Kama hii ni kweli, basi kazi ipo!!

Let me as CLEAR as possible, after all hve been said & done, kama kweli tunahitaji MAENDELEO, na sijatumwa na mtu hapa ni baada ya my deep analysis & references regarding current & former political leaders, LOWASSA IS FIT TO BE A PRESIDENT, i'm 100% convinced na semeni, ongeeni, fanyeni mtakayo, HE IS THE ONLY VIABLE CCM PRESIDENTIAL CANDIDATE ilivyo mapema, mm nasema NI MCHAPAKAZI, na most know this, i am done, period...!!!

Huu ushabiki usiokuwa na maana ndio uliotufikisha hapa tulipo.Ziliimbwa nyimbo nyingi sana kuhusu JK lakini leo watu wanamtetea kwa aibu.Ikumbukwe hawa kina EL ndio waliowaaminisha waTZ kuwa JK anafaa.Leo hii mnataka tena kutuaminisha kuwa EL anafaa.Ikumbukwe Uraisi sio kitu cha kubahatisha.akipewa huyu tunarudi tena nyuma miaka mingine 10,maana tumeisha ipoteza 10 mingine ya JK.Kwa nchi hii ilipofikia inapidi mfumo wa CCM upigwe chini,uingie mpya wa upinzani hata kama wataboronga for the first term lakini kutakua na ueleko mpya na watu wataanza kufikiria utaifa.Kwa hali ilivyo sasa ndani ya CCM,kundi moja likikosa uongozi,linaingia msituni kujipanga, lina poshinda linaanza kuangalia maslahi ya walioliingiza madarakani hivyo hakutakua na mtu wa kuangalia maslahi ya watanzania.Na itandelea kupokezana vivyo hivyo.NI LAZIMA TUKITAKA NCHI HII IENDE, CCM ITOKE MADARAKANI ILI KUVUNJA NETWORK ZA MASLAHI BINAFSI.
 
Lowassa akiingia jiandae kwa yafuatayo:

1.Kuachia viwanja vyote vya mijini zikiwemo nyumba zenu kwa nguvu ili awekeze kwenye hoteli zake
2. Mjue atabadili katiba ili aongoze zaidi ya vipindi viwili kwa kisingizio hajamaliza kazi

Aaarrrggg...!!! My godness, did ur creation made the mind of this guy..!? Kama huna la kusema just keep shut....!! rudia soma ulicho andika, i am nauseated,,,
 
Huu ushabiki usiokuwa na maana ndio uliotufikisha hapa tulipo.Ziliimbwa nyimbo nyingi sana kuhusu JK lakini leo watu wanamtetea kwa aibu.Ikumbukwe hawa kina EL ndio waliowaaminisha waTZ kuwa JK anafaa.Leo hii mnataka tena kutuaminisha kuwa EL anafaa.Ikumbukwe Uraisi sio kitu cha kubahatisha.akipewa huyu tunarudi tena nyuma miaka mingine 10,maana tumeisha ipoteza 10 mingine ya JK.Kwa nchi hii ilipofikia inapidi mfumo wa CCM upigwe chini,uingie mpya wa upinzani hata kama wataboronga for the first term lakini kutakua na ueleko mpya na watu wataanza kufikiria utaifa.Kwa hali ilivyo sasa ndani ya CCM,kundi moja likikosa uongozi,linaingia msituni kujipanga, lina poshinda linaanza kuangalia maslahi ya walioliingiza madarakani hivyo
hakutakua na mtu wa kuangalia maslahi ya watanzania.Na itandelea kupokezana vivyo hivyo.NI LAZIMA TUKITAKA NCHI HII IENDE, CCM ITOKE MADARAKANI ILI KUVUNJA NETWORK ZA MASLAHI BINAFSI.


Ukweli ni huu Cheichei, uongozi wa Jk uliyumba pale tu Lowassa alipo achia ngazi, je unaijua Richmond vizuri? Ni Lowassa tu ndiye aliyekuwa mhusika? Jibu ni la, wote walikuwa wanaijua Richmond hata kabla yetu, i repeat Lowassa ni mchapa kazi, kila mtu anajua, hata mali zake nyingii ni juhudi zake binafsi, www unafikiri kaibaaa, just think a loud wangapi wanaiba wako wapi? Lowassa ni bora kuliko yoyote kwa sasa, trust me
 
nina wasiwasi na ubishop wako, kama unadiriki kusema huoni tatizo el kuwa rais basi wewe hujui huyu mtu kafikisha wapi taifa.

Nani aliyekwambia mimi ni bishop wa kanisa? Hili ni jina kama majina mengine,
ni sawa na mtu kuitwa Jenerali au Ulimwengu. Kama ni matatizo mbona wanasiasa
wote hata wale wanaompiga majungu wanayo, nyie mnayaona ya Lowassa tu.
Au na wewe ni walewale wanaoongozwa na chuki binafsi bila kufanya tafiti za kina?
Mimi simtetei mtu lakini tujaribu kuangalia uhalisia, kwani hata huyo unayemtaka
wewe ana asili ya udikteta na unafiki, au hulijui hilo?
Kwa nini unataka kuanzisha malumbano na mimi kwa jambo ambalo wala halitakuletea
manufaa kwa kuwa huyo unayempigia debe na huyu ninayemsemea wote hawatatusaidia
bali maendeleo yetu yatatokana na juhudi zetu wenyewe! Naheshimu mawazo yako,
kwa nini uanzishe matusi kwa kuwa nimeandika kile usichotaka kukisikia? Shame on you!
 
Niko kikazi huku kanda ya ziwa, jana kulikuwa na kikao kikubwa kwenye hoteli moja jijini Mwanza!

Inasemekana kuwa Mheshimiwa EL, ameshaanza kampeni za uraisi 2015. Amekuwa na kikao kizito sana na baadhi ya makada wa CCM hotelini hapo! Niliowaona na kuwafahamu kuwepo ni pamoja na Hussein Bashe na mwenyekiti wa wazazi hapa Mwanza, Masota. Huyu ndo alikuwa kama organiser, alikuwa akiwapigia simu watu mbali mbali kuja kuhudhuria kikao na mara kwa mara alisikika akisema mtarajiwa yuko hapa. Walithubutu hata kutamka kuwa rais mtarajiwa ana kikao hapa.

Kilichoshangaza ni kuwa, kuna kijana alikuwa amewaletea magazeti, huyu Masota akamtoa baru akimwita mmbea kwamba amempigia simu Riz-One kuwa kuna kikao cha kampeni. Mwanzoni alivaa sare za CCM baadae akabadilisha na akawa anasema kuwa kikao hicho ni cha kujadili mambo ya harambee ya ujenzi wa kanisa la wakatoliki na yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ujenzi huo na EL ni mgeni rasmi kwenye ibada ya harambee iliyotarajiwa kufanyika leo. Cha ajabu ni kuwa Bashe anahusika vipi na kikao cha ujenzi wa kanisa? Au ameshabatizwa?

Naambiwa EL alikuwa na kikao cha kampeni kama hicho mjini Shinyanga juzi. Hivi pamoja na maskendo yote hayo EL ameazimia kweli


kugombea urais?


Nawasilisha!

Kila siku LOWASA, haya ATC inawalipa walaebanon Mabilioni mbona hamsemi?
 
Ukweli ni huu Cheichei, uongozi wa Jk uliyumba pale tu Lowassa alipo achia ngazi, je unaijua Richmond vizuri? Ni Lowassa tu ndiye aliyekuwa mhusika? Jibu ni la, wote walikuwa wanaijua Richmond hata kabla yetu, i repeat Lowassa ni mchapa kazi, kila mtu anajua, hata mali zake nyingii ni juhudi zake binafsi, www unafikiri kaibaaa, just think a loud wangapi wanaiba wako wapi? Lowassa ni bora kuliko yoyote kwa sasa, trust me

Sure! Waulize, kwani baada ya Lowassa kuondoka nini cha maana kimefanyika zaidi ya majungu!
Kuna watu wanaongozwa na ushabiki na chuki binafsi ambazo hata ukiwauliza kawafanyia nini sijui
kama wataweza kukueleza. Badala ya kujadili hoja kazi yao kupinga hoja zinazoangalia mupande wa
pili wa Lowassa (kwenye mazuri). kwani lazima wote tuangalie mabaya tu. Na tukianza kuangalia
mabaya tu ninaamini hata humu JF patakuwa hapatoshi...
 
Sure! Waulize, kwani baada ya Lowassa kuondoka nini cha maana kimefanyika zaidi ya majungu!
Kuna watu wanaongozwa na ushabiki na chuki binafsi ambazo hata ukiwauliza kawafanyia nini sijui
kama wataweza kukueleza. Badala ya kujadili hoja kazi yao kupinga hoja zinazoangalia mupande wa
pili wa Lowassa (kwenye mazuri). kwani lazima wote tuangalie mabaya tu. Na tukianza kuangalia
mabaya tu ninaamini hata humu JF patakuwa hapatoshi...

Asanteee Bishop, people are very stagnant here, sometimes hapa JF use most of ur common sense kuangalia watu wanasema nini..? Lowassaa, Lowassaaa kila kulicha, mara ana uchu wa madaraka, mara bepari, mara fisadi, etc etc nk nk, ukiwauliza ok verify ur claims, no one they keep quite, TUSIMHUKUMU LOWASSA KWA CHUKI BINAFSI NA SI YY TU MTU YEYOTE, i bet to last word & breath & intellectuallity i possess, Lowassa is a LEADER, jk anajua, mashekhe, maaskofu, CCM na hata CDM knows this, LOWASSA NI KIONGOZI na hababaiki, toeni hoja na si viroja hapa. Mm ukiniuliza, je ni nani kwa sasa tegemeo la CCM 2015, no dought, qns, hesitation, ambiguity, ni Lowassa.... acheni kumchoma Mzee wa watu bila sbb za msingi, ukitaka urais jitokeze hujanyimwa kashindane naye jukwaani na mitaani, au kama ww humtaki USIMPE KURA YAKO, una options hizo mbili kisheria, ila si kumtukana, au kumchafua bila sbb, leteni hoja
 
Hlf huyu jamaa naona afya yake imerudi sijui ni kikombe cha babu, cha nigeria au furaha ya gamba kukwama.
MWALIMU ANAKUJA NARUDI CLASS.
 
Back
Top Bottom