Taured
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 805
- 697
Speed ya dunia ni kubwa lakini pia ni constant ndo maana huwezi kuhisi hiyo motion mfano ni kama gari lipo kwenye Barbara nzuri halafu linakimbia speed kubwa kama halijabadili gia unaweza hisi kama haliendi vile ni kwa sababu na ww unatembea na gari katika same speed au ukiwa kwenye lift huwezi hisi motion mpaka lifti ikisimamaSwali hili linahitaji utulivu kidogo.
Mwalimu alisema
Dunia inajizungusha yenyewe na hapo hapo inalizunguka Jua katika mhimili wake.
Hivyo ina mizungiko miwili kwa wakati mmoja.
Ivi ukiwa kwenye Dunia imbayo inajizungusha na kuuzunguka mhimili wake utalionaje Jua ambalo tunaambiwa limesimama tuli kabisa ?
Halafu mwalimu anasema dunia ni ya mvilingo kama mpira au chungwa na hatudondoki eti kuna ka nguvu ka Gravity.
Hapo kuna ukweli wa kweli ?
Ivi upepo unapovuma na kutulia dunia inakuwa imesimama ?
Mbona matone ya mvua huwa yanadondoka huku yamenyooka kabisa toka mawinguni Juu ?
Hapo dunia huwa imesimama ?
Kwenye mtihani nilijibu kama mwalimu alivosema ili kupata vema.
Lakini mimi bado sijashawishika na hii Nadhalia ya Dunia ya mvilingo kujizungusha na kuzunguka Jua kwa wakati mmoja, bila sisi wanadamu kupata misukosuko.
Naomba kipimo cha kuthibitisha haya madai.
Sidanganyiki