Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,275
- 31,404
Alimwabia spika, shughurika nao ndani huko, wakitoka nje mimi ntapambana nao huku nje...Aliwahi kuwatamkia hivyo? Kuwa nendeni mkawaonee upinzani?
Amandla...
ULIELEWA NINI KWA MANENO HAYO?