Kama hii ni kweli, basi kazi ipo!!

Binafsi kura yangu na support anayo. EL ni kiongozi mzuri kushinda JK, Mtoto wa mkulima na wengine u think of
 
Mambo mengine yako wazi sana. Ni dhahiri jamaa yuko kwenye harakati za kuusaka uprezdaa. Lakini mi naona bora EL kuliko JK.
 
EL kuwa mtarajiwa hiyo ipo wazi; kule facebook anajiita Edward Lowasa the next president of united republic of Tanzania.
na amewahi kuanzisha mada iliyokuwa ikisema, 'siwezi kuahidi mengi kama ilivyo kwa serikali iliyopo madarakani hivi sasa ila nipe kura yako na hutajutia.'
aaah shabash! Facebook kuna wahuni kule, jamaa wameweka sana akaunt za viongozi wengi wengi ambazo ni hewa.
 
Mi sioni tatizo kama EL atakuwa rais, kwa kuwa kashfa ananazopewa
ni za kisiasa na zina maslahi kwa kundi la kina Sitta mambo ambayo
sisi hayatusaidii. Ufisadi ni mfumo uliopo ndani ya CCM na Sofia Simba
alithibitisha kuwa ukiongelea ufisadi ndani ya CCM hakuna anayesalimika.
Kwa nini EL peke yake? Tuache bias na tuangalie mustakabali wa nchi
hii; hasa Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi, Jeshi lisilotumika kisiasa
na mengineyo, kwani bila vitu hivi hata angekuja nani bado hali itakuwa
ileile, na si kumsakama Lowassa tu. Huu ni mtazamo wangu...
Hayo ndo maneno yenye busara. Hata Richmond jamaa wamembebesha zigo tu. Kwani hata jk anahusika, kujiuzulu kwake u PM nilichukulia kama jazba na hasira tu.
 
Inaelekea Lowassa anawanyima baadhi ya watu usingizi kweli kweli!

Ni kweli, hasa wale wanaousaka urais kwa nguvu zote lakini wanajifanya hawautaki
kwa kuwa wanakwenda kimyakimya huku mioyo yao ikiwa imejaa unafiki mtupu.
Hawakai wakajadili mambo muhimu ya kitaifa bali wao wanang'ang'ana na Lowassa tu.
Mbona hata wao wanaalikwa mpaka kwenye mahafali ya wanafunzi na wanafanya
kampeni zao lakini hakuna anayewafuatilia? Au kunya anye kuku akinya bata kaharisha?...
 
Niko kikazi huku kanda ya ziwa, jana kulikuwa na kikao kikubwa kwenye hoteli moja jijini Mwanza!

Inasemekana kuwa Mheshimiwa EL, ameshaanza kampeni za uraisi 2015. Amekuwa na kikao kizito sana na baadhi ya makada wa CCM hotelini hapo! Niliowaona na kuwafahamu kuwepo ni pamoja na Hussein Bashe na mwenyekiti wa wazazi hapa Mwanza, Masota. Huyu ndo alikuwa kama organiser, alikuwa akiwapigia simu watu mbali mbali kuja kuhudhuria kikao na mara kwa mara alisikika akisema mtarajiwa yuko hapa. Walithubutu hata kutamka kuwa rais mtarajiwa ana kikao hapa.

Kilichoshangaza ni kuwa, kuna kijana alikuwa amewaletea magazeti, huyu Masota akamtoa baru akimwita mmbea kwamba amempigia simu Riz-One kuwa kuna kikao cha kampeni. Mwanzoni alivaa sare za CCM baadae akabadilisha na akawa anasema kuwa kikao hicho ni cha kujadili mambo ya harambee ya ujenzi wa kanisa la wakatoliki na yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ujenzi huo na EL ni mgeni rasmi kwenye ibada ya harambee iliyotarajiwa kufanyika leo. Cha ajabu ni kuwa Bashe anahusika vipi na kikao cha ujenzi wa kanisa? Au ameshabatizwa?

Naambiwa EL alikuwa na kikao cha kampeni kama hicho mjini Shinyanga juzi. Hivi pamoja na maskendo yote hayo EL ameazimia kweli kugombea urais?

Nawasilisha!
EL for CCM 2015.
 
Ni kweli, hasa wale wanaousaka urais kwa nguvu zote lakini wanajifanya hawautaki
kwa kuwa wanakwenda kimyakimya huku mioyo yao ikiwa imejaa unafiki mtupu.
Hawakai wakajadili mambo muhimu ya kitaifa bali wao wanang'ang'ana na Lowassa tu.
Mbona hata wao wanaalikwa mpaka kwenye mahafali ya wanafunzi na wanafanya
kampeni zao lakini hakuna anayewafuatilia? Au kunya anye kuku akinya bata kaharisha?...

Ni kweli Mkuu, na hawajui kuwa wanavyohangaika nae kila kukicha ndiyo wanakuza zaidi jina lake na wanamsababisha aonekane muarobaini wa ulegevu wa uongozi wa sasa pamoja na kasoro zake kama binadamu.
 
"Ikulu si mahali pa kupakimbilia.... Mtu huyo mwogopeni kama ukoma" -J K Nyerere.

Inawezekana akawa mtendaji mzuri kama unavyodai, lakini kwanini anang'ang'ania sana, why why why why?

Kwa uchu alionao Kwanini tusimhofie?

Sio tu EL bali kila mwanasiasa ana uchu wa madaraka na ndipo hofu yangu ilipo, kwanini kung'ang'ania sana? ikiwa kiongozi anahisi anaweza kuongoza vema matendo maadilifu ndo yamuuze na sio nguvu why why why?
kiongozi bora bado hatuna nchi hii tunao bora viongozi tuu, bull shit!!
 
Let me as CLEAR as possible, after all hve been said & done, kama kweli tunahitaji MAENDELEO, na sijatumwa na mtu hapa ni baada ya my deep analysis & references regarding current & former political leaders, LOWASSA IS FIT TO BE A PRESIDENT, i'm 100% convinced na semeni, ongeeni, fanyeni mtakayo, HE IS THE ONLY VIABLE CCM PRESIDENTIAL CANDIDATE ilivyo mapema, mm nasema NI MCHAPAKAZI, na most know this, i am done, period...!!!
 
"Ikulu si mahali pa kupakimbilia.... Mtu huyo mwogopeni kama ukoma" -J K Nyerere.

Inawezekana akawa mtendaji mzuri kama unavyodai, lakini kwanini anang'ang'ania sana, why why why why?

Kwa uchu alionao Kwanini tusimhofie?

Ww stop this old fashioned slogan, tena kama ni verse ya bible ni agano la kale, NANI HANA UCHU WA MADARAKA? nani? Sema, semaa, tusiongee tu theories leaving behind practicals, hata mm na ww tuna uchu wa madaraka ndio maana nafasi zikitoka za kupandishwa vyeo or kugombea U CEO or any high rank au namna yoyote ile uwe mkubwa kikazi au biashara tunagombea wote kwa high competition, WOTE TUNA UCHU WA
MADARAKA, labda ww uone huwezi regarding ur personal status, MM NIKIULIZWA LEO UNAPENDA KUWA RAIS, jibu ni yes 100%, je napenda kuwa MFALME, yes, hata kuwa JESUS IF POSSIBLE, ila je nitapenda kuwa MATONYA, jibu ni BIG NOOOO, wala siwaziii, so wote tuna uchu, its human nature, kubali ukatae, ukweli utabaki ukweli, that is it....
 
ebu nikuulize kosa la edo kubwa liko wapi mm namuona ni mtu anayefaa kutuongoza ukiwemo na ww bigup edo
 
EL ni raia wa Tanzania kama wewe na mimi na ana haki yake kikatiba ya kugombea uongozi wowote wa nchi hii mradi asivunje sheria. Hata wewe na mimi tuna haki ya kugombea.
 
hawa watu hawaogopi kauli za Nyerere? Ni kitu gani ambacho ameshindwa kukifanya kama waziri mkuu akiwa rais ataweza? Ikulu pana biashara gani pale? Ikulu ni mzigo! El hajui hilo? Kamwambia nani ccm itatawala baada ya jk?
 
nina wasiwasi na ubishop wako, kama unadiriki kusema huoni tatizo el kuwa rais basi wewe hujui huyu mtu kafikisha wapi taifa.
 
EL namkubali anaweza kutukomboa watz.

Lowassa akiingia jiandae kwa yafuatayo:

1.Kuachia viwanja vyote vya mijini zikiwemo nyumba zenu kwa nguvu ili awekeze kwenye hoteli zake
2. Mjue atabadili katiba ili aongoze zaidi ya vipindi viwili kwa kisingizio hajamaliza kazi
 
Back
Top Bottom