Kama huijui hii niamkie shikamoo

Kama huijui hii niamkie shikamoo

hahaaa .. unanikumbusha enzi za soda inaitwa DOUBLE COLA

attachment.php
images
DoubleCola1.jpg
441110429_900d2aa5b3.jpg
large_829.jpg
dc-glass-4-pack.jpg
images
 
Mkuu hizi crate zilikuwepo mpaka 1995-1997 kama sikosei! Juzi tu😉
 
mkuu kwenu mlikuwa matajiri sana!! Enzi hizo kunywa soda ilikuwa ni anasa mnoooo!!zaidi zaidi wakati wa sherehe mlikuwa mnapewa juisi ya orange squash inachanganywa kwenye ndoo mnagawiwa kwenye vikombe vya plastiki!!ukitoka hapo mdomo wote wa njano!!!
 
........Daaah! kumbe Wazee tupo wengi humu.

Kuna Soda ilikuwa inaitwa Fahari, nilikuwa naipenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom