Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,200
- 820
"Ikulu si mahali pa kupakimbilia.... Mtu huyo mwogopeni kama ukoma" -J K Nyerere.
Inawezekana akawa mtendaji mzuri kama unavyodai, lakini kwanini anang'ang'ania sana, why why why why?
Kwa uchu alionao Kwanini tusimhofie?
Hapa itakuwa Fisi tumemkabithi bucha, akila mpaka mpaka gogo la kuchanjia nyama tusitafute mchawi.