Tu share tuliowahi kukutana ama kusoma na elites

zee_latown

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2026
Posts
557
Reaction score
1,019
kwema ndugu zangu?
binafsi nimebahatika kukutana zaidi ya mara moja na baadhi ya elites kwenye nchi hii katika maeneo nisiyoyatarajia kabisa...

kuna mmoja ilikuwa usiku, nilikutana naye pale coco beach akiwa in disguise ila nilimgundua, nilishangaa mno ukizingatia alikuwa mtu mzito sana enzi hizo... na alikuwa na binti nadhani mzungu yule, alikuwa na makalio makubwa amevaa vile vichupi vya kamba tu... ilikuwa jioni hiyo karibia saa moja. ila hakujua kama mimi nilimgundua.

kuna Mhe mmoja jina lake linafanana na mwezi wa pili... huyu tuliwahi kugonganishwa na demu enzi hizooo... mimi najua nipo peke yangu kumbe naye yumo... aisee siku tunaonana hakuna aliyeongea tuliduwaa tukishangaana tu... nilicheka sana baadaye.

je, wewe umewahi kukutana ama kusoma ama kuishi na elites katika mazingira gani hapa Bongo?
 
Gerald Hongoli
 
Kidemu cha kisingida,could be!?/ Dodoma.
 
Back
Top Bottom