Kama CHADEMA wamekataa nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum na ruzuku basi watuombe radhi sisi Wapiga kura wao

Alimwabia spika, shughurika nao ndani huko, wakitoka nje mimi ntapambana nao huku nje...

ULIELEWA NINI KWA MANENO HAYO?
Spika sio mahakama. Aliwaambia hata watendaji wa serikali kuwa wasiruhusu wapinzani washinde. Swali langu ni je aliwahi kuiambia mahakama hadharani wasiwatendee haki upinzani?

Amandla...
 
Spika sio mahakama. Aliwaambia hata watendaji wa serikali kuwa wasiruhusu wapinzani washinde. Swali langu ni je aliwahi kuiambia mahakama hadharani wasiwatendee haki upinzani?

Amandla...
We Amandla, hadharani siyo sehemu pekee pa kukataza jambo...
 
Yaniii wewe sikuhizi hueleweki kabisaa. Bora hata enzi za mwendazake tulijua wewe ni Mataga. Anwaya hujaeleweka maana kwa sisi ambao sio mashabiki wa vyama tunawaelewa CHADEMA ni nini wanataka.

Hoja yao kubwa ninani aliyepeleka majina ya hao viti maalumu cause Viongozi wote wajuu hawatambui.

Tume imekaa kimya badala yake anaibuka sajiri wa vyama na hoja zaifu nasema zaifu kwakuwa ni ofisi take hiyohiyo iliyofumbia macho uharamia wa Lipumba.

Lakini twende mbele turudi nyuma kwa yaliyo fanyika kwenye uchaguzi wa 2020 kuna kiumbe anaweza akasimama na kusubutu kusema kulikuwa na uchaguzi kweli?

Tuwe wazalendo wa kweli na nnchi yetu tuache ushabiki wa kimazingira kwamba unashabikia tukio au mambo yaliyopo kwa watawala kipindi wapo hata kama nimabayaa.

mnyika mwenyewe hajui chadema inataka nn, what are you talking about, sku izi mmekua wazee wa kusubiri matukio
 
Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!

Haki gani wanayoidai hawa Chadema?

Mbona hawaendi mahakamani?

Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.

Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?

Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?

Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.

Peoples...........Power!
Nani kakudanganya kwamba Chadema ni mali ya Watanzania? Kwa taarifa yako Chadema ni mali ya Mbowe, wewe utabakia kupanua vidole tu
 
Wale akina mzee Halima ni wabunge wa mzee mwendazake na yule kiandunje anaendelea kujitutumua
Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!

Haki gani wanayoidai hawa Chadema?

Mbona hawaendi mahakamani?

Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.

Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?

Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?

Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.

Peoples...........Power!
 
Ukiutafakari uchaguzi wa 2020, na matukio kadhaa kabla yake, ni ngumu sana kuamini kuwa marehemu alikuwa binadamu!! Mtu wa dhuluma kiasi kile, hawezi kuwa na heri katila maisha yake, na aghalabu huupa laana uzao wake wote.
 
Sasa yule mbunge wa Nkasi alipatikanaje?
Marehemu alikuwa hajui kuwa bila wabumge wa upinzani hupati ile pesa ya msaada kiasi cha zaidi ya trilioni 1 kwa mwaka. Alivyokuka kubiwa, akaagiza kuwa majimbo ambayo hawajatangaza washindi wa ubunge, wawatangaze wapinzani. Kumbe jimbo lililokuwa limebakia lilikuwa hilo moja 1. Baada ya hapo akaanza kuhaha, akaagiza wqtakaokwenda mahakamani, wapewe ushindi wa kimahakama ili wabunge wa upinzani wapatikane, wapinzani kwa vike walikuwa mbele yake kifikra, hakuna aliyeenda mahakamani.

Marehemu akabakia kuwa mtu wa kihoro. Makusanyo ya serikali yanaoungua, wanaomwunga mkono wamepunfua, jumuia ya kimataifa ikimlaani kwa udikteta, pesa za msaada zikawa zimekatwa panga
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom