Kama dunia inazunguka kwanini hatumwagiki?

prenge

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
218
277
"Nakumbuka shuleni tulisoma dunia inajizungusha" bwana we mtaongezea maneno siunajua enzi zetu divison5 @ naomba msaada kwa nini hatuhisi kuzunguka?
Kwa nini maji hayamwagiki baharini?
Kwanini hatujikuta tuko ulaya tule maisha maana uwezo wa kupata viza sijui passport maana sielewi hata...
Wataalamu nipeni elimu
 
ETI UZUNGUKE UWE ULAYA? HV WEWE UNA AKILI AU TOPE? DUNIA IKIZUNGUKA INAZUNGUKA NA KILA KITU, MBONA UKIZUNGUKA NA BODABODA HAUFIKI KWENYE BUS MPAKA USHUKE.. NA WALA DUNIA HAIZUNGUKI KWA SPEED YA GARI KAMA UNAVYOFKIRIA..

YOTE 9, KAMA ADA ULIITUMIA KUPGA CHABO, JARIBU UJINGA
 
je

ukiwa ndani ya bus ukarusha sarafu juu huku basi likiwa speed sarafu hiyo itatua usawa uleule mikononi mwako au?

vipi mdudu kama nzi anayeruka ndani ya bus lililo speed...!

vipi kuhusu helicopter inayoshusha wanajeshi huku ikiwa imesimama angani nayo inavutwa na kuzunguka pamoja na dunia?
 
Hatumwagiki kwa sababu Dunia haijafunga breki! :D:D.
Siku Dunia ikifunga breki tutarushwa hukoo, sijui tutaenda kutulia wapi, labda kwenye sayari ya Mars. Dunia kwa sasa inakimbia kwa zaidi ya km 110,000 kwa saa huku ikilizunguka jua. Kumbuka, gari inayokimbia sana mpaka unaona kufa kufa kwa hapa Bongo wala hata haizidi km 180 kwa saa!
 
According to wanasayans

Dunia pamoja na vitu vilivyomo ndan yake tupo kwenye speed sawa na mzunguko wa dunia yapata speed ya 10000km kwa dakka moja ivo hiz movement tunazozifanya zipo katika speed ambayo unaweza ukaipuuzia(neglect)

Kwa mfano chukua jiwe zen weka kwenye kopo halaf hilo kopo lifunge kamba halafu anza kulizungusha utakuja kugundua kwamba jiwe ndani ya kopo litakaa katika sehem moja bila kuzunguka ovyo ..nwton first law of motio
 
Mda mwingn naona sayansi inatudanganya vingi tu japo kuna watu watabisha kwa kutumia maandiko waliyokariri kutoka kwa wqzungu
 
ETI UZUNGUKE UWE ULAYA? HV WEWE UNA AKILI AU TOPE? DUNIA IKIZUNGUKA INAZUNGUKA NA KILA KITU, MBONA UKIZUNGUKA NA BODABODA HAUFIKI KWENYE BUS MPAKA USHUKE.. NA WALA DUNIA HAIZUNGUKI KWA SPEED YA GARI KAMA UNAVYOFKIRIA..

YOTE 9, KAMA ADA ULIITUMIA KUPGA CHABO, JARIBU UJINGA
Mh unamaanisha speed yake ni ndogo kuliko speed ya Gari au sijakusoma kama maana yako ni hiyo wewe utakuwa chenga na mbumbumbu kama muuliza swali inaelekea mnakula sana samaki wa mwanza ndo mana mna Akili ya usamaki usamaki
 
According to wanasayans

Dunia pamoja na vitu vilivyomo ndan yake tupo kwenye speed sawa na mzunguko wa dunia yapata speed ya 10000km kwa dakka moja ivo hiz movement tunazozifanya zipo katika speed ambayo unaweza ukaipuuzia(neglect)

Kwa mfano chukua jiwe zen weka kwenye kopo halaf hilo kopo lifunge kamba halafu anza kulizungusha utakuja kugundua kwamba jiwe ndani ya kopo litakaa katika sehem moja bila kuzunguka ovyo ..nwton first law of motio
angalau. sasa jiwe hilo likipata utashi kama wa mwanadamu liamue kuruka kwann litue palepale
 
ETI UZUNGUKE UWE ULAYA? HV WEWE UNA AKILI AU TOPE? DUNIA IKIZUNGUKA INAZUNGUKA NA KILA KITU, MBONA UKIZUNGUKA NA BODABODA HAUFIKI KWENYE BUS MPAKA USHUKE.. NA WALA DUNIA HAIZUNGUKI KWA SPEED YA GARI KAMA UNAVYOFKIRIA..

YOTE 9, KAMA ADA ULIITUMIA KUPGA CHABO, JARIBU UJINGA
Toa majibu sio lawama mkuu
 
Swali hili linahitaji utulivu kidogo.
Mwalimu alisema
Dunia inajizungusha yenyewe na hapo hapo inalizunguka Jua katika mhimili wake.
Hivyo ina mizungiko miwili kwa wakati mmoja.
Ivi ukiwa kwenye Dunia imbayo inajizungusha na kuuzunguka mhimili wake utalionaje Jua ambalo tunaambiwa limesimama tuli kabisa ?
Halafu mwalimu anasema dunia ni ya mvilingo kama mpira au chungwa na hatudondoki eti kuna ka nguvu ka Gravity.
Hapo kuna ukweli wa kweli ?
Ivi upepo unapovuma na kutulia dunia inakuwa imesimama ?
Mbona matone ya mvua huwa yanadondoka huku yamenyooka kabisa toka mawinguni Juu ?
Hapo dunia huwa imesimama ?
Kwenye mtihani nilijibu kama mwalimu alivosema ili kupata vema.
Lakini mimi bado sijashawishika na hii Nadhalia ya Dunia ya mvilingo kujizungusha na kuzunguka Jua kwa wakati mmoja, bila sisi wanadamu kupata misukosuko.
Naomba kipimo cha kuthibitisha haya madai.

Sidanganyiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom