Kama dunia inazunguka kwanini hatumwagiki?

Kama dunia inazunguka kwanini hatumwagiki?

WATU WAJINGA, MI NIMETOA MFANO WA GARI, MTU UKIKAA KWENYE GARI IKAWA INATEMBEA UTAMWAGKA? KWA SABABU SPEED YA GARI IKO SAWASAWA NA MZGO ULIOBEBWA, NA NDIYO MAANA DEREVA AKFUNGA BREK ZA GHAFLA HULETA SHDA, THE SAME TO DUNIA, INAVYOZUNGUKA HUZUNGUKA KWA SPEED COSTANT PAMOJA NA KILICHOBEBWA KTK DUNIA, NA KAMA INGETOKEA DUNIA IKASMAMA GHAFLA BAS UNGEONA JINS UTAKAVYOMWAGKA KAMA KWENYE GARI DRIVER ANAVYOFUNGA BREK ZA GHAFLA AU KUENDESHA OVYO.

MFANO WA PILI NI NDEGE INAVYOKUWA ANGAN INAKIMBIA KWA SPEED KUBWA LAKN U DONT FEEL KAMA INAKMBIA, HATA MHUDUMU WA NDEGE ANAPOKUHUDUMIA KULE ANGANI KWA KIKOMBE CHA CHAI, WALA CHAI HAITINGISHIK, KWA SABABU SPEED YA NDEGE INAKUWA COSTANT NA KILA KILICHOBEBWA KWENYE NDEGE, ILA IKTOKEA NDEGE IKABADILI SPEED GHAFLA HAPO NDO UTAKAPOJUA KWAMBA NDEGE ILIKUWA INAZUNGUKA.
This is a good real example walimu waache kufundisha kwa nadharia masomo kama haya ya geography ni bora akaalikwa mtaalamu hata WA astronomy au geophysics akawaelezea wanafunzi baadhi ya concept ngumu kama hizi
 
lwiva NILIVYOSEMA DUNIA SYO KAMA MWENDO WA GARI NIMEMAANISHA MWENDO WA DUNIA NI COSTANT.. GARI HUTEGEMEA DEREVA, BARABARA, UBORA WA CHOMBO N.K! KWA MFN DEREVA ANAWEZA FUNGA BREK GHAFLA HUMO NDAN MKAANZA KUANGUKIANA OVYO, ILA DUNIA HAIWI HVYO.
Mkuu jamaa hujamuelewa, ana swali ambalo bado hujajibu, umesema sisi tunazunguka speed sawa na dunia sasa swali la mkuu ni kwamba "kwanini ukiruka juu utue pale pale, kwanini usikute ardhi imesogea ata kidogo tu ili kuprove kuwa dunia iko katika motion"
 
Kutoka Elimu bure mpaka Elimu bila malipo na sasa hiv ni marufuku aina yyte ya michango kwa shule za Sekondari na Msingi
 
Mkuu jamaa hujamuelewa, ana swali ambalo bado hujajibu, umesema sisi tunazunguka speed sawa na dunia sasa swali la mkuu ni kwamba "kwanini ukiruka juu utue pale pale, kwanini usikute ardhi imesogea ata kidogo tu ili kuprove kuwa dunia iko katika motion"
Swali la msingi
 
Speed ya dunia ni kubwa lakini pia ni constant ndo maana huwezi kuhisi hiyo motion mfano ni kama gari lipo kwenye Barbara nzuri halafu linakimbia speed kubwa kama halijabadili gia unaweza hisi kama haliendi vile ni kwa sababu na ww unatembea na gari katika same speed au ukiwa kwenye lift huwezi hisi motion mpaka lifti ikisimama
Mfano mzuri ni kwenye ndege ijapokua inakwenda Kwa kasi ndani usikii unaona kama imesimama
 
Kwahiyo dunia haisimami siyo km ni hivyo mbna kunakuwa na Giza? Nilijua wakati wa Giza inasimama....kuna MTU pia aliniambia Yale mawimbi baharini inaonesha namna dunia inavyo tikisika
Yale mawimbi yanasababishwa na mambo mengi mfano kupwa na kujaa Kwa bahari kunatokana na mvutano wa gravity ya dunia na mwezi
 
Ukikaa ndani ya meli inayotembea kwa ndani wakati hakuna mawimbi huwezi jua kama meli ipo kwenye mwendo.
Lakini ukiangalia nje unaona miti majumba na uoto wa asili unatembea.
Mbona sisi tunaokaa ndani ya dunia inayokimbia hatuoni nyota ambazo haziko ndani ya hiyo Atmosphere zikitembea kama tunavyoona kwenye meli inayotembea ?
Mi najua kuwa Nyota na Jua havipo ktk Atmosphere ya Dunia.
Lakini cha ajabu Jua na Mwezi tunaona vinatembea, lakini Nyota hazitembei.
Kwanini Jua na mwezi vitembee, ila Nyota zibaki bila kutembea ?
Wakati zote zipo nje ya Atmosphere ya Dunia ?
Nyota zinatembea kama jua na mwenzi. Ila nyota inaaminika zipo mbali zaidi ndiyo maana unaona kama hazitembei. Watu wanaoishi jangwani wanatumia sana sayansi ya nyota. Ukitaka kuhakiki jifunze majina ya nyota then fuatilia mida ya usiku, ndani ya masaa tano hivi utajua
 
Nimependa ulivyo mkweli sijui umeweka huu uzi ili watu wacheke.

Kinachotufanya tusianguke ni force if gravity, hii hata unapoinua mzigo mzigo inakuwa kiunoni na unakuta balance.

Unappona msimu wa kiangazi na kipupwe ndiyo uhakisia wa mzunguko. Kiangazi tunakuwa tumelitazama jua.

Hatuwezi kwenda ulaya kwakuwa dunia ni kama chungwa kwenye mhimili wake.
Acha kuongopa !!!!! Force of gravity ndiyo inayotufanya tuanguke pasipo gravity atuwezi kuanguka tumia akili kufikili gravity ndiyo inasababisha kuwepo na KUANGUKA na PAKUANGUKIA pasipo gravity atuwezi kuanguka kwa sababu pasinge kuwepo na pakuangukia
 
Kwanza wanatuambia dunia ni duara, pili tunaambiwa tupo nje ya dunia na sio ndani ndio sababu tunaliona jua, duh. Sasa mi najiulizaga, hivi ingekuwa dunia ni duara, si kungekuwa na miteremko kila upande wa huo mduara, bahari zingekaaje, kuna ziwa, mito. Maji yote yangeshamwagika. Kaazi kwelikweli. Halafu inawezekanaje dunia ikawa inazunguuka, halafu mtu kama umezaliwa Arusha, unaishi hadi unazeeka, upo palepale. Mzunguko haukuhamishi, mfano mkoa upo mashariki, ukizunguka si utaenda labda kusini, basi ulione jua kwa upande huo. Lakini wapi. Endeleeni kutudanganya wasomi. Tunaambiwa kuna sayari, nazo ni kubwa kweli kweli, hatuzioni. Na hatutaziona hadi mwisho wa dunia.
 
Matone ya mvua yananyooka coz bado Yale mawingu yapo kwenye the earth's atmosphere....
Kwa hiyo hayo mawingu bado ni dunia tu...
Hata ukienda huko,earth's force of gravity will still act on you..
 
Kuna siku ilianguka wakenya wakaikota.
Ila descipable Me wana mashine moja walienda kuiba mwezi .
Vector akaharibu kila kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom