Kama huijui hii niamkie shikamoo

Kama huijui hii niamkie shikamoo

aisee!kiwango cha shikamoo ninachopokea siku hizi ndio nilikua sikielewi..............kumbe kweli nimekua bana!
double cola mazaa alikua anatuambia ni pombe so tunakunywa kimachale ile mbaya
 
aisee!kiwango cha shikamoo ninachopokea siku hizi ndio nilikua sikielewi..............kumbe kweli nimekua bana!
double cola mazaa alikua anatuambia ni pombe so tunakunywa kimachale ile mbaya

.......kwa hiyo ulikuwa unajifunza kulewa !?:glasses-nerdy:
 
Hahaha kipindi cha vinto mkuu kila mtu unamuonyesha ulimi

Ni Vimto !
Umewahi kunywa Healtho kwa wale wa Tanga line ? ........ kachupa kadogo ka 250ml ...... gesi nyiingii mpaka inaunguza ulimi :becky:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom