Umenikumbusha mbali enzi za soda cent 50 lakini kunywa mpaka sikukuu leo Tsh 600 lakini watu wanakunywa kila siku. hata vijijini wankunywa japo wao si kila siku.Enzi hizooo
Soda ya coke ilikuwa na harufu nzuri mno
Hizi soda ilikua mwaka ganii,sikuwah kuzionaa
kwasababu hukuwepo! miaka ya 80 hio....kama ulizaliwa chini ya 1985 hizi utakuwa umezinywa hata kama hukumbuki shepu ya crate.
hahaaa .. unanikumbusha enzi za soda inaitwa DOUBLE COLA
mie ninalo moja la pepsi natafuta mteja wa kumuuzia