The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,303
- 49,375
We huitaki shikamoo??ha ha ha
Ya kwako hapana japo hayo makreti nayafaham sana, kila kitu hutokea kwa kusudi au sababu, hii ni pamoja na kukataa baadhi ya shikamoo!
We huitaki shikamoo??ha ha ha
........Daaah! kumbe Wazee tupo wengi humu.
Kuna Soda ilikuwa inaitwa Fahari, nilikuwa naipenda.
Ya kwako hapana japo hayo makreti nayafaham sana, kila kitu hutokea kwa kusudi au sababu, hii ni pamoja na kukataa baadhi ya shikamoo!
Dah! Kuna wataalam walikua hawafungui kizibo ila wanakitoboa kwa msumari ili soda iwe inatoka kidogokidogo...umenichekesha sana!Umenikumbusha mbali sana. 80s to 90s era hyo. Kipindi icho soda ni dream unakunywa alaf unarudisha kidogo noma sana mpaka punje za wali zinabakia ndani ya chupa
Hunitendei haki kabisa jamani!!
Dah! Kuna wataalam walikua hawafungui kizibo ila wanakitoboa kwa msumari ili soda iwe inatoka kidogokidogo...umenichekesha sana!
nimekumbuka vimtohahaaa .. unanikumbusha enzi za soda inaitwa DOUBLE COLA
Hizi soda ilikua mwaka ganii,sikuwah kuzionaa
Hata silijui!!
Hizi soda ilikua mwaka ganii,sikuwah kuzionaa
Dah! Kuna wataalam walikua hawafungui kizibo ila wanakitoboa kwa msumari ili soda iwe inatoka kidogokidogo...umenichekesha sana!
Hahaha kipindi cha vinto mkuu kila mtu unamuonyesha ulimi[/QUOTE
Vimto kwangu ndio ilikuwa kiboko yao.. nilikua naipenda sana! kunywa hiyo soda yenyewe sasa mpaka komunio afu soda moja mnapewa mnywe watoto wawili kila mtu anataka kunywa kwenye chupa shughuli ndio inaanzia hapo! hahahaaa dah nilikua na nguvu watoto wakiambiwa we kunywa na huyu wanaanza kulia mana wanajua hapati chupa wala ya kwenye kikombe dadeki! hahahahaaa Marire u made my nyt wallah!
Umenikumbusha mbali enzi za soda cent 50 lakini kunywa mpaka sikukuu leo Tsh 600 lakini watu wanakunywa kila siku. hata vijijini wankunywa japo wao si kila siku.
Kweli umri umeenda ngoja nioe aisee