ukifanya cost benefit analysis ni bora uende na huu mpango. Tena bwana its stress free. Huna hela unatulia zakko na mpezi wako revola mambo yameisha. Ukizipata huyo anataffuta limsambwanda la maana unajienjoy
 
20210519_103118.jpg
 
Mwali: makaveli
Maka: ooh!!
Mwali: mambo
Maka: safi tu
Mwali: nikuombe kitu
Maka: no, usiniombe
Mwali: jamani, kwanini?
Maka: nahofia, utaomba kitu na mie sina
Mwali: usijali, kama huna unasema sina
Maka: haya sawa
Mwali: nina shida naomba laki na nusu
Maka: sina
Mwali: haya sawa

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom